chuma

Chukwuma Julian "Chuma" Okeke (born August 18, 1998) is an American professional basketball player for the Lakeland Magic of the NBA G League. A power forward, he was drafted 16th overall by the Orlando Magic in the 2019 NBA draft. He played college basketball for the Auburn Tigers.

View More On Wikipedia.org
  1. J Mbungi

    JamiiForums Kitanda kizuri Cha chuma 5X6 kwa Bei rahisi 120,000/- Madale Mwisho - DSM

    Nauza kitanda chuma 5X6 kwa Bei rahisi kabisa 120,000/ bad kipya kimetumika miezi4 tu!( Kimsingi hiyo elf20 itakuwa nauli ya kukuletea ulipo,hivyo (naamini kwa maeneo ya mbeZi,tegeta,goba au bunju hiyo nauli itosha kukifikisha ,ili adhima ya kupata laki1 nayohitaji itimie)!. Kipo Madale Mwisho...
  2. wa stendi

    JamiiForums Ni kweli mtu mwenye chuma mwilini akifariki chuma hutolewa kabla ya kuzikwa?

    Kumekuwa na maneno kuwa mtu aliyevunjika labda mbavu, mguu au nyonga akipelekwa hospitali labda akaongezewa kiungo cha chuma kumsaidia kundelea kutembea kama alivyokuwa, ni kweli akifariki dunia kile chuma huondolewa kabla ya kuzikwa?
  3. Stuxnet

    JamiiForums Kunusuru uharibifu miundombinu ya umma; Serikali isitishe biashara ya chuma chakavu

    BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku. Hata hivyo, ninadhani biashara hiyo inapaswa kumulikwa, kwani baadhi ya watu wanaokusanya...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Siku Mungu akinijalia kadri ya mapenzi yake nitanunua chuma hiki alicho simama nacho alex jones katika picha hii

    "Labda najipiga fix tu, ila sio kosa kutumaini"
  5. jey n

    JamiiForums Nauza trailers na vichwa vyake kama chuma chakavu

    Habari za muda ......nauza trailers na vichwa vyake kwa bei ya 10m kwa 8m....vinapatikana kibaha mkoani pwani...kwa mawasiliano zaidi 0767 015 189
  6. Desierto

    JamiiForums Nimeamini kweli kuna chuma ulete nilikuwa siamini yamenikuta

    Story iko hivi kama miezi sita kuna mteja alikuja akanipa kazi ya kumtengenezea tv nikamchaji elf35 alinipa hela usiku muda wa saa1 kesho nikawa siioni elfu 10 na ikapotea mazingira ya kutatanisha kwasababu niliiacha ofisini sasa kesho yake nikawa natafuta kwamba niliichukua muda gani ila...
  7. Mad Max

    JamiiForums Mercedes Benz C Class (W205) hii chuma Wajerumani walituliza vichwa. Hadi sasa naamini ndio the best katika segment yake

    Wakuu. Katika segment ya compact executive cars tunakutana na wakali wengi sana, mfano BMW 3 series, Mercedes Benz C Class, Audi A4, Volvo S60, Genesis G70, Lexus IS nk. Yote tisa, hii generation ya nne ya Mercedes Benz C Class, W205, iliyoanza mwaka 2014 hadi 2021 ni namba nyingine kabisa...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Nimepiga hesabu na zimenishangaza sana, income chini ya laki 5 kwa siku nitadhalilika, ni chuma ulete au ni nini?

    Kwa hesabu nilizopiga, endapo itatokea nikawa naingiza chini ya laki 5 kwa siku, basi naweza kudhalilika hapa mjini. Nimejaribu kutafakari, shida ni michepuko, watoto wengi au ni nini? Au ni chuma ulete hii, mbona naishi life style ya kawaida tu?
  9. PureView zeiss

    JamiiForums PICHA: Hii chuma ya umeme iliyoteka mitandaoni ni aina gani?

