chumbani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Siri za Chumbani

    Wana JF, salamu! Tunafurahi kujiunga rasmi na familia ya JamiiForums. Sisi ni Siri za Chumbani, jukwaa la anonymous confessions linalowapa watu nafasi ya kushiriki siri, changamoto, maumivu na mambo mazito yanayowasumbua moyoni bila kufichua utambulisho wao. Kila siku tunapokea simulizi...
  2. JamiiForums Tanzania Mfugo gani naweza kufuga chumbani ninapolala na bado nikapata kipato?

    Naishi kwenye Chumba Kimoja mjini naombeni msaada mfugo Gani nifuge hapa ndani na nipate hela
  3. JamiiForums Tanzania Pambano la Mwakinyo na Pambano la Chumbani 😅

    Leo bhana mjini Dar es Salaam kuna pambano la ndondi 💪 (vitasa) Mwakinyo anazichapa leo, kitawaka Sijui itakuwa TKO au sare au atapigwa Basi bhana mapambano yapo mengi si unajua mwanetu🤪 Pambano sio lile la ulingoni tu, mapambano yapo mengi na moja wapo ya pambano au mchezo ni ule wa kwa bed...
  4. JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Katika harakati za ujana unaweza jikuta unatunukiwa tunda na binti kama utani vilee. Hii hutokea pale binti anapokuwa na hasira, jamaa yake amecheat so anataka kulipiza kisasi na kipindi manzi ana maumivu ya kuachwa! Hizi ndo moment kubwa ambazo gilrs wengi wanaliwa bila kutarajia wala kupanga...
  5. JamiiForums Tanzania Dalali Anaingia Ndani Kupiga PIcha wakati Mpangaji Nipo-Kamkuta Mke Wangu uchi chumbani na Binti yangu Anaoga!

    Kisanga:- Madalali, siyo wa Sinza tu, wala kijitonyama na Magomeni bali Mwananyamala, Mwenge, Mabibo, Goba , mbezi beach, Mburahati, Mwanantoti, Jet Lumo, Vikunai, Kijichi, Kisewe, Vingunguti, Chekechea, Vikunai, Mabibo , Tabata, Segerea, Kinyerezi, Salasala, Wazo, Madale, Mivumoni, isipokuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ulificha magendo gani chumbani kwako alafu ile unarudi nyumbani ukakuta kiko sebuleni unasubiriwa utoe majibu?

    Mimi ilikuwa smartphone kipindi hicho nipo sekondari Nilipataga hela sehemu nikaenda kuinunua hiyo smartphone nikawa naificha kwenye viatu alafu hivyo viatu nikaweka juu ya kabati Siku hiyo Bi Mkubwa hakwenda kazini kwenye harakati za kufanya usafi ndani kwangu akaikuta Ile narudi shule...
  7. JamiiForums Tanzania Lile bao la jana! VAR" ya Chumbani

    Mshkaji alisherehekea bao la kwanza kwa mbwembwe nyingi akimbia uwanja mzima wakati demu anadai "VAR" iangaliwe kwa sababu bao lilikuwa la "offside" maana kwa lilidumu sekunde chache tu.. au mchezaji alikuwa amezidiwa kasi. VAR ikasema hilo "Bao la Mapema" ni sawa na timu kufunga ndani ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mlioko ndani mtusaidie. Kwanini viongozi wakubwa wanajificha ficha?

    Sijui kama ni mawazo na macho yangu, naona hii Serikali haramu kama imeshakata moto mapema kabisa, hakuna cha Rais, Makamu wa Rais wala Waziri Mkuu ni kama Serikali imekata pumzi Sioni cha Mawaziri, Wabunge, Wakuu wa Mikoa na Wilaya yaani kama vile wanafanya vitu kwa kujifichaficha Rais...
  9. JamiiForums Tanzania Mchungaji wa EAGT akutwa amefariki dunia chumbani Moshi

    Mchungani wa Kanisa la Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) Makimbilio, Manispaa ya Moshi, Jane Mwangalimi amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake alikokuwa akiishi na mjukuu wake wa miaka mitano. Tukio hilo ambalo limetokea Januari 20, 2026 limegunduliwa na mjukuu wake huyo aliyekuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Pale ukifulia hivi ndivyo mke wako anavyokuona kila akiingia chumbani

  11. JamiiForums Tanzania GE2025 Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani Ikulu msishangae ni kodi zangu

    Mo29 mkiniona nimepiga picha chumbani ikulu msishangae ni kodi zangu.
  12. JamiiForums Tanzania Ndoa zina mambo!Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda

    Ndoa zina mambo! Mimi sio nabii ila usiku huu kuna mwanaume kaamua tu alale sebuleni kwenye makochi, amwache mkewe alale chumbani kwenye kitanda. Ee Mungu nusuru ndoa za waja wako🙏
  13. JamiiForums Tanzania Watanzania wote wanunue picha ya Mama Samia na kuitundika sebuleni na chumbani

    Natamani tumwone mama tukiamka, tumwone sebuleni, tumwone ofisini, tumwone kwenye vyombo vya habari, n.k Hakika mama yetu anatupenda, mimi Ponjoro wa Kinondoni nafarijika sana nikiona tabasamu lake. Wanaomchukia wanaishi kama digidigi si mnamwona gwaji boy, nasasa kuna digidigi nyingine inatua...
  14. JamiiForums Tanzania Chumbani kwa Mshana Jr, comments ziwe fupifupi tafaadhali.

    Haa ndipo Mshana Jr anapojipimzisha baada ya KAZI ngumu ya tunguri na manyanga
  15. JamiiForums Tanzania Niliokoka nikiwa peke yangu chumbani usiku tena ugenini

    Hii sio hadithi bali ni simulizi yangu iliyobeba uhalisia wa yale niliyopitia nikiwa JF.. Mimi ni introvert.. Hivyo si mwepesi sana kusimulia maisha binafsi kama walivyo extrovert Nilijifunza mambo ya kiroho pamoja na uchawi darasani na nje ya darasa na kutunukiwa madaraja niliyostahili kwa...
  16. A

    JamiiForums Tanzania Bonyokwa; Kijana wa familia akutwa amejinyonga chumbani kwake, aacha barua

    Ikiwa zimepita siku 8 tu tangu tukio la wanandoa, Antony Ngaboli na mkewe, Anna Amiri, kukutwa wamekufa kwa kuchinjwa kikatili chumbani kwao, Bonyokwa, kijana ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, amekutwa amekufa chumbani kwake mwili ukiwa unaning'inia kwa tafsiri ya kujinyonga au...
  17. F

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanadada Azra Ronaldo akutwa amefariki chumbani kwake

    Mwanadada anayefahamika kama Azra (Maarufu kama Ronaldo) amekutwa amefariki dunia ndani kwake kisarawe huku mwili wake ukiwa umevimba, tukio hilo limetokea leo Jumatano Juni 11, 2025 baada ya majirani kubaini harufu katika chumba chake. Mdau wa Michezo Seleman Kaniki ambaye alikuwa akimfahamu...
  18. JamiiForums Tanzania Ni vitu gani muhimu vinatakiwa viwemo kwenye meza chumbani kwa wanandoa wapya?

    Wakuu Wiki hii natarajia kupata mke mwema kutoka kwa Bwana,Nina maswali mengi najiuliza ni vitu gani ni muhimu viwepo mezani kwa ajiri ya mke wangu na hata Mimi mwenyewe? Hapa nimeandaa baadhi ya vitu kama rosheni,gisaleni,mafuta, perfume,sabuni🧼🧼🧼🧼 Vitu gani niongeze ili akute meza ipo...
  19. JamiiForums Tanzania Nifanyeje madogo wasiingie chumbani ninakolala

    Aisee,nipo nyumba ya kupanga nimeweka dressing table Ina kioo, wadogo zangu wanapenda kunitembelea, wakifika tu kunitembelea lazima wazame chumbani niwepo nisiwepo,hata nisipokuepo lazima utakuta mabadiliko chumbani,nikasema isiwe kesi niweke kioo full sebureni hapa nilipoweka kochi na tv lakini...
  20. JamiiForums Tanzania Mnaofunga ndoa na watu ambao mmepishana umri kwa zaidi ya miaka kumi huwa mnaongea mnapokuwa chumbani?

    Tajiri huwa hasalimii kila wakati. Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22. Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26. Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani. Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…