china

  1. JamiiForums Tanzania China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataliban

    Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataleban. Wakati nchi kadhaa zikiwa kwenye hatihati za kufunga balozi zao, Urusi...
  2. JamiiForums Tanzania China: Watu 21 wafariki dunia kutokana na mvua kubwa

    Miji mitano katika Jimbo la Hubei imetangaza tahadhari baada ya mvua kusababisha vifo vya watu 21 na kulazimisha watu wapatao 6,000 kuhamishwa makazi. Mamlaka zimeonya mvua kubwa zinaweza kuendelea hadi wiki ijayo Hali mbaya ya hewa imesababisha umeme kukatika huku nyumba zaidi ya 3,600 na...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mgogoro iliozusha Marekani si kati yake na China, bali ni kati ya ubinadamu na umwamba

    Hivi karibuni, maandamano ya kupinga serikali yalitokea nchini Cuba. Wakati jamii ya kimataifa ilipotia wasiwasi na kuwa tayari kutoa msaada, Marekani nayo ilitumia maandamano hayo kama ni fursa. Rais Joe Biden alisema, “Marekani iko pamoja na watu wa Cuba”, na kutangaza vikwazo vipya dhidi ya...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Miujiza ya mafanikio ya Kiuchumi ya China yaliyowezeshwa na chama cha CPC

    Tarehe mosi Julai 2021, Chama cha Kikomunisti Cha China CPC kiliadhimisha miaka 100 tangu kianzishwe. Katika hafla kubwa ya kuadhimisha karne moja, Rais wa China Xi Jinping ambaye pia ni Katibu wa Kamati Kuu ya CPC alitangaza kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne la kujenga jamii yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Maambukizi zaidi yaendelea kuripotiwa China

    China imeendelea kurekodi maambukizi zaidi ya Virusi vya Corona, ikiwa ni wiki ya tatu tangu mlipuko mpya kuripotiwa. Visa vipya 125 vimerekodiwa na baadhi ya Miji imeongeza jitihada za upimaji ili kukabiliana nao. Kirusi Delta kimegundulika katika Miji kadhaa Nchini humo tangu Julai 20. Katika...
  6. K

    JamiiForums Tanzania China is the upcoming super power

    China mwaka 2021 bimaana mwaka huu mwezi wa pili imetangazwa kuwa ni taifa pekee lililokopesha mataifa mengi duniani. Bank kuu ya China imekopesha mataifa 138 na kusamehe madeni mataifa 38. Hivi tujadiliane jamani kiuchumi hii imekaaje? Hivi kuna atayempiku huyu jamaa kweli?
  7. JamiiForums Tanzania Harmony OS haijaisadia Huawei, mapato yashuka kwa 30%

    Katika kujitutumua na vikwazo vya USA Huawei walikuja na Os Yao ya Harmony Kwa ajili ya simu. Huawei waliisifia OS Yao kuwa iko fasta kuliko android na baadhi ya wachambuzi waliona OS ya Huawei ni mshindani wa android. Mpaka sasa Huawei imetangaza Hasara ya Pauni za Uingereza bilioni 35, Sawa...
  8. JamiiForums Tanzania Jinsi China "ilivyoangukia pua" mbele ya Marekani huko Ethiopia

    .
  9. L

    JamiiForums Tanzania China yachukua hatua mpya kuchochea uwekezaji wa kigeni

    Na Ronald Mutie Wawekezaji wa kigeni wanaweza kunufaika na fursa mpya za kuingia kwenye soko la China, baada ya serikali kuchukua hatua maalum za kupunguza masharti hasi-maarufu kama orodha hasi. Hatua hizo mpya zinalenga kuimarisha biashara kati ya China na nchi mbalimbali na zilianzishwa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini China iwe ajenda ya siri mkutano wa wafanyabiashara kati ya Marekani na Afrika?

