chochote

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa sasa nimeamini Wajaluo ni under dogs, Hawawezi chochote mbele ya Wakikuyu na Wakalenjin

    Sikuzijua hizi siasa za Kenya ila Leo ndio nimezijua Nadhani hata ile ya Kenyatta kumsapoti Raila ilikuwa ni strategy tu kusiwe na malalamiko mengi baada ya Ruto kuwa raisi.... Mpango ulishasukwa na matokeo yalishajulikana.. Kikuyu na Kalenjin ndio wataifaidi keki ya Kenya milele. Raila...
  2. kwisha

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje? Mimi huwa sielewi chochote

    Hivi ndugu zangu hivi huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar upoje huu mimi ua sielewi chochote kuhusu huu Muungano. Mimi naishi katika nchi ambayo ina Muungano wa nchi mbali mbali. Sitokwenda mbali nitachukuwa mfano wa Quebec na Canada. Quebec ilikuwa nchi ambayo walijiunga na Canada na...
  3. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Kidogo chochote unachopata, kitunze tafadhali

    Maisha yetu (watu wa level ya chini) yamekuwa hayatabiriki kabisa, hatuijui kesho yetu. Hata kula ni ya changamoto sana. RAI YANGU: Kidogo unachopata, hata kama ni kidogo, tumia kiasi then kitunze, kirundikane na vyenzie ili viisaidie kesho yako. Kuna wakati mwanaume mzima unaamka huna hata...
Back
Top Bottom