Yesu azaliwe mioyoni mwetu, siku ya Leo tuzaliwe upya
•tuache matendo mabaya,
•tulipe Kodi,
•tufanye kazi tutafute Hela, tuache kukesha mitandaoni mida ya KAZI
•tuache uchonganishi na upotoshaji,
• tuache ku comment matusi, •tutubu dhambi zetu,
• tuheshimu viongozi wetu kuanzia ngazi ya mitaa...