chuo

  1. JamiiForums Tanzania Heche: UDSM wamezuia kongamano la DUPSA mjadala

    Anandika John Heche kuwa; "Chuo kikuu cha Dar es Salaam kwasasa kimegeuka kuwa kama shule ya msingi. Wakati UDASA wana kongamano lao leo, Dupsa walinialika pia kwa kongamano. Ajabu ni kwamba sehemu ambayo Inatakiwa kuwa chimbuko la fikra na mawazo wamezuia kongamano hili dakika za mwisho kabisa".
  2. JamiiForums Tanzania UDOM: Tutafanya ukaguzi wa hosteli za Chuo chetu kubaini Wanafunzi wanaobebana

    Muda mfupi baada ya Mwananchi aliyejitambulisha kuwa ni mmoja wa Wanafunzi katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kupitia JamiiForums.com kudai kuna changamoto ya hosteli katika chuo hicho, ufafanuzi umetolewa kutoka kwa Uongozi wa UDOM. Awali Mdau huyo alisema baadhi ya Wanafunzi hasa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ingependeza kila ukanda ugekuwa na chuo kikuu cha serikali, mgawanyo wa vyuo vikuu bado ni kikwazo kwa baadhi ya kanda

    Naomba tuelewane ni chuo kikuu kilichojitosheleza chenye vitivo mbali mbali vya Uhandisi, Sheria, Ualimu, Biashara, Udaktari, n.k. Sio kampasi ya chuo kikuu au institute au college ambayo inatoa fani chache. Kila ukanda sikuhizi una toa wahitimu wengi sana wa form 4 na form 6, ni haki yao...
  4. JamiiForums Tanzania Airport ya Chato fanyeni chuo cha urubani .Naeleza tena

    Mimi roho ina niuma sana jinsi ukipita chato unaona kabisa alafu NIT wanataka wakajirundike Airport ya dar na hapo hapo wawe na chuo kikubwa. kwa nini msichukue hapo.😔
  5. JamiiForums Tanzania Tetesi: Siri zimevuja kuna wimbi la account fake mpya za wanafunzi wa chuo mitaondoni lazima tujiulize hivi kweli tumefika hapa sisi ?

    :
  6. JamiiForums Tanzania Changamoto ya kupata AVN ,nataka kukushtaki chuo

    Habari za muda jukwaa la sheriff,nimemaliza chuo tangu 2020 lakini mpaka leo sina AVN ili niweze kujiunga na masomo ya chuo kikuuu. Sasa basi baada ya kuona napigwa danadana kwa kutopeleka matokeao yangu Nacte,sasa nafikiria kwenda mahakamani. Naombea ushauri wanasheria kwenye hili.
  7. JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha kufundisha

    Wakuu, nimejikuta kuwa na passion ya kufundisha kuliko kitu chochote kile yaani. Ipo hivi, nimesomea IT bachelor pale UDSM nimehitimu mwaka jana. ilivyofika mwezi wa pili mwaka huu, katika harakati ya kutafuta hela za kunibakisha hapa mjini (Dar), nikapata kampuni moja hivi maeneo ya posta...
  8. JamiiForums Tanzania Ninavyomfahamu binafsi Fr. Kitima (PhD), Toka akiwa Mkuu wa Chuo pale SAUT Mwanza

    Kipindi nasoma pale SAUT Mwanza 2012-2015, Padre Kitima ndo alikuwa mkuu wa chuo chetu pale. Namfahamu binafsi na nilikuwa nikiongea nae na kushirikishana mambo kadha wa kadha Fr Kitima naona amekuwa maarufu kipindi hiki baada ya kuwa Katibu wa TEC, naona vilaza wasiomjua vizuri wanajaribu...
  9. JamiiForums Tanzania Polisi Morogoro: Tumefanya mahojiano na Rasel Mpuya muhadhiri chuo cha SAU, Tumemruhusu aendelea na majukumu yake, uchunguzi ukiendelea

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro katika kutekeleza majukumu yake ya kuzuia na kutanzua uhalifu limefanya mahojiano na Rasel Mpuya Madaha (49), mhadhiri wa chuo kikuu cha kilimo cha Sokoine na mkazi wa Morogoro. Soma Pia: Polisi Morogoro wamemkamata Muhadhiri wa Chuo kikuu cha SUA Prof. Rasel...
  10. JamiiForums Tanzania MAKALA YA SABA “JKT: Chuo cha Sayansi, Ubunifu na Uzalendo”

