chuo kikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kuhamia Dodoma

    Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Prof. Elifas Tozo Bisanda, ametanabaisha ya kwamba makao makuu ya OUT yanatarajiwa kuhamia jijini Dodoma baada ya kupata eneo na fedha kutoka serikalini kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). Prof. Bisanda, ametanabaisha...
  2. choza choza

    JamiiForums Tanzania Sifa za kujiunga Chuo Kikuu

    Nimeshangaa katika pitapita zangu nimeona cheti cha mtu cha Advance katika masomo 3 ya combination ana DDF, halafu yupo chuo kikuu anasoma degree. Serikali ifute kigezo cha D mbili, ama katika hizo D mbili iwepo na sifa nyingine kwamba hupaswi kuwa na F kwenye somo lolote kati ya masomo matatu...
  3. Hot bird

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TCU na TAKUKURU itazameni rushwa iliyotawala Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)

    Ninaandika mambo haya kwa masikitiko kutokana na mustakabali wa elimu ya nchi inavyoharibiwa na baadhi ya viongozi kutojali. Leo nitatoa habari za hali ya rushwa na kutojali ubora wa elimu iliyotawala SUA, hiki ni chuo kikuu kilichopo hapa Morogoro, chenye kampasi kuu Magadu na kitivo kingine...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kama lugha ya kufundishia sekondari na Chuo Kikuu ni Kiingereza basi na shule zote za msingi iwe Kiingereza

    Shule ya msingi kwa lugha nyIngine tungeiita Foundation school.Tunaweka msingi kweli. Kama lugha ya kufundishia sekondari ni Kiingereza sioni sababu kwa nini lugha ya kufundishia shule ya msingi isiwe Kiingereza. Watoto wanaotoka kwenye shule ambazo siyo mchepuo wa Kiingereza ( English...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Ritta Kabati aeleza namna Rais Samia anavyowajali wanafunzi wa Vyuo Vikuu

    MBUNGE MHE. DR. RITTA KABATI AWAPA SOMO WANAFUNZI CHUO KIKUU, AELEZA NAMNA RAIS SAMIA ANAVYOWAJALI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Iringa, (CCM) Mhe. Dkt. Ritta E. Kabati @dr.rittakabati amewataka wanafunzi wa Vyuo Vikuu kujikita katika masomo yao wawapo vyuoni na kuacha mambo ambayo yatapelekea...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: CCM niliachana nayo nilipojiunga chuo kikuu

    14 February 2023 TUNDU LISSU AIBUA MAPYA - ''VYUMA VIMEKAZA, CCM NILIACHANA NAYO NILIPOJIUNGA CHUO KIKUU GLOBAL TV imefanya mahojiano maalum na Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ambaye amezungumza mengi juu ya muelekeo wa hali ya kisiasa nchini akigusia vyama vya siasa, katiba mpya...
  7. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Una ndoto ya kwenda kusoma Chuo kikuu Cha Harvard? Fanya haya

    Uwe na IQ ya kutosha maana Harvard si pa mchezo kama udsm...Hapana. Pale Harvard Kuna wakati IQ yako haifai chochote. Haijalishi una IQ ya 125, 135, 145, 155, 165, au 175. Vyuo vikuu vya wasomi vinataka kusajili wanafunzi walio na rekodi za mambo ambazo zinaonyesha kuwa wao ni aina ya watu...
  8. Almalik mokiwa

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Hotuba ya Kenani Kihongosi Chuo Kikuu Mzumbe (Morogoro)

    Anaandika Almalik Mokiwa Tarehe 4/02/2023 katibu mkuu wa vijana UVCCM, Kenani Kihongosi alitembelea chuo kikuu Mzumbe kuzungumza sera na itikadi za chama cha mapinduzi (CCM) Waliohudhuria walikuwepo wanachama wa CCM na wasio wanachama. Nilikuwepo kujifunza nikiwa kama muumini wa "Nyutro gang"...
  9. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kama mtu anafika chuo kikuu na kuhitimu bila kujua kusoma na Kuandika je lengo la Elimu ni lipi hapa Tanzania?

