Sio kwenye military mkuu, ingawa anasogea.Technology sasa hivi China ndio yuko front anakimbiza vibaya
Hayo madude Inategemea nchi unayopigana nayo.... Wao wenyewe wameshajua hizo zinakua ni easy targets na hasara inakua kubwa kama unapigana na mtu mwenye makombora ya hypersonic...... Mchina katengeneza kamikaze drone la chini ya maji kwa ajili ya hayo madudeSio kwenye military mkuu, ingawa anasogea.
Unaongea nini wewe,huko Chini ya maji wenzio wana Submarine kila mahali,Mchina katengeneza kamikaze drone la chini ya maji kwa ajili ya hayo madude
Technology ni kitu kipana...analimbiza upande upi wa TechnologyTechnology sasa hivi China ndio yuko front anakimbiza vibaya
Nawewe kopi yakwako walau uwe unachezea tu kama rahisiHilo la Mchina km kawaida yake kacopy na kupaste.
Ni Fake fake tu kila kitu
Imepunguzwa au hainaUzoefu mkuu , US ndo nchi pekee yenye uzoefu mkubwa Zaid wa Aircraft carrier, Kwa sababu ishawahi kuzitumia katika full scale battle , na zikawa ni only option kwenye ushindi , hvyo aliwekeza research ya kutosha kutokana na uzoefu.! Mshindan wake alikuwa Japan , sema yeye alijitoa mapema na kuachana na siasa za aggressive, akaamua kujijenga kiuchumi Zaid ..
Kwa technology ya sasa ya intercontinental missile na long range war aircraft, faida ya aircraft imepunguzwa Kwa kias kikubwa
Subs zipo secured sana sio kama hio mitumbwiUnaongea nini wewe,huko Chini ya maji wenzio wana Submarine kila mahali,
Na linaibuka mara moja moja tu ndio makamanda wanakuja juu kupunga upepo.
Heheeee itakua yeye Ndhunguvipi kuhusu tanzagiza? tanzagiga vs US aircraft carriers? kwa maana umeonyesha dharau kwa watu ambao wamejitahidi kutatua matatizo yao wakati wewe kwenye nchi yako umeme unazimwa 12 hrs kila siku, chakula shida, maji safi ya kunywa shida halafu unakwenda dharau China? au wewe ni mzungu labda? wakati mwingine nafikiri mnajisahau sana tu …
Reverse engineering?Technology sasa hivi China ndio yuko front anakimbiza vibaya
Aircraft carrier is useless now days. Or it's depends you are engege war with who otherwise useless. Aircraft carrier only works in very poor countriesView attachment 2865909
China vs USA aircraft Carriers
Tuwe wa kweli China bado safari ndefu
Angalia DUDE la Chini hilo. Kweli China atamuweza USA🇺🇸
Jamani tuache masihara.
Copy na wewe sio unajisemesha hovyoHilo la Mchina km kawaida yake kacopy na kupaste.
Ni Fake fake tu kila kitu
HIO HIOReverse engineering?