Na Caroline Nassoro
Mkutano mkuu wa 20 wa Chama cha Kikomunisti cha China CPC utafanyika tarehe 16 Oktoba hapa Beijing. Lakini kabla ya kufanyika kwa Mkutano huo, ikiwa sasa watu wa China wanakuwa katika mapumziko ya siku saba ya kusherehekea miaka 73 ya kuzaliwa kwa taifa la China, siku ya...
CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU.
Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa...
kila siku kusema chama ni kama cha China je nmaweza kufanya haya kwa mtu wa CCM?
Lakini hii serikali inaweka waislamu kwenye kambi maana wanataka kila mtu awa abudu wenyewe yaani Chama. Idadi ya watoto unapangiwa na serikali! Jiulize ukizidisha inakuwaje?
Kwenye mitandao kumekuwepo na watu...
Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi.
Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi
Hakuwepo katika...
Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi unaonekana kwenda Beijing.
Washington, Serikali ya Marekali imeridhia maombi ya Austalia ya kununua makombora ya masafa marefu ya JASSM-ER yenye thamani ya dola za kimarekani milioni 235 ili kuweza kukabiliana na kitisho cha China Asia Pacific.
Makombora haya ya kimkakati yana uwezo wa kusafiri hadi umbali wa kilometa...
Aliyekuwa Waziri wa Sheria wa China, Fu Zhenghua amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kupokea rushwa ya zaidi ya TZS Bilioni 72 akiwa mtumishi wa umma.
Hukumu hiyo yaweza kutekelezwa ndani ya miaka miwili au kuwa kifungo cha maisha baada ya miaka miwili kumalizika.
Pamoja na hukumu...
Katika miaka ya hivi karibuni uhusiano kati ya China na nchi za Afrika umekuwa ukifuatiliwa na nchi nyingi duniani. Ufuatiliaji huo umekuwa na malengo tofauti, kuna ule unaotokana na kuiga mtindo wa China wenye uratibu mzuri na maendeleo ya kunufaisha kati ya China na Afrika, na mwingine una...
Pili Mwinyi
China na Afrika zinaendelea kuwa na ushirikiano mkubwa kwenye sekta mbalimbali muhimu ikiwemo ya afya. Uwepo wa timu za madaktari wa China katika nchi za Afrika kwa sasa unaonekana ni jambo la kawaida na limeshazoeleka, ambapo madaktari hawa wanajitahidi kadiri wawezavyo kuokoa...
Rais wa Marekani, Joe Biden amesisitiza kuwa taifa lake litailinda Taiwan dhidi ya mashambulizi yoyote yatakayofanywa na China.
Hiyo ni mara ya tatu Rais Biden kutoa kauli inayoendana na kuilinda Taiwan ambapo mwanzoni mwa Septemba 2022 Marekani ilipitisha mpango wa kuiuzia Taiwan silaha za...
Rais wa Marekani Joe Biden amesema kwa mara nyengine kwamba Marekani itailinda Taiwan endapo kutatokea "shambulio ambalo halijawahi kushuhudiwa" na China.
Akizungumza katika mahojiano ya chombo cha Habari cha CBS, Bw Biden alijibu "Ndiyo" alipoulizwa ikiwa hiyo inamaanisha majeshi ya Marekani...
Watu 27 wamepoteza maisha na 20 kujeruhiwa wakiwa njiani kuelekea kwenye kituo cha karantini cha Covid-19 wakati basi lao lilipopinduka katika eneo la Guizhou, Kusini-Magharibi mwa China.
Guizhou imerekodi zaidi ya maambukizi mapya 900 ya COVID19 ndani ya Septemba 16 na 17, 2022 pekee.
Baadhi...
Unaambiwa muda huu hakukariki huko Taiwan na hali ya hatari ilishatangazwa tayari.
Inasemekana China kaunda Tetemeko la Sunami kuiangamiza Taiwan!
Inasemekana lakini.
Mkutano wa kimazungumzo baina ya Vatican [ Pope Francis ] na China [ President Xi Jinping ] umeshindwa kufanikiwa .
Reuters imeripoti kuwa “ Vatican iliiambia China kuwa papa Francis alikuwa tayari kukutana na Rais wa China Xi Jinping kwa ajili ya mazungumzo wakati viongozi hao walipo kuwa...
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), imepunguza gharama za safari zao za ndege kwa wanafunzi wanaosafiri kutoka Tanzania kwenda China kutoka Dola za Marekani 3800 hadi Dola za Marekani 2100.
Akizungumza leo, Balozi wa Tanzania nchini China, Mbelwa Kairuki, amesema mpaka sasa gharama za safari za...
Septemba 13, saa 3:18 usiku, China ilifanikiwa kurusha satelaiti ya "Zhongxing 1E" angani kwa kutumia roketi ya Long March 7 kutoka kwenye Kituo cha Kurushia Satelaiti cha Wenchang. Satelaiti hiyo hutumiwa zaidi kuwapa watumiaji huduma bora za simu, data, redio na televisheni.
Mkutano wa kilele kuhusu Afrika Kuzoea mabadiliko ya tabia nchi kuzoea mabadiliko ya tabia nchi “African Adaptation Summit” ulifanyika mwanzoni mwa mwezi Septemba mjini Rotterdam Uholanzi. Mkutano huo ni sehemu ya juhudi za nchi za Ulaya kuimarisha ushirikiano na nchi za Afrika la kukabiliana na...
Mwezi Septemba vijana katika sehemu mbalimbali za Afrika, walifanikiwa kufanya jambo ambalo hawakuwahi kufikiria hata siku moja, kuwasiliana moja kwa moja na wanasayansi wa China walio kwenye kituo cha anga ya juu cha China. Mbali na kustaajabu kuwasiliana na watu walio kwenye anga ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.