covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. J

    Usiwe sehemu ya upotoshaji kuhusu COVID-19 na Chanjo

    Cha kusikitisha ni kwamba, kuna habari nyingi zisizo sahihi mtandaoni kuhusu virusi vya COVID-19 na chanjo. Habari potofu wakati wa janga la kiafya zinaweza kueneza hali ya wasiwasi, hofu na unyanyapaa. Inaweza pia kusababisha watu kuachwa bila ulinzi (kinga) hivyo kuwa kusababisha dhaifu dhidi...
  2. J

    Dalili za Corona ambazo hutokea kwa watu wachache

    Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili za COVID-19 ambazo hutokea kwa watu wachache. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni: Kupata maumivu ya kichwa Kuwashwa kooni Kupata maumivu sehemu mbalimbali za mwili Kuhara Kupata upele kwenye ngozi, au kubadilika rangi kwa vidole Macho kuwa mekundu...
  3. L

    Kuibuka kwa aina mpya za virusi vya COVID-19 kungeweza kuepukwa kama chanjo ingetolewa kwa usawa

    Wiki hii dunia imejikuta tena ikitamalaki baada ya kusikia aina mpya ya COVID-19 imeenea karibu katika mabara yote duniani. Mamlaka zote za afya duniani zimekuwa kwenye tahadhari kuhusu virusi vilivyopewa jina la Omicron, baada ya kutangazwa kuwa vina uwezo mkubwa wa kuenea kuliko virusi...
  4. J

    Chanjo za COVID-19 zimepitia hatua muhimu za kiusalama

    Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha John Hopkins wanasema utengenezwaji wa haraka wa chanjo za COVID-19 haumaanishi kuwa hatua za usalama zilirukwa Teknolojia zinazotumiwa kutengeneza chanjo hizo zimekuwa zikitengenezwa kwa miaka mingi ili kujiandaa na milipuko ya virusi vya kuambukiza...
  5. J

    Dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi

    Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi zaidi. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni kupata homa, kupata kikohozi, kuhisi uchovu usio wa kawaida pamoja na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza...
  6. S

    Ujenzi wa madarasa kwa hela za COVID-19 vs kupanda bei ya vifaa vya ujenzi

    Kumetokea nini kwenye sekta ya ujenzi? Ghafla kila kitu kimepanda bei. Je, kuna uhusiano na ujenzi wa madarasa yanayojengwa kwa kasi kipindi hiki? Ni vifaa kuadimika kutokana na uhitaji mkubwa wa project hii? Je, ni watu wameamua kuchezesha ili wapate kitu kwenye bei hizi mpya? Najua...
  7. beth

    Ripoti: Janga la COVID-19 limewaathiri zaidi Wanawake kiuchumi na kijamii

    Shirika la Msalaba Mwekundu limesema athari za janga la COVID19 kijamii na kiuchumi zimewaathiri zaidi Wanawake ulimwenguni kote. Kwa mujibu wa Ripoti hiyo, Wanawake wameathiriwa zaidi na upotevu wa Mapato na Elimu, kuongezeka kwa matukio ya ukatili, Ndoa za utotoni na biashara haramu ya...
  8. J

    Chanjo ya COVID-19 ni salama kwa wagonjwa wa Saratani

    Je, hupaswi kupata chanjo ya COVID-19 ikiwa kwa sasa unapokea matibabu ya saratani? Jibu: Baada ya kukagua kwa uangalifu chanjo hizi, wataalam wa matibabu wa MD Anderson katika Chuo Kikuu cha Texas wameamua kuwa chanjo za COVID-19 ni salama na zinapendekezwa kwa wagonjwa wa saratani. Wataalam...
  9. J

    Dalili tatu hatari za Covid-19

    Shirika la Afya Ulimwenguni limeweka bayana dalili tatu za hatari za #coronavirus ambazo zinahitaji uangalizi wa karibu wa wataalamu wa afya . Inaelezwa kuwa dalili hizo ni kupata tabu ya kupumua, kupoteza uwezo wa kuzungumza na kupata maumivu kifuani. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza kuaonekana...
  10. J

    Chanjo ya COVID-19 haiathiri nguvu za kiume

    Wataalamu wa Afya wanaeleza kuwa nadharia zote zinazozihusisha Chanjo za #Coronavirus na kupunguza nguvu za kiume na mfumo wa uzazi kwa mwanaume sio za kweli. Aidha kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa juu ya suala hili Wataalamu wanabainisha kuwa Chanjo za corona zimetengenezwa ili...
  11. J