    Ajira ni ngumu yes Lakini Kama watu wanagraduate chuo kikuu hawajui kusoma na Kuandika je ni Nani yupo nyuma ya huu mchakato wa kuhakikisha vijana wanawaza ujinga 24/7 TANZANIA mnaposema wasomi ni wengi sio kweli wengi ni wasomi hewa Elimu waliyonayo sio relevant na level zao. Ukitaka kuamini...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Wahitimu 3% pekee ndio wamefaulu kwenda Chuo Kikuu

    Asilimia hiyo ni wastani wa wahitimu ambao wamepata alama nzuri zinazowawezesha kuendelea na masomo ya Chuo Kikuu. Waziri wa Elimu wa Ethiopia, Berhanu Nega amedai matokeo hayo ni ya kushtua, ambapo inaaminika migogoro na vita vya ndani ya Nchi ni moja ya sababu, huku Wanafunzi 12,000 ikidaiwa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Profesa wa Chuo Kikuu Oxford amshauri Rais Samia kuhusu miradi aliyoianzisha Hayati Magufuli kwa pupa

    Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake Magufuli alipoingia madarakani alianzisha...
  12. Fbn

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya vijana vyuoni na wanaoingia vyuoni wanakaubishi fulani fulani kujiona wanajua

    Hivi vitoto mda mwengine vinakasirisha sana.ukimueleza unatakiwa kupitia hivi basi analeta uchuo uchuo wake unatamani kukazapa vibao. Vijana wengi waliopo vyuo ndoto zao wanaamini kuajiliwa serikalini ila sio ajira zote zinatoka serikalini. Vikiwa chuo vinajiona vimetoboa maisha na kutucheka...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban watumia maji ya kuwasha kutawanya Wanawake wanaopinga sheria ya kuwazuia kusoma chuo kikuu

    Kundi la Wanawake hao wanaopinga uamuzi wa Serikali kuwazuia Wanawake kutosoma Chuo Kikuu wameingia matatizoni baada ya video zilizosambaa mitandaoni zinaonesha waandamanaji wakijikinga na wengine kukimbia kukwepa mkono wa sheria katika Mji wa Herat. Wanawake hao walikuwa wakiandamana huku...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Marekani yaionya Taliban kuzuia Wanawake kusoma Chuo Kikuu

    Marekani imeeleza kuwa kutakuwa na gharama ikiwa hakutakuwa na mabadiliko kuhusu maamuzi hayo yanayofanywa Nchini Afghanistan. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken amesema Serikali ya Taliban haitaweza kuboresha uhusiano na mataifa mengine Duniani ikiwa itaendelea kuwanyima...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Mpango, ataka Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo

    Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT) kimetakiwa kusimamia ubora wa elimu inayotolewa chuoni hapo ili kuhakikisha hadhi ya Chuo na elimu ya Tanzania kwa ujumla inalindwa. Hayo yamesemwa leo na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango wakati alipotembelea Chuo hicho...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili

    Kuanzia sasa Serikali itaanza kuzitazama ajira za vyuo vikuu badala ya kuangalia ubora wa ufaulu yaani GPA pekee sasa waajiriwe kwa kupimwa uwezo wao kwa kufanya usaili. Kuangalia ufaulu pekee wa wanafunzi haitoshi kuboresha elimu badala yake ni muhimu kuongeza vigezo hivyo katika mapitio ya...
  17. alex001

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu Elimu ya chuo kikuu

    Samahani wakuu nilikuwa naomba kuuliza.. Hivi ule utaratibu wa kuandika barua kwenda TCU kwaajili ya kuondolewa kwenye system Yao pamoja na kuandika barua kupeleka bodi ya mikopo kusitisha mkopo ili uweze kuapply upya chuo pamoja na mkopo ikiwa kama ulipangiwa mwaka uliopita na hukuweza kuripoti...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kafulila: Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu ni uamuzi sahihi hata hivyo wamechelewa

    ==== Uamuzi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam kumtunuku shahada ya udaktari wa heshima Rais Samia Suluhu Hassan ni uamuzi sahihi sana kwa vigezo vingi pamoja na kwamba umekuja kwa kuchelewa, Kawaida huwa kunakuwa na sababu mahususi inayoongoza ambayo kimsingi huwa 'legacy' ya Kiongozi husika...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nimepita Chuo Kikuu Huria - Kinondoni, nimeona pameandikwa 'hapauzwi'

    Aisee nimestuka sana, kwamba kuna mtu alitaka kuuza Chuo Kikuu Huria tawi la Kinondoni. Tawi la Kinondoni ambalo lipo Biafra karibu na ofisi za Makao Makuu ya Chuo Kikuu Huria. Je, kulikuwa na tapeli aliyetaka kuuza chuo?
  20. alex001

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu course za kusoma chuo kikuu

    Nimesoma combination ya PCB nimemaliza form six mwaka huu na nmefaulu kwa division I-8 lakini sijafanikiwa kwenda Chuo kwasababu za kiuchumi naomba msaada Je ni course Gan za afya tofauti na MD ambazo naeza nikasoma kwa mwakani zenye ajira lakini pia ambao ni rahisi kujiajili?? Naombeni msaada...
Back
Top Bottom