china

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye mabadiliko ya tabia nchi kuzinufaisha nchi za Afrika kwenye pande mbalimbali

    Mwishoni mwa mwezi Desemba Balozi wa China nchini Botswana Bwana Wang Xue aliikabidhi Botswana kituo cha utabiri wa hali ya hewa kinachohamishika. Huu ni moja ya misaada inayotolewa na China kwa nchi za Afrika kwenye eneo la mabadiliko ya tabia nchi, msaada ambao kwa sasa unaonekana kuwa na...
  2. JamiiForums Tanzania USA vs China Aircraft carrier

    China vs USA aircraft Carriers Tuwe wa kweli China bado safari ndefu Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸 Jamani tuache masihara.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Marekani inapaswa kuacha kuongeza chuki katika suala la Bahari ya Kusini ya China

    Hivi karibuni, Balozi wa Ufilipino nchini Marekani, Jose Manuel Romualdez alipohojiwa na chombo kimoja cha habari alidai kuwa, Bahari ya Kusini ya China, na si Taiwan, ni sehemu ya hatari, ambapo vita inaweza kuanza wakati wowote. Siku moja kabla ya hapo, Ufilipino, pamoja na Marekani na Japan...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Diplomasia ya Ping-Pong ni ukumbusho kwa Marekani kuchukua hatua kuondoa mvutano katika uhusiano na China

    Ubalozi wa China nchini Marekani umefanya hafla ya kumbukumbu ya miaka 52 ya Diplomasia ya Ping-Pong, ambapo Balozi wa China nchini Marekani Xie Feng, alitoa wito kwa pande hizo mbili kutumia busara na msukumo wa tukio hilo la miongo kadhaa. Wataalamu wa China wanaamini kuwa, tukio hilo sio tu...
  5. JamiiForums Tanzania Ikitokea China amekuwa super power

    Ikitokea China amekuwa super power, hali ya Dunia itakuweje? Je tutanyanyasika duniani? Demokrasia, Uhuru itakuweje. Nchi za kiAfrica Mambo yatakuweje? Toa maoni yako
  6. JamiiForums Tanzania COSCO ya China yasitisha usafirishaji wa meli kwenda Israel

    Wanaukumbi. BREAKING: ⚡ 🇮🇱 Pigo jingine kubwa la kiuchumi kwa Israeli Cosco yasitisha usafirishaji wa Israel huku kukiwa na mvutano wa Bahari Nyekundu. Cosco, inadhibiti 5.2% ya uwezo wa usafirishaji wa kimataifa. Hii inajiri baada ya kampuni zingine kama vile MSC, CMA CGM, Maersk, na...
  7. JamiiForums Tanzania Ni kwanini waislam wanazipenda sana China na Russia kuliko USA

    Haya mataifa mawili yaani Russia na China yanawachukia Sana Waislam kuliko USA. Waislam USA wanaabudu kwa Uhuru zaidi kuliko China na Russia lakini cha kushangaza waislam wanaichukia Sana Marekani Taifa la China linatamani hata Leo waislam wasiwepo, China ndiyo hivyo tu wanabanwa na Marekani...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Hatua ya serikali ya Marekani kuiondolea vikwazo China haiwezi kutatua changamoto za kimsingi za kibiashara

    Hatua ya Marekani kuongeza muda wa kusamehe nyongeza ya ushuru kwa bidhaa za China chini ya ‘Kifungu cha 301’ mpaka Mei 31, 2024 imepongezwa sana na jamii ya wafanyabiashara, lakini bado kuna mapungufu, kwani hatua za Marekani katika kuboresha biashara ya pande mbili bado zina vizuizi. Tangu...
  9. JamiiForums Tanzania Uchumi wa China: Rais Xi Jinping akiri 'wakati mgumu' kwa baadhi ya makampuni

    Uchumi wa China umekuwa ukijitahidi kufanya kurudi kwa nguvu. Sasa, hata kiongozi wa China, Xi Jinping, amekiri changamoto nyingi ambazo uchumi wa nchi hiyo ulikabiliana nazo mwaka 2023. Baadhi ya makampuni yalipata wakati mgumu. Baadhi ya watu walipata ugumu wa kupata kazi na kukidhi mahitaji...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa salamu za mwaka mpya wa 2024

    Katika mkesha wa mwaka mpya, rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba ya salamu za mwaka mpya wa 2024 kupitia Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) na mtandao wa Internet. Ifuatayo ni hotuba hiyo: Hamjambo! Ukali wa baridi umeanza kupungua na mwaka mpya kukaribia. Wakati mwaka 2024 umewadia...
  11. JamiiForums Tanzania China ana safari kubwa sana mpaka kuipita Marekani kiuchumi

    Uchumi wa USA in GDP ni 27 trillion USA na China ni 18 trillion Raia wa USA 🇺🇸 ni 333 million na China ni 1.4 billion China ana safari ndefu Sana kumpita USA na inaweza kufika miaka 100. Ameachwa gape kubwa Sana. Mimi natabiri labda EU lakini kwa China bado
  12. JamiiForums Tanzania Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Russia and China are on the brink of a military alliance that could overwhelm the US

    Russia and China are on the brink of a military alliance that could overwhelm the US businessinsider.comDec 25, 2023 10:34 AM Angle down icon An icon in the shape of an angle pointing down. GREG BAKER/POOL/AFP via Getty ImagesRussia's President Vladimir Putin (C) reviews a military honour guard...
  14. JamiiForums Tanzania Israel inawasihi China kusaidia mateka waachiwe na Hamas

    Wanaukumbi. Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza. 🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA TO HELP FREE HOSTAGE Netanyahu has reportedly asked Xi to assist in freeing Israeli hostage Noa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania China inahimiza uhusiano wa biashara ya China na Afrika kuelekea kuwa wa mseto

    Kama zawadi ya sikukuu ya Krismasi, kuanzia Jumatatu wiki hii yaani tarehe 25, Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zimeungana na nchi nyingine 21 za Afrika katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake kama kahawa, matunda na...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka sasa kwa kanisa katoliki Tanzania na Afrika kujitenga na Vatican kama ilivyo kanisa katoliki la China

    Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China. China kanisa katoliki la Vatican halina...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Vipaji maalum Africa vs China

  18. JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: Ushirikiano wa kilimo kati ya China na Afrika ni wa kunufaishana

    Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza chakula. Kwa hivyo, nchi za Afrika zinachukulia maendeleo ya kilimo kama kazi kuu ya kujiendeleza...
  19. JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…