    Teknolojia ya 5G haienezi COVID-19

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Virusi vya Corona haviwezi kusafiri kwenye mawimbi ya redio/mitandao ya simu, na kwamba COVID-19 tayari inaenea katika nchi nyingi ambazo hazina mitandao ya simu ya 5G. COVID-19 huenezwa kupitia matone ya kupumua wakati mtu aliyeambukizwa anapokohoa...
  12. J

    Mchakato wa kupata Chanjo ya COVID-19 hauchukui muda mrefu

    Watu wengi wanauliza shughuli nyingi sana kupata chanjo; je, ni lazima mchakato kuchukua muda mrefu? Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Augusta huko Georgia Nchini Marekani wanasema ingawa chanjo za Pfizer-BioNTech na Moderna huchomwa kwa awamu mbili, mchakato huwa ni wa haraka na...
  13. H

    Samatta, Mwamnyeto na Manura wakutwa na Covid-19

    Kuna taarifa za chinichini kuwa naodha wa Taifa Stars Mbwana Ally Samatta, beki wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto na golikipa wa Simba Aishi Manura kuwa wamekutwa na Covid-19 huko Madagascar. Je, taarifa hizi zina uhakika kiasi gani?
  14. J

    Mwenye mzio wa chanjo (Allergic reaction) amueleze mtaalamu wa Afya kabla ya kuchanjwa Covid-19

    Inaelezwa kuwa wapo baadhi ya watu ambao wana historia ya kupata matokeo mabaya (Severe Allergic Reaction) kutokana na chanjo wanazochanjwa kipindi cha nyuma. Shirika la Afya duniani linawashauri watu ambao wana historia ya kuwa na mzio wa chanjo nyingine kuwaona Wataalamu wa Afya na kuwaeleza...
  15. J

    Chanjo za COVID-19 hazisababishi mimba kuharibika

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinahimiza wajawazito wote, wanaofikiria kuwa wajawazito na wale wanaonyonyesha kupata chanjo ili kujikinga na #COVID19. Utafiti umegundua kiwango cha kuharibika kwa mimba baada ya chanjo ya #COVID19 ni sawa na kiwango cha kuharibika kwa mimba...
  16. hazard Don

    Nimekosa huduma ya afya kwakuwa sijapata chanjo. Je, chanjo ya COVID-19 ni lazima nchini Tanzania?

    Kwa mwenye kufahamu juu ya Hil naomba anifahamishe. Nimekosa huduma moja ya kituo Cha Afya hapa nchini ,sababu sijachoma Chanjo ya COVID-19. Je, hawa watoa huduma wamepata wapi jeuri ya kupinga kauli ya Mh. Rais Ile kauli ya kuwa Chanjo sio Lazima.
  17. J

    Chanjo za COVID-19 zenye virusi hai (viral vector vaccines) hazisababishi mtu kupata CoronaVirus

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa Nchini Marekani (CDC) kimesema chanjo zenye viambata vya virusi hai (viral vector vaccines) havisababishi mtu kupata #coronavirus Chanjo hizi hutumia virusi visivyo na madhara ili kuchochea mfumo wa kinga ili kupambana na kile inachodhani ni maambukizi Karaha...
  18. J

    Chanjo za COVID-19 hazizuii kuchangia au kuchangiwa damu

    Kumekuwapo maswali mbalimbali ya wanajamii wanaojaribu kujiuliza uhusiano uliopo kati ya kuchangia damu ya chanjo ya Covid-19. Watu waliochanjwa wanajiuliza kama endapo wanaweza kuambukizwa corona wanapochangiwa damu na watu ambao hawajachanjwa na wengine wanajiuliza endapo kama hujachanjwa...
  19. J

    Chanjo za COVID-19 haziathiri DNA kwa namna yoyote

    Kumekuwa na mining'ono kuhusu chanjo za COVID-19 kuathiri DNA. Lakini je, hili lina ukweli wowote? Kwa mujibu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), hakuna chanjo ya COVID-19 inayoathiri au kuingiliana na DNA kwa namna yoyote ile UNICEF inaeleza kuwa chanjo hufunza seli...
  20. Analogia Malenga

    Wajibu washauri CAG achunguze COVID-19 ilivyoathiri Uwajibikaji wa Serikali

    Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeonesha kushindwa kukagua ofisi 43 za balozi za Tanzania kwa mwaka wa fedha 2019/20 kutokana na janga la #COVID19 Kutokukaguliwa kwa balozi hizo kunafanya wananchi washindwe kujua uwajibikaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na...
Back
Top Bottom