china

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania China yaanza kuisaidia Urusi kwa siri

    Baada ya minong'ono ya muda mrefu kuhusu uwezekano wa China kuisaidia Urusi katika vita vyake na Ukraine hapo jana kwa mara ya mwanzo China imepeleka moja ya silaha zake kali za kutungulia ndege huko Serbia jirani na Urusi. Katika msafara huo uliofanywa kwa siri ndege 6 za kubebea mizigo aina...
  2. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Mafuta na gesi ya Russia yaendelea kwenda kwa wingi India, China na nchi za EU. Hizo za ulaya wanayanunua kwa rubles

    Sasa ni wiki sita tangu vita ya Russia vs USA inayopiganiwa Ukraine ianze. Hakuna dalili ya vita hii kumalizika siku za karibuni. Na kuna uwezekano wa kugeuka kuwa vita ya kinuklia mbaya ambayo haijawahi kutokea hapa duniani. Kabla ya vita hii, India ilikuwa inanunua asilimia 2 hadi 5% tu ya...
  3. kokudo

    JamiiForums Tanzania Nimepigiwa simu na kutukanwa kisa kutoa maoni

    Habarini za wakati leo, nimekutana na mkasa ulioniacha mdomo wazi. Siku mbili nyuma niliagiza mzigo kutoka China na nikasafirisha na kampuni moja kimsingi ilikuwa ni mara ya kwanza kuwatumia. Mzigo ulivyofika nilipata usumbufu namna ya kumfikia transporter wa kuleta mkoa nilipo. Karibu siku...
  4. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zikishirikiana vizuri kwenye kilimo zinaweza kuondoa baa la njaa Afrika

    Pili Mwinyi Bara la Afrika, ambalo lina watu zaidi ya bilioni 1.3, hivi sasa linakabiliwa na mtihani mkubwa wa baa la njaa. Mbali na sababu nyingine nyingi zikiwemo ugaidi na vita vya wenyewe kwa wenyewe, baa la njaa pia linatokana na ukosefu wa mvua unaopelekea ukame na hatimaye kuwa na uhaba...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Waislamu wenyeji na wageni nchini China wakaribisha mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Ramadhan ni mwezi wa Baraka kwa Waislamu wote duniani. Katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhan, Waislamu wanafunga na kusali ili kuomba msamaha kwa Mungu wafutiwe dhambi zao. Kawaida kila mwislamu duniani anajiandaa mapema kwa mwezi mtukufu wa Ramadhani. Waislamu wa China nao...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine?

    Je, mawasiliano mfululizo kati ya China na Afrika yana uhusiano na mgogoro wa Ukraine? Hivi karibuni, wakati macho ya watu wengi yanaelekezwa kwenye mgogoro wa Ukraine, mawasiliano ya ngazi ya juu kati ya China na Afrika pia yamekuwa ya mara kwa mara. Sadfa hiyo imetafsiriwa na baadhi ya watu...
  7. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Vikwazo vya Urusi vinaweza kuchochea mauzo ya silaha za China kwa Nigeria

    Vikwazo vya Magharibi kwa Urusi na Belarus vinaweza kusukuma Nigeria kuagiza silaha za China zinazoweza kufikiwa zaidi na za bei nafuu Uvamizi wa Februari 24 wa Ukraini uliofanywa na Urusi umevuruga uhusiano wa kisiasa wa kijiografia na kibiashara kote ulimwenguni, kutoka kwa maswala ya kununua...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa China waendelea kuonyesha mfano katika juhudi za kuhifadhi mazingira nchini China

    Fadhili Mpunji Wiki hii Rais Xi Jinping wa China aliendelea na desturi yake ya miaka 10 ya kushiriki kwenye harakati ya kupanda miti inayofanyika kila majira ya spring yanapoanza mjini Beijing. Rais Xi Jinping aliambatana na viongozi wengine waandamizi wa China katika shughuli hiyo, na...
  9. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta ya petroli, dizeli toka Urusi sasa ni $30 kwa pipa. China na India wachangamkia fursa. Kwanini Tanzania isifanye hivyo pia?

    Wahenga walisema, 'Kufa kufaana'. Kwenye kila tatizo linalotokea hapa duniani huwa linafungua fursa kwa baadhi kufaidika nalo. Badala ya kukaa tunalialia linapotokea tatizo, tunapaswa kutazama upande wa pili wa shilingi kwamba tutafaidikaje na hilo tatizo. Hata lile tatizo kubwa la mlipuko wa...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Zanzibar yafanikiwa vita dhidi ya malaria kabla ya 2023, huku China ikitoa mchango katika uvumbuzi wa Artemisinin

    Pili Mwinyi Malaria ni ugonjwa hatari sana unaotokana na mbu jike ambaye anaambikiza binadamu na baadaye akuwa na homa kali, baridi, na mafua. Ugonjwa huu unaweza kusababisha kifo au hata matatizo ya akili pale malaria inapopanda kichwani. Mafanikio makubwa yamepatikana duniani katika kudhibiti...
  11. L