    Viongozi wa kisiasa na biashara wa Marekani na nchi za Afrika walifanya mkutano wa kilele kati yao kwa njia ya video kuanzia tarehe 27 – 29 Julai, ukiwa na kauli mbiu ya “njia mpya za kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Afrika”. Kwa Marekani mkutano huu ni moja ya hatua za Rais Joe Biden...
  11. JamiiForums Tanzania Ufundishaji wa Kiswahili na Taaluma za Kiafrika nchini China

    2021年4月23日至4月26日,上海外国语大学东非研究中心主任、东方语学院斯瓦希里语专业负责人马骏老师,东非研究中心副主任、斯瓦希里语专业宁艺老师率领斯瓦希里语专业5名同学赴京参加“全国非洲语言教学研讨会暨首届中国高校非洲语言学科竞赛”,随后前往清华大学国际与地区研究院参加交流研讨活动。...
  12. JamiiForums Tanzania Maambukizi ya COVID-19 yarejea tena Jijini Wuhan

    Jiji la Wuhan Nchini China ambalo liliripoti mlipuko wa CoronaVirus kwa mara ya kwanza mwaka 2019 litawafanyia vipimo wakazi wote baada ya maambukizi kuripotiwa. Mamlaka zimehusisha visa hivyo na Kirusi cha Delta kinachosambaa kwa kasi pamoja na msimu wa Utalii. China inashuhudia ongezeko kubwa...
  13. JamiiForums Tanzania China: Waliofariki dunia kutokana na mafuriko waongezeka na kufikia 302

    Idadi ya waliofariki dunia kutokana na mafuriko mabaya ya mwezi Julai imeongezeka kufikia 302 na wengine bado hawajulikani walipo. Eneo la Zhengzhou katika Jimbo la Henan liliathiriwa zaidi ambapo watu 292 walipoteza maisha kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha kwa siku tatu. Kutokana na...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Hatua za China za kuleta amani na mshikamano hazipaswi kupotoshwa kuwa ukandamizaji wa kidini au kikabila

    Baadhi ya watu duniani wanahusisha uislamu na ugaidi, ufarakanishaji na vita, na vyombo vya habari hasa vya nchi za magharibi, vimekuwa vikipaza sauti za maoni hayo kuhusisha maeneo ya Mashariki ya Kati, Afrika Kaskazini, Afghanistan na kwengineko. Lakini wachina waislamu, wanaamini kuwa picha...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China

    Hello wakuu. Naomba kujua ushuru wa yeboyebo na viatu ukiagiza toka China. Import duty ya bidhaa aina hizo. Nitashukuru sana.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kwenye sekta ya kilimo kati ya China na Afrika, unaweza kuinua maisha ya wakulima wengi wa Afrika

    Ile zama ya vyama na serikali kuwa wadau pekee wa uhusiano kati ya China na Afrika sasa imepita. Mageuzi makubwa ya kiuchumi yamefanyika nchini China na maendeleo makubwa yamepatikana, hali hii imefanya serikali isiwe mdau pekee wa ushirikiano. Tangu China ianzishe ushirikiano wa kimkakati wa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Norway imeituhumu China kwa kushambulia Barua Pepe za Bunge lake

    Serikali ya Norway imeituhumu China kwa kuhusika na mashambulio ya kimtandao katika mifumo ya Bunge lake mnamo mwezi machi 2021. Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Ine Eriksen Soereide amesema uchunguzi umebaini kuwa mashambulizi hayo kwenye mfumo wa barua pepe yalifanywa kutoka China. Asema...
  18. L

    JamiiForums Tanzania China yakaribisha nchi nyingine kujiunga nayo kushirikiana na Afrika katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Katika mkutano wa wakuu wa China, Ufaransa na Ujerumani uliofanyika hivi karibuni kwa njia ya video, rais Xi Jinping wa China alitoa wito kwa Ulaya kutoa chanjo dhidi ya COVID-19 kwa Afrika, na pia kuisaidia kukabiliana na shinikizo la madeni linalotokana na janga hilo. Juu ya hilo, kuna vyombo...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Kimataifa ya Nelson Mandela: China na Afrika ziko pamoja kithabiti katika vita dhidi ya ubaguzi wa rangi

    "Kengele inalia, ikimwita arudi nyumbani, kama ni kusikitika na maisha yake. Kitu ngozi nyeusi inachomletea ni pambano la kujitolea kwa watu wa rangi zote.” Miaka 31 iliyopita, aliyeguswa na hadithi ya Nelson Mandela, Wong Ka Kui, mwimbaji mkuu wa bendi ya BEYOND kutoka Hong Kong, China...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…