china

  1. T

    JamiiForums Tanzania Ndege zote za abiria kutoka China kuzuiwa kuingia Marekani kuanzia Juni 16 mwaka huu

    Marekani imezuia ndege zote za abiria za kutoka China kuingia nchini humo kuanzia tarehe 16 mwezi huu. ==== In a move likely to inflame tensions between the United States and China, the Trump administration said Wednesday it will ban all commercial passenger flights by Chinese carriers. The...
  2. JamiiForums Tanzania Vita ya Marekani na China yaendelea kuwaka, China yatangaza kulipiza kisasi

    China imeionya Marekani kuwa italipiza kisasi baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutangaza vikwazo dhidi ya wanafunzi wa China nchini Marekani katika hatua ya kulalamikia sheria mpya ya usalama wa taifa mjini Hong Kong. Trump alisema Ijumaa kuwa Marekani itawapiga marufuku baadhi ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania China na historia mbaya ya kueneza magonjwa duniani (pandemics): The case of Bubonic Plague

    .... imeandikwa kuwa the Black Death ambayo iliua karibu 60% ya watu duniani ilianzia China. The Black Death: What Bubonic Plague Reveals About COVID-19 Coronavirus Pandemic The so-called Black Death, or pandemic of the Middle Ages, began in China and made its way to Europe, causing the death...
  4. JamiiForums Tanzania Wanafunzi na watafiti kutoka China wanaosoma Marekani wazuiwa kukaganya Marekani

    Marekakani imekua ikiwatuhumu wanafunzi na watafiti kutoka china kwa wizi wa nyaraka za siri za kiutafiti kutoka kwenye vyuo wanavyosoma na kuzipeleka China. Juzi juzi hapa ilikamata watafiti kadhaa kwa kutorosha sampuli za virusi kwenda China. Marekani imekua ikiituhumu China kutumia...
  5. JamiiForums Tanzania Watu waliowaponda vijana wetu waliopo China ndiyo wamekuwa wa kwanza kulia kwenye mitandao

    Huu uzi ni maalumu kwa watu wanao laumu viongozi ili hali na wao pia ni wa binafsi. Watu wengi walijitokeza facebook, Instagram na watsap kuwakebehi na kuwaponda vijana wa watu na hata wazazi wa vijana hao. Yalitolewa maneno ya dhihaka. Lakini pia hata msaada wowote haukutolewa. Na wengi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Tanzania na China live ktk TV mada: Covid-19

    May 27, 2020 Covid-19 Frontline live on CGTN TV Madaktari wa Kitanzania na China wazungumzia uzoefu wakihojiwa Live na Televisheni ya kimataifa ya CGTN Habari nzuri madokta waTanzania toka Prof. Mohammed Janabi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete, Dr. Charles Hospitali ya Kairuki Memorial Dsm...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini Hongkong wanaichukia sana China?

    Hongkong kuna maandamano ya kutisha kutokana na "muswada wenye utata" uliopitishwa na Serikali Kuu ya China. Mapambno yamekuwa makubwa kati ya polisi na waandamanaji. Katika harakati za kuivuruga china kabisa, Trump amesema atachukua hatua kali zaidi dhidi iwapo muswada huo utapitishwa...
  8. JamiiForums Tanzania China kuendelea kuisaidia Afrika kukabiliana na COVID-19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa China Bw. Wang Yi amesema, China itaendelea kuzisaidia nchi za Afrika kupambana na COVID-19, na kuchangia utekelezaji wa pendekezo la Kundi la nchi 20 la kukubali nchi maskini kuahirisha kulipa madeni. Vilevile China inafikiria kutoa msaada zaidi kwa nchi za Afrika...
  9. M

    JamiiForums Tanzania China: If We Have to Pay for Coronavirus, U.S. Has to Pay for AIDS, 2008 Financial Crisis

    China: If We Have to Pay for Coronavirus, U.S. Has to Pay for AIDS, 2008 Financial Crisis Chinese state media once again floated the prospect of international lawsuits against the United States for supposedly being responsible for the HIV/AIDS epidemic in a column Thursday, adding the 2008...
  10. M

    JamiiForums Tanzania How The World is forming an alliance against China

    Many countries across the globe are joining hands against China. They are working as a "collective whole" and have adopted a holistic approach to ensure that China pays for its ill-deeds. The five levers that they are using against China are as follows: First retaliation They are demanding and...
  11. JamiiForums Tanzania LIVE: US slams WHO as 'puppet of China'

    https://www.bbc.com/news/live/world-52717664
  12. M

    JamiiForums Tanzania China promises to take a revenge on Australia as 62 Countries joins Corona Virus Enquiry

    A COALITION of 62 countries are now supporting Australia's call for an independent probe to investigate the causes of the coronavirus pandemic that started in Wuhan, China. But, Australian Prime Minister Scott Morrison has felt the wrath of Beijing, after China threatened to decimate his...
  13. JamiiForums Tanzania China is set to force a '30-day calming period' on Divorcing Couples

    Chinese lawmakers have drafted a law to order all divorcing couples to complete a '30-day calming period' after the country saw tens of thousands of people applying for separation following the coronavirus lockdown. Married couples who wish to break up must wait for a month before their request...
  14. JamiiForums Tanzania Trump atishia kusitisha uhusiano na China

    Rais Donald Trump wa Marekani ametishia kusitisha mahusiano na China kutokana na dhima ya taifa hilo katika kusambaa kwa virusi vya corona ambavyo hadi sasa vimesababisha vifo vya zaidi ya watu 300,000 duniani. Katika mahojiano yaliyorushwa jana Alhamis Rais Trump amerejea shutuma zake dhidi...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Fears erupts after experts claims "US has China Surrounded"

    I THE US and China have entered a new phase of their long-standing war - this time a dispute over the origins and causes of the coronavirus. Though mostly rhetorical, the US appears to have military bases and missiles pointed at China should a full-blown war break out between the two global...
  16. JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu China kudukua tafiti za chanjo ya COVID-19

    Wataalamu wa usalama wa mtandao wa Marekani wameishutumu China kuwa inawadukua kujaribu kuia taarifa kuhusu tafiti zilizofanyawa kuhusu COVID19 FBI na Idaya ya Usalama imepanga kutoa onyo kuhusu kwa wachina wanaoshutumiwa kudukua taasisi za Afya zinazofanya tafiti kugundua chanjo ya CoronaVirus...
  17. JamiiForums Tanzania China imeripoti visa vipya, mji wa Wuhan watangaza kisa kimoja

    China imeripoti visa vipya 17 vya #COVID19, 10 kati ya hivyo yakiwa ni maambukizi ya ndani. Mji wa Wuhan umetangaza visa vitanoa vya ugonjwa huo baada ya kuwa kimya kwa takribani mwezi mmoja - Mji wa Jilin umewekwa katika zuio la kutoka nje baada ya kuwa na visa 10 vilivyoripotiwa, Mei 10...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Nchi zetu zitoe shinikizo China isamehe madeni yake

    Yaani nchi za Africa zimezoea kulaumu nchi za west mpaka kwenye Corona. Tunaomba world bank itusamehe makosa yetu lakini kwanini mikopo ya China haionholewi. Tanzania mikopo mingi ya China moja wapo ni ule wa $1.3B bomba la gesi ambalo halitumiki vizuri. Kawanini tusiombe punguzo huko wakati...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Did china and WHO doom the word with covid19 for China to sign a trade deal with America

    Information has been leaked that china knew of the covid19 outbreak in late November 2019. The doctors who blew the whistle were immediately arrested and detained with two of them dying in custody from covid19. December 15nth 2019, China signed a trade deal with America with a very interesting...
  20. JamiiForums Tanzania Video: Mwafrika akiburuzwa kama kiroba cha mchele barabarani huko China kisa Corona

    Inadaiwa kwamba waAfrika ndio wamepeleka Corona China, hivyo wanasulubiwa ipasavyo. Je kuna haja ya kuwawashia moto hawa waChina huku Afrika kama waSauzi kioindi cha Xenophobia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…