    JamiiForums Tanzania “Marafiki wanaotegemewa na wenzi wa dhati” miaka hii ya uhusiano kati ya China na Tanzania

    Pili Mwinyi Tarehe 24 Machi mwaka 2013, rais Xi Jinping alikanyaga kwa mara ya kwanza ardhi ya Tanzania tangu awe rais wa Jamhuri ya Watu wa China. Katika kipindi chote hicho cha miaka tisa yameshuhudiwa mabadiliko makubwa ndani ya nchi pamoja na mchango mkubwa alioutoa katika nchi za nje hasa...
  12. Artifact Collector

    JamiiForums Tanzania China yaipa Ukraine msaada wa yuan milioni 10

    China yaipa msaada Ukraine wa yuan million 10 ======== China to provide additional $1.6m of humanitarian aid to Ukraine China will provide an additional 10 million yuan (roughly $1.6 million) of humanitarian assistance to Ukraine, Chinese Foreign Ministry spokesperson Wang Wenbin...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Uchumi wa nchi nyingi za Afrika utaendelea kukua kutokana na kuimarika kwa biashara kati ya China na Afrika

    Fadhili Mpunji Kila mkutano wa bunge la umma la China unapomalizika, utekelezaji wa mipango mipya ya serikali ya China huwa unaanza. Pamoja na kuwa mambo mengi yanayojadiliwa ni mambo ya ndani, mambo hayo pia huwa yanahusiana moja kwa moja na nchi za nje na yanahusu sera ya kidiplomasia ya...
  14. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ndege ya China Boeing -737 Jetliner imepata ajali ikiwa na abiria 133

    Ndege aina ya Boeing-737 iliyokuwa imebeba watu 133 ilianguka kwenye milima kusini mwa mkoa wa Guangxi nchini China Jumatatu alasiri, na moto ukionekana kwa mashuhuda waelezao, kulingana na shirika la utangazaji la serikali ya China CCTV. Vikosi vya waokoaji viko njiani kuelekea eneo la ajali...
  15. bernard10

    JamiiForums Tanzania China yaita kitendo cha Meli ya Kivita ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan kuwa cha kichokozi

    Jeshi la China limeripoti kama kitendo Cha uchokozi dhidi ya China, baada ya destroyer Raph Johnson (meli ya kivita) ya Marekani kupita katika lango la bahari linalotenganisha China na Taiwan (Taiwan strait). Jeshi la China limelaani/kulaumu KITENDO hicho Cha Marekani Huku likiongeza kuwa...
  16. jerryempire

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa biashara ya kuagiza vitu China

    Habari, Nimepitia kwenye mitandao mingi kama ebay, aliexpress na mingineyo ya kuagiza vitu toka China hivyo kuwa interested na kujaribu kuanza biashara hii. Ombi langu ni ushauri/uzoefu/changamoto, ni biashara gani/bidhaa gani zinalipa kwa sasa kuanza nazo,ninatarajia kuuzia zaidi online...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Biden amtaka Rais Xi wa China kutoisaidia Urusi

    Rais wa Marekani Joe Biden amemuonya mwenzake wa China Xi Jinping juu ya athari zitakazoikabili Beijing, endapo itatoa msaada wa vifaa kwa Urusi katika uvamizi wake nchini Ukraine. Biden ametoa onyo hilo wakati wa mazungumzo kwa njia ya video na rais Xi juu ya mzozo wa Ukraine. Msemaji wa...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Shughuli za walemavu zapata maendeleo nchini China

    Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi ya Beijing imefungwa tarehe 13 Machi. Kama kioo, michezo hiyo haioneshi tu moyo wa kujiendeleza wa walemavu, lakini pia inaonyesha mafanikio ya shughuli za walemavu nchini China. Katika Michezo hiyo, wanariadha wa China walishinda medali 18 za...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini demokrasia ya watu ‘ya mchakato mzima’ ya China inafanya kazi?

    Ni jambo lisilopingika kwamba demokrasia ni thamani inayotafutwa na binadamu wote bila kujali tofauti za tamaduni na mipaka ya nchi, na haiwezi kukiukwa. Lakini kwa sababu za kihistoria, haki ya kutafsiri na kueleza demokrasia imekuwa mikononi mwa nchi za magharibi, ambazo zinaona kuwa ni haki...
  20. S

    JamiiForums Tanzania China aichumbia gesi ya Russia inayouzwa nchi za Ulaya

    China imeazimia kutotegema tena gesi asilia toka kwa mataifa pinzani, ambayo ni Marekani na Australia. Na badala yake inawekeza ktk project ya kujenga bomba jingine jipya la gesi toka Russia ili kuongeza zaidi kiwango cha gesi inayonunua toka Russia. Bomba la awali (lililopo sasa) hupeleka gesi...
Back
Top Bottom