    Kumekuwa na mjadala tweeter juu ya chuma ya UMEME wengi wanadai hii ni Tesla S7 na wengine wakidai ni BYD Co na wengine wanasema ni Changan Deepal S7. Mtaalamu wa haya magari Mad Max utatusaidia kujua hili gari angalau na Sisi wengine tunaweza kuanzia kujichanga Kwa miaka ya baadae tumiliki na...
  10. Eli Cohen

    JamiiForums Serikali punguzeni customs vijana wanunue chuma kama hiki

  11. ndege JOHN

    JamiiForums The killers (2014)..usikose hii movie bonge la chuma

    Zee ni mwanamke maarufu anayeishi Paris ambaye huajiriwa mara kwa mara na Finn, raia wa Ireland anayefanya kazi kwa bwana wa uhalifu Jules Gobert, ili kuwaondoa wapinzani wa Gobert katika biashara ya dawa za kulevya. Maisha yake ya jeuri yamemfanya abaki na mambo machache ya kufurahia, mfano...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Chuma kilipogombea Urais

    Unahisi wapiga kura wake walikuwa wakina nani?
  13. M

    JamiiForums Kwa yaliyotokea jana, ni uthibitisho kuwa Mashabiki wa Yanga kwenda Uwanjani inahitaji moyo na uvumilivu wa chuma

    Mashabiki wa Yanga tunapenda kusapoti timu yenu na wengi jana kuanzia asubuhi walifika uwanjani. Wengine nyumbani wameacha familia, wengine wameaga wazazi kufanya angalau mtoko. Wengine walikuwa na watoto, na wengine wameacha watoto nyumbani. Watu wametoka Kimara, Kibaha, Tegeta, Chanika...
  14. THE BEEKEEPER

    JamiiForums Wanazi wa mabus tukutane hapa, chuma ipi ina mwaga moto road

  15. Planet Data bundles

    JamiiForums Natafuta banda la chuma la kununua mwanza au kukodi?? sharti bei iwe kitonga!

    Mwanza igoma Sharti bei iwe chini sana
  16. Mad Max

    JamiiForums GWM wamezindua Wey Lanshan SUV: Chuma ina interior moja matata sana!

    Ni Plugin Hybrid kutoka China tena. Kampuni la magari kutoka China kwa jina la Great Wall Motors, kupitia sub-brand yake ya Wey, wamezindua SUV moja kali sana iitwayo Lanshan IDE (Intelligent Driving Edition). Hii ni SUV kubwa, ina size ya 5156/1980/1805 mm kwa vipimo vya urefu, upana na...
  17. Replica

    JamiiForums Paul Makonda amkumbuka Hayati Magufuli, asema kilikuwa chuma. Asikitika fimbo kuondolewa mashuleni

    Paul Makonda akiwa kwenye mkutano jijini Arusha ameongelea mambo kadhaa ikiwemo kumkumbuka Rais wa awamu ya tano, Hayati John Magufuli jinsi alivyokuwa makini na mkali inapofika suala la uongozi. Paul Makonda: Ametoa takwimu hapo Ngorongoro girls watoto wanashindwa kuendelea na masomo, yaani...
  18. R

    JamiiForums Ufalme wa CHUMA usioshikamana na udongo siku za mwisho, ni ufalme wa aina Gani huu?

    Salaam, Shalom!! Imeandikwa katika siku za mwisho, kutainuka ufalme/ utawala uliofananishwa na CHUMA kilichojaribu kushikamana na udongo, lakini ilishindikana kuchanganyika na kushikamana. Kwamba, Daniel chapter 2, verse 43: Na kama vile ulivyokiona kile CHUMA kimechanganyika na udongo wa...
  19. O

    JamiiForums Niuzie Banda la chuma ninaloweza kulifanya kama kiofisi sio ya uwakala

    Banda lisiwe kubwa sana just size ya fut 5 x5 au 5x6 Location mwanza, lisiwe chakavu nitafurahi likiwa maeneo changamfu au kama bado halijaingia sokoni sio mbaya nicheki dm
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums, JamiiForums Kenya Rais wa Kenya Dr.William Samoe Ruto ni chuma imara zaidi ya hayati daniel arap moi alie wahi kua raos wa taifa hilo

    miongoni mwa marais Imara sana, wenye nguvu, ushawishi na maono ya mbali sana, na wasio tikiswa kisiasa nchini Kenya kwa wakati huu, na anae enjoy mass support, technical and economic support ya makundi mbalimbali, ya kitaifa na kimataifa ni pamoja na Dr. William Samoe Arap Kipchirchiri Ruto...
Back
Top Bottom