china

  1. JamiiForums Tanzania Ripoti: Marekani na China vinara wa Soko la Silaha. UAE yaingia kwenye top 25 kwa mara ya kwanza

    Ripoti mpya ya taasisi ya kimataifa ya utafiti wa amani SIPRI yenye makao yake mjini Stockholm, SIPRI imeonyesha kuwa makampuni ya silaha ya China na Marekani yalilidhibiti soko la silaha ulimwenguni kwa mwaka 2019. Lakini pia ripoti hiyo imesema Mashariki ya Kati kwa mara ya kwanza imeingia...
  2. JamiiForums Tanzania China: Watu 18 wafariki mgodini

    Wachimbaji 18 wamefariki na wengine 5 bado wako shimoni baada ya kuvujiwa na gesi ya Kaboni Monoksaidi Mgodi huo wa mgodi wa Diaoshuidong Mjini Chongqing, Beijing ulikuwa umefungwa kwa miazi miwili. Uchunguzi unaendelea kujua chanzo halisi cha ajali Ajari kama hiyo katika mgodi huo iliwahi...
  3. JamiiForums Tanzania Tozo ya kodi posta Tanzania unapoagiza bidhaa kutoka Aliexpress China

    Nimekuwa nikiagiza bidhaa nyingi kutoka Aliexpress, na mara zote nimekuwa nikitozwa kodi kubwa na posta ninapoenda kuchukua mzigo zaidi ya bidhaa bei ninazoagiza. Nataka kujua kwa wenzangu ambao mnaagiza kama nyie mnatozwa hivyo au mimi nakosea sehemu! Mnielekeze nifanyaje ili kupunguza kodi.
  4. JamiiForums Tanzania Marekani yaziwekea vikwazo vya kiuchumi Kampuni 4 za China na Urusi kwa kusapoti teknolonia ya Nyuklia Nchini Iran

    The United States on Friday announced economic sanctions on Chinese and Russian companies that Washington said had supported the development of Iran’s missile programme. The four firms, accused of “transferring sensitive technology and items to Iran’s missile programme”, will be subject to...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - Kampuni za kusafirisha mizigo kwa ndege toka China

    Habari nyote. Kama maelezo yasemavyo hapo juu naomba kufahamu kampuni za kusafirisha mizigo kwa ndege kutoka China kwa bei nafuu. Nimekuwa nikitumia Unique aircargo lakini kiukweli mizigo inatumia muda mrefu kufika. Hivyo naomba uzoefu wenu wadau wa jukwaa hili la biashara kuweza kupata njia...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan?

    Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu Jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Kwanini bidhaa nyingi zinazoagizwa kuja barani Afrika (Tanzania) zinatokea China isipokuwa magari ambayo yanatokea Japan? Ukiwa upo katika foleni ya magari barabarani, jaribu kufanya tathmini ya haraka...
  7. JamiiForums Tanzania Benki Kuu (BoT) yachukua usimamizi wa Benki ya China kwa kushindwa kulinda vigezo

    Benki kuu ya Tanzania leo imechukua usimamizi wa Benki ya kibiashara ya China kwa kushindwa kulinda vigezo vya kuendeleza kuwepo ikiwemo mtaji. Benki kuu kwa mamlaka iliyonayo kwenye sheria ya mabenki na taasisi za fedha imechukua uongozi wa benki hiyo kutoka leo tarehe 19 Novemba 2020 kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Utafiti: CoronaVirus ilishasambaa Duniani kabla ya mgonjwa wa 1 kugundulika China Desemba 2019

    Virusi vya Corona vilikuwa vikizunguka nchini Italia mapema mwezi Septemba 2019, kulingana na utafiti uliofanywa na kituo cha kitaifa dhidi ya Saratani (INT) huko Milan, kikibaini kwamba virusi vya SARS-CoV-2 viliweza kuenea nje ya China mapema kuliko watu wanavyofikiria. Shirika la Afya...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Magufuli ili TAZARA isife, ongea na China ili iunganishwe na Malawi kupitia Mbeya au Tunduma, na pia ipitie Morogoro na Iringa mjini!

    TAZARA haina hali nzuri. Na sababu kubwa ni kwamba utegemezi wa Zambia kwa TAZARA umepungua sana. Kwa sasa Zambia inaweza kupitisha mizigo yao sehemu nyingine zaidi ya Dar es Salaam, kutia ndaniMsumbiji na Afrika Kusini. Lazima tuseme ukweli Wazambia kwa sasa hawana shida sana na TAZARA, japo...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa upinzani Hong Kong wajiuzulu wote kupinga sheria ya uzalendo ya China

    Wabunge wa Upinzani Hong Kong wamejiuzulu na kususia Bunge kwa kupinga msimamo wa Wabunge wa chama tawala katika kisiwa hicho kuonekana kukubaliana na sheria ya serikali ya Beijing ya Uzalendo kwa watu wa Hong Kong. Idadi ya wabunge wa upinzani Bunge la Hong Kong ni 19 katika Bunge lenye idadi...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Watanzania mumefika wa kusemwa hadi na Japan, kawaida Japan na China huwa hawahangaiki na mambo ya ndani ya watu