    Ndugu zangu, Kizazi cha taifa hakijengwi kwa silaha pekee. Hakijengwi pia kwa muziki wa starehe pekee. Kizazi cha taifa hujengwa kwa mafunzo ya uzalendo, sayansi, na ubunifu. Hapa ndipo JKT ilipaswa kusimama kama injini ya taifa. Tazameni ndugu zetu wa Burkina Faso, chini ya uongozi wa kijana...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ni ajabu, serikali ya Tanzania kukopesha fedha mwanafunzi anaeanza chuo na kumnyima mkopo aliyemaliza chuo

    Viongozi wa Tanzania, yaani unamkopesha fedha mwanafunzi anayeanza chuo ambaye hana uhakika nae kama atamaliza chuo na kupata kazi halafu unamnyima MKOPO wa biashara mwanafunzi aliyemaliza chuo au kunakuwa na mazingira magumu ya kupata mikopo ya biashara benki na kuwaambia wakajiajiri , je,hii...
  12. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  13. JamiiForums Tanzania Wadogo zetu, watoto wetu mnaoenda na mliopo Chuo Kikuu kwa sasa, huu uzi unawahusu

    Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi...
  14. JamiiForums Tanzania Kapata Chuo Dodoma Asome Accounts Akiwa Amesoma PCB –Ushauri

    Habari wakuu, Naomba kupata mawazo yenu kuhusu hili. Mdogo wangu amefaulu vizuri kidato cha sita akiwa na combination ya PCB, lakini amepangiwa kusoma chuo kimoja huko Dodoma Bachelor of Commerce in Accountancy katika. Hii kozi hakuichagua kabisa. Jana kapokea majibu ya mkopo kutoka HESLB na...
  15. JamiiForums Tanzania Chuo kikuu cha Yale wamechukua picha za satelite zinoonyesha mauaji huko El Fashar. Je, waweza kufanya hivyo kwenye miji ya Tanzania?

    Picha hii ilichukuliwa tarehe 1 Novemba ikionyesha mahala ilipozikwa miili ya watu walouawa karibu na msikiti kwenye mji wa ElFashar nchini Sudan: Picha na Aljazeera. Chuo Kikuu cha Yale kilichopo nchini Marekani ni moja ya vyuo vikuu vikubwa nchini humo kilojikita kwenye sayansi na uvumbuzi...
  16. JamiiForums Tanzania Chuo cha Afya Mac Wish kinakwama kwenye Marekting bila kufahamu

    Ni jambo la kushangaza kuona taasisi ya elimu kama Chuo cha Afya Mac Wish ikishindwa kunufaika na fursa ya kujitangaza ipasavyo. Badala ya kuwa na kitengo cha masoko chenye ubunifu na mvuto, kimeonekana kutochukua hatua madhubuti – na matokeo yake, majukumu nyeti ya marketing yameachwa mikononi...
  17. JamiiForums Tanzania Je, thesis defence ya chuo inapaswa kuwa wazi ama siri?

    Katika ulimwengu wa taaluma, ulinzi wa tasnifu (thesis defense) ni tukio la heshima na ukomo wa safari ya mwanafunzi wa shahada ya Uzamili au Uzamivu, Master's pamoja na PhD. Ni hapa ndipo mwanafunzi huwasilisha matokeo ya utafiti wake mbele ya jopo la wasomi na kujibu maswali ya kina, ili...
  18. JamiiForums Tanzania Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Hii bajeti ya graduation kwa huyu mtoto wa chuo, si mtaji kabisa huu?

    Vijana wanaomaliza vyuo wanakuwa na vibe sana na graduation, bajeti ya zaidi ya 1.3M si mtaji kabisa huu? Then baada ya graduation ukute anahangaika kutafuta mtaji.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba yako

    Tangazo muhimu. Chuo cha biblia hapo hapo kwenye simu yako, bila kuathiri ratiba zako Bwana yesu asifiwe sana watumishi wa mungu. Mbarikiwe kwa kuendelea kuwa sehemu ya kazi hii. Safari hii tumewaandalia mpango mkubwa kabisa wa baraka utakaoanza rasmi mwezi wa kumi 2025. Sikiliza kwa makini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…