chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukabila una nguvu kuliko udini

    UKABILA ni ushamba na ugonjwa wa akili. Udini pia ni ushamba na ugonjwa wa akili. Sisapoti udini wala ukabila wala ukanda ila ninazungumzia uhalisia. Mwanadamu hujiona yupo so much connected na mtu wa kabila lake au rangi yake kuliko mtu anae share nae dini yake ambae sio wa kabila lake...
  2. JamiiForums Tanzania Ila nyie Dunia ina mambo, kuna watu kazi yao kukaa Mahakamani kusubiri wenye kesi wapate chochote!

    Yaani makubwa haya kama hujui kuna mengi ya ajabu sana kwenye hii dunia. Kuna wakati unashangaa Lakini ndio ukweli wenyewe. Binadamu ana namna mbalimbali za kujippatia Riziki. Utakuta vishoka. Hii ya vishoka mahakamani inatia woga. Wakati wewe unahangaika kutafuta Riziki kkwa njia zako wapo...
  3. JamiiForums Tanzania Mimi ni mmojawapo wa wanaune wenye shoo mbovu na wala siogopi chochote. Bado najiamini sana

    Huo ndo ukweli jamani ambao natamani kuusema... Nahisi mimi ntakuwa ni kati ya wale watanzania ambao tunashika mkia kwenye suala zima la kupiga show. Niseme tu ukweli mimi ni mbovu sana, tena sanaa.. Sitaki kusema ni mbovu kiasi gani.. Ila nahisi ntakuwa nashika mkia. Ila kizuri ni kwamba...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Kuna chochote cha kutarajia kwenye mkutano wa kilele kati ya Marekani na Afrika?

    Mkutano wa kilele kati ya Marekani na Afrika umepangwa kufanyika kuanzia tarehe 13 hadi 15 Desemba 2022, ikiwa ni moja ya juhudi za Marekani kutekeleza sera yake ya kurudisha uwepo wake barani Afrika, baada ya aliyekuwa Rais wa Marekani Donald Trump kuiweka Afrika pembeni kwenye sera za...
  5. JamiiForums Tanzania Mo Dewji akamatwe mara moja kwa udanganyifu na arudishe hisa zote bila kupewa chochote

    Ati anataka kuuza hisa zake zipi? Kama ni kweli akamatwe na ahojiwe Kwa kutupotezea muda wetu, hizo hisa alinunua lini na pesa alimpa nani? Na kama pesa ipo inafanya kazi Gani? Ifike muda tuwakatae wahuni wanaokuja kuharibu Mpira wetu na vilabu vyetu!
  6. JamiiForums Tanzania Niulize chochote kinachohusu 'clearing' za mizigo bandarini

    Nafanya clearing za mizigo ya aina yote bandarini. Mawasiliano: WhatsApp & Call 0652802379
  7. JamiiForums Tanzania Taja kipaji chochote unachokiona kwa mwana JF mwenzako

    Hapa jukwaani pamesheheni vijapi vya kila aina na vya kila namna. Kuna vipaji hai na vipo mfu. Kuna vipaji ambavyo vinatuburudisha, na vipo vipaji vinatuelimisha. Kuna vipaji vinatuonya na kutuadilisha, na pia kuna vipaji vinavyoyaelezea vyema maisha yetu ya usoni ambayo hatujayaishi bado na...
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi: Hakuna wa kunipiga marufuku kwa chochote

    Ametoa kauli hiyo ikiwa ni siku chache tangu Rais Museveni ambaye ni baba yake kumuombea msamaha na kumtaka ajiondoe Twitter kutokana na kauli zake za kuliteka Jiji la Nairobi Akijibu mahojiano aliyofanya Rais Museveni na kituo cha TV cha KTN, Jenerali Muhozi kupitia Twitter ameandika...
  9. JamiiForums Tanzania Liz Truss: Ushindi kwa Ukraine unawezekana, lazima ashinde na atashinda, tupo pamoja naye kwa kipindi chochote vita itakachochukua

    Waziri mkuu wa uingereza amesema haijalishi vita itachukua muda gani lakini uingereza itasimama na Ukrene bega kwa bega kwa hali na mali huku misaada ya kijeshi itaendelea kupelekwa kyiv bila kujali urusi anatoa vitisho gani,Waziri mkuu huyo amemalizia kwa kusema ukrene lazima ashinde vita kwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Umekumbuka kuwatumia chochote wazazi walezi au ndugu zako?

    Tarehe kama hizo najua baadhi yetu mifuko imetuna,Kwa wale majobless msikonde iko siku..nirudi kwenye mada,je umekumbuka kutuma chochote Kwa wazazi wako,walezi au pengine hata ndugu zako..? Tujitahidi tutume chochote Kwa wazazi tusisubiri kuombwa kwani ndio baraka zilipo..kumwagilia Moto sio...
  11. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu kuhama Chuo kwa upande wa vyuo vikuu

    Wanafunzi naomba muulize chochote kuhusu kuhama Chuo /vyuo vikuu .
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nikikukaribisha dinner lengo ni uwe mpenzi wangu, kama una maswali au chochote sema, niko straight!

    Habari wanajukwaa nimemtolea mdada uvivu jana nikamchana mazima kama inavyojieleza hapo juu, nikuita Kwa huu mwaliko nakutaka uwe mpenzi wangu karibu Kwa maswali au ujumbe wowote unajieleza kwa uhuru wa kikatiba. Karibu jisikie huru sinaga ubabaifu so be free. Mdada akapagawa hajaamini akapatwa...
  13. JamiiForums Tanzania Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu

    This one is for the people. Adui anatawala watu wanadamu bila wao kufahamu. Ni Siri kubwa iliyofichwa katika namba. Toka binadamu anazaliwa huwa kuna namba maalumu ambazo initiates yoyote ambaye yupo kitendo anaweza kufahamu destiny yako. Namba ya kwanza MTU anayopewa IPO katika cheti cha...
  14. JamiiForums Tanzania Nchi yetu kwasasa haina kitisho chochote, kwa nini Lissu hataki kurudi?

    Nimemiss sauti na harakati za Tundu Lissu, atarejea lini huyu mtu? Ni nini ambacho kimeendelea kuwa kikwazo kwake kiasi kwamba abakie Ubelgiji mara nyingi ana ahidi kurejea mwisho kunakuwa kimya kabisa Kwanini harejei? Najua Kuna watu wengi wamemmis akiwa mahakamani sambamba na akina Kibatala...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa sasa nimeamini Wajaluo ni under dogs, Hawawezi chochote mbele ya Wakikuyu na Wakalenjin

    Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa na matokeo yalishajulikana.. Kikuyu na Kalenjin ndio wataifaidi keki ya Kenya milele. Raila...
  16. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje? Mimi huwa sielewi chochote

    Hivi ndugu zangu hivi huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje huu mimi ua sielewi chochote kuhusu huu Muungano. Mimi naishi katika nchi ambayo ina Muungano wa nchi mbali mbali. Sitokwenda mbali nitachukuwa mfano wa Quebec na Canada. Quebec ilikuwa nchi ambayo walijiunga na Canada na...
  17. JamiiForums Tanzania Kidogo chochote unachopata, kitunze tafadhali

    Maisha yetu (watu wa level ya chini) yamekuwa hayatabiriki kabisa, hatuijui kesho yetu. Hata kula ni ya changamoto sana. RAI YANGU: Kidogo unachopata, hata kama ni kidogo, tumia kiasi then kitunze, kirundikane na vyenzie ili viisaidie kesho yako. Kuna wakati mwanaume mzima unaamka huna hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…