    Tumezoea mataifa kama Japan na China kutojishughulisha na mambo ya ndani ya nchi za watu, wao hata mchinjane hadi abaki mmoja, huyo ndiye wataendelea naye kwenye mishe zao. Japan ni mojawapo wa wafadhili wa miradi Tanzania, ikiwemo msaada waliotoa kwa ile 'flyover' ya Mfangale ambayo Watz...
  12. JamiiForums Tanzania China is slowly turning Africa into its Colony and our blind-deaf-brainless leaders are helping the process

    Straight to the point and short clear: China is lending a helping hand to African dictators which is in the financial support to pay the price for their longer stay in power without having any clue to where they are taking their nations. Like how a dog is lured by a python and gets constricted...
  13. JamiiForums Tanzania Tujuzane uzuri, changamoto, gharama za kuagiza mizigo kutoka china kupitia Silent Ocean na kampuni nyingine

    Habari wadau, Nataka kuagiza mizigo kutoka China Nimejuzwa kwamba kuna makampuni yanahusika na kuleta mizigo mpaka hapa Tanzania. Sasa najua wengi pengine kwa haraka haraka mmeona ni heri ningeongea nao hizo kampuni moja kwa moja, Ni jambo zuri lakini kwa uzoefu wangu nimeona wataongelea tu...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Jengo la Shule lenye ghorofa 5 lililojengwa miaka 85 iliyopita likihamishwa kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China

    Tazama jengo la shule lililojengwa zaidi ya miaka 85 iliyopita likihamishwa zima zima kama lilivyo katika mji wa Shanghai, China, kwa kutumia teknolojia iliyopewa jina "Mashine Inayotembea" Jengo hilo lililopo katika eneo la Wilaya ya Huangpou lilijengwa mwaka 1935 kwa ajili ya Shule ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kuelekea 28 October 2020: Marekani na China zaendelea kutunishiana misuli kuhusu uchaguzi wa Tanzania

    Leo ni zamu ya Wizara ya Mambo ya nje ya China na Ubalozi wa China nchini Tanzania Wamesema kuwa Marekani sio kwamba anataka uchaguzi nchi Tanzania bali anataka kuikomoa Tanzania kwa kuvunja mkataba wa uzalishaji umeme wa kampuni ya symbion. Aidha, balozi wa China nchini Tanzania amesema...
  16. JamiiForums Tanzania Urafiki wa Afrika na China hauna maslahi kwa Wananchi. Una maslahi kwa watawala Madikteta

    Popote pale China ilipo inaweka mazingira mazuri kwa ajili ya watu wake. Hivyo hujitahidi sana kukamata Serikali iliyopo Madarakani kwa kui support kwa hali na mali ili Serikali hiyo iendelee kuwanyonya wananchi na China ifaidike kwa maslahi ya nchi yake. China ya sasa siyo China ya Ujamaa. Hii...
  17. JamiiForums Tanzania China yaitaka USA kutowabughudhi wanafunzi wake walio USA

    Kwakile kinachoonekana ni maagizo ya China kwa USA toka wizara ya mambo ya nje ya China Wizara hiyo imesema kuwa. "Tunataka marekani iache kuwasumbua wanafunzi wanaosoma marekani wakitoka China kwa kisingizio cha mahakama" Source CRI kiswahili
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 China yaionya USA juu ya uchaguzi wa Tanzania 2020

    Serikali ya China imeitaka USA kutoingilia maswala ya ndani ya nchi nyingne ikiwemo uchaguzi wa Tanzania kwa kuwa serikali ya Tanzania inaweza kusimamia vema uchaguzi == CHINA YAIAMBIA MAREKANI ISIINGILIE MAMBO YA NDANI YA TANZANIA Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa #China, Zhao Lijian...
  19. JamiiForums Tanzania China yaipita Marekani kiuchumi

    IMF Admits China Has Overtaken The US As The World’s Largest Economy; But Why Is The Media Silent?Published 17 hours ago on October 18, 2020By EurAsian Times Desk. The world is waking up to a new reality post the devastating pandemic that brought everything to a grinding halt. One of them is the...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Taarifa Kwa Umma: Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Bashiru atakuwa na kikao kazi na Balozi wa China Nchini Saa 4:00 leo asubuhi

    Katibu Mkuu wa CCM atafanya Kikao Kazi Na Balozi wa China Mhesh Wang Ke kuanzia saa 4: 00 asubuhi ya leo Oktoba 10, 2020. Matangazo ya moja kwa moja kutokea Ukumbi wa Chuo Cha Uongozi Cha Mwalimu Nyerere Kibaha kupitia Televisheni za TBC na Channel 10 Tafadhali mkumbushe & Mtaarifu mwenzako
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…