chimbo

Chimbo is a town in, and the seat of Chimbo Canton, Bolívar Province in Ecuador. The closest cities to Chimbo are Guaranda and San Miguel. Chimbo was once known as Benalcazar because the Spanish conquistador Sebastián de Belalcázar stayed there for several days before departing to Quito to fight the colonizers.
The town is sometimes referred to as La Olla or 'The Pot' due to the surrounding geography.

View More On Wikipedia.org
  1. Mawinga Kariakoo tafuteni kazi ya kufanya, sasa hivi Kila mtu anajua chimbo mnakera

    Leo nilikuwa hapo kariakoo kununua pamba Hawa jamaa wanazingua kinyama yaani Kuna mmoja nimemuambia mzee kalime viazi hii sio kazi ni usumbufu Kwa raia ningekua na bunduki. Mngesikia winga kala shaba ya kichwa sababu Mimi sipendagi usumbufu nikiwa naenda kununua pamba nataka kichwa changu...
  2. Wale wanaopenda biashara ya kuku aina ya kuchi chimbo hili hapa

    Wakuu kama mjuavyo nikienda mahali huwa napenda kuwajulisheni namna kulivyo. Bila shaka mnajua wazi mimi ni mdau wa kilimo na ufugaji (mdau haswa sio mbabaishaji) Huko kwingine tupo tu kwa sababu tunaishi dunia ya watu wa aina zote but kila nikifungua jf muhimu niingie jukwaa la kilimo na...
  3. Wapi Chimbo la Suti za Kishua kwa bei nafuu?

    Wakuu tunaopiga suti kali za kishua, tujuzane machimbo ya suti kali Dar Mwanza Arusha na kwingineko
  4. Kiduku wa Korea kaskazini kwenye pigo za wanaume USA ama Israel huingia chimbo kijificha

    Rais korea kaskazini ni comedian Sana Mambo yakishaharibika yeye huingia kwenye mahandaki na masigara yake hatoki hadi Hali itulie🤣🤣 Israel alivokuwa anamshughulikia Iran alikauka Kama hayupo duniani😁 Sasa hivi rafiki yake maduro wa Venezuela anakaangwa na USA kenyewe hakana habari...
  5. K

    Niko Babati Manyara, nipeni chimbo la bata

    Niko babati Manyara... nipeni chimbo la bata
  6. Naombeni chimbo la pumba Dar

    Kwa dar es salaam wapi ni chimbo la kupata vyakula vya mifugo kama pumba na mashudu kwa wingi?
  7. Wakuu nahitaji remote control ya Projector Epson anayejua chimbo tafadhali p

    Habari wanajf. Kichwa Cha habari kinajieleza.
  8. Tanga ni chimbo la CCM lakini hakuna cha maana kitu kutoka CCM

    Nimegundua kitu kimoja muhimu. Mikoa yote ambayo CCM imetamalaki majimbo yote kwa 100%, sio kipaumbele cha serikali kwenye kupeleka na kumaliza miradi ya maendeleo kulinganisha na mikoa ambayo wapinzani wameshika baadhi ya majimbo ya mikoa hiyo. Mifano ni mingi sana. Kwanini imekuwa hivyo?
  9. Wapi chimbo lenye vaibu leo?

    Koo langu linawasha washa sana mida hii, wapi kuna vaibu nzuri ya muziki, nyama choma, totozi na vinywaji murua vya kulainisha koo? Nipeni chimbo wakuu, la kuburudika na kurusha rusha miguu, ndