chuma

Chukwuma Julian "Chuma" Okeke (born August 18, 1998) is an American professional basketball player for the Lakeland Magic of the NBA G League. A power forward, he was drafted 16th overall by the Orlando Magic in the 2019 NBA draft. He played college basketball for the Auburn Tigers.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Hivi ukifanyiwa CHUMA ULETE, utagundua

    Hapo vip!! Nimekuwa najiuliza binafsi maswali kadha ya kadha juu ya chuma ulete,mara nyingine nakosa jibu.Ila nina imani kuna watu katika jukwaa hili watanifungua baadhi ya mambo dhidi ya chuma ulete. Binafsi siamini sana juu ya chuma ulete ila nadhani ipo kwasababu watu wanalizungumzia...
  2. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania CHADEMA walimtukana sana Jakaya kikaja chuma kikawafunga midomo na miguu wakasema bora Jakaya. Siku zinakuja tena sio nyingi watamkumbuka Samia

    Hawa watu wakati wa JK. Tulisikia kila aina ya matusi bahati baba wawatu alikuwa mpole sana, hata wakitukana anawaita ikulu wanakunywa chai wanaondoka.w Wlikuwa wanaitisha maandamano wanavyotaka.bado wakasema Jakaya ni mbaya sana. Akawaletea chuma kikalala nao mbele hakuna kufurukuta, wala...
  3. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Huyu dada anayeendesha chuma cha Mwendokasi yupo vizuri

    Naelekea stendi ya Magufuli nipo Katika Chuma moja ya Mwendo Kasi na inatembea vizuri na Mwanamke ni dereva unyama Ni Mwingi .
  4. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  5. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Nyerere Day 2022: Nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma Mtaa wa New Street na Kariakoo

    NYUMBA ALIYOJENGA NA ALIYOISHI MWALIMU MTAA WA IFUNDA MAGOMENI 1958 Tulipomaliza mahojinao yetu nje ya nyumba ya Bi. Mwamtoro bint Chuma nyumba ambayo iko nyuma ya Ofisi Ndogo ya CCM tukaelekea Magomeni Mtaa wa Ifunda kwenye nyumba aliyojenga Mwalimu mwaka wa 1958 na akaishi pale kwa kipindi...
  6. Replica

    JamiiForums Tanzania Kikwete afunguka yaliyojiri CCM mpaka Hayati Magufuli akapeperusha bendera ya CCM

    Mtangazaji: Watanzania wangetamani kusikia kutoka kwenye kinywa chako, nini ambacho kilitokea mwaka 2015? Matarajio ya wengi yalikuwa Benard Membe na Edward Lowassa, mmoja rafiki yako, mmoja ndugu yako ukiwaandaa wote kuwa marais lakini matokeo yakaja tofauti kabisa ambayo wengi hawakutarajia...
  7. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa Udongo, Sabuni na Karatasi wakati wa ujauzito

    Pengine umewahi kuwaza kwa nini baadhi ya wanawake wajawazito hupenda sana kula udongo, barafu, magodoro, nguo, sabuni, karatasi au vitu vingine visivyo chakula? Kitendo hiki kitaalamu huitwa Pica. Husababishwa na uwepo wa upungufu mkubwa wa madini ya chuma ambayo hupelekea kutokea kwa tatizo...
  8. BUSHMEN 88

    JamiiForums Tanzania Kwa hospitali za hapa Tanzania mtu aliyevunjika mguu njia nzuri ni kuwekewa chuma au muogo ili apone haraka?

    Habarin wanajukwaa Naomba niende moja kwa moja kwenye mada yapata mwezi mmoja na nusu uliopita nilipata ajali ya bodaboda na kuvunjika mguu wa kushoto mara mbili yani mfupa wa nyuma na mbele na daktari niliyeonana baada ya kumuonyesha picha ya mionzi akanishauri ili mguu uweze kukaa sawa ni...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ngumu sana kwa vikundi kama Panya Road kushamiri kwenye tawala za Mkono wa chuma

    Kwema Wakuu! Kutawala Kwa Mkono wa chuma Kwa faida na hasara zake. Moja ya faida ya kutawala Kwa Mkono wa chuma ni nadra Sana kusikia vikundi vya kipuuzi kama sijui panyaroad sijui nini. Ni ngumu Sana! Watu wenye akili za kimabavu kikawaida hawapendi kushughulika na ishu ndogondogo Kama hizo...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mamia Wamzika Chuma Suleiman (Bi Hindu) katika makaburi ya Mwinyi Mkuu Jijini Dar es Salaam

    MAMIA WAMZIKA MSANII NGULI WA FILAMU BI CHUMA SULEIMAN (BI HINDU) Mamia ya wananchi viongozi, wanamichezo, wasanii wa tasnia mbali mbali nchini Jumapili 10 Julai 2022 wamejumuika katika mazishi ya Msanii Nguli wa Filamu Bi Chuma Suleiman Maarufu (Bi Hindu) yaliyofanyima nyumbani kwake Magomeni...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Jipatie mashelf ya dukani ya chuma

    Mdau anauza mashelf yake ya dukani. Mahali yalipo ni mbezi ya kimara. Sababu ya kuuza ni anahamishia biashara yake mkoani hivyo hatoweza kuyabeba hadi mkoa anaohamia Bei ni maelewano kati yenu. Mawasiliano ni 0734079737.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mlango wa mbao vs geti la chuma

    Hivi wanaoweka mlango wa mbao na geti la chuma kwenye mlango mmoja lengo ni nini?
  13. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Milango ya chuma ni Bora dhidi ya mchwa,lakini ni zipi faida zake zaidi na ni yapi mapungufu yake?

    Siku za hivi karibuni kumekuja ubunifu wa milango ya chuma, Milango hiyo mwanzo ilianza kuonekana ktk maduka ikitokea nje ya nchi. Lkn bahati nzuri pia mafundi wetu wa vifaa vya grill nao wameanza kutoa milango kama hiyo ya nje lakini walitengeneza kwa mabati magumu sana wakiunganisha kwa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wamebana mwisho wamesalimu amri wote! Ni askari wa kinazi wa ukraine waliokuwa wamejichimbia kwenye kiwanda chuma pale Azovstal-Mariupol.

    Putin alisema hakuna haja ya kuwaingilia huko kwenye mahandaki yao, bali fungeni njia kiasi ambacho hata inzi hawezi kupenya!! Na kweli bwana leo askari wote wamenyosha mikono na kutoka wenyewe! Yule kamanda wao alibebwa kwenye gari la deraya badala ya bus alipokuwa akipelekwa utekani...
  15. Magazetini

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Taifa tumekosa maono, inakuwaje kujenga reli kabla ya kuchimba chuma? Waziri Mwigulu ampinga

    Mbunge wa Kawe akiwa bungeni, Joseph Gwajima amesema kwa miaka mitano Taifa limelipa fedha za kigeni dola za kimarekani bilioni 2.2 kununua chuma, Gwajima amesema kwa mtu yoyote mwenye akili na anajua kuzitumia jambo hili hawezi kuruhusu kufanyika. Gwajima amesema nchi imeanza na reli ambayo...
  16. ommytk

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Aya chuma hiyo inauzwa mafuta kisoda cc 600

    Chuma hiyo ulii tena kuhusu kupanda kwa mafuta bei yakutupa ni ya mdada amepata uhamisho bei 4m namba D
  17. Gama

    JamiiForums Tanzania Hofu baada mbeba chuma maarufu Cedric McMillan kufariki akifikisha miaka 44

    American bodybuilder Cedric McMillan has died at the age of 44, after health complications caused by Covid-19, and a road accident. McMillan, a long-time veteran of the US Army and National Guard, was a veteran bodybuilder and 2017 winner of the prestigious Arnold Classic. His death was...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Na hizi ndio NDOA ZENU: Mwamba kashaangukiwa na chuma kizito

    Sikia hii habari INTRO Nyie mabaharia kwani u-single unawashinda nini? Hivi mnajua kuoa ni kutafuta matatizo. Kuna baharia mwenzetu yashamkuta huku. FLASH BACK Nilianza kumjua 2019 baada ya kuhamia pale ofisini. Alikuja akiwa na demu (mchumba) kwa kipindi hicho walikua na miaka mi3 wapo...
  19. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Yuda Iskariote chuma kilicho piga pesa ndefu na kumsaliti Yesu

    Yuda a.k.a chuma ndiye mwamba uliyeona pesa ni bora kuliko Yesu. Kabla ya siku ya Alhamis Kuu kama iaminiavyo na Wakristo wengi hapa Duniani chuma kilikuwa kimeshalamba advance yake mapema kabisa na Mafarisayo kama wote mida ya jioni jioni ya Alhamis Kuu ndiwo walikuwa wapambe wake huku...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Kuna hatari ya ukabila inaienyemelea nchi, Rais Samia inabidi aongoze kwa mkono wa chuma kuepeusha hili

    Mimi ni muumini mkubwa wa demokrasia na utawala wa sheria, na ndiyo ni moja ya sababu iliyonifanya kuvutiwa na uongozi wa Samia kuliko uliopita Lakini kuna kipindi demokrasia hutumiwa vibaya na kuigawa nchi kwa udini au ukabila, hapo ndipo nasema demokrasia inabidi iwekwe pembeni Kumekuwa na...
Back
Top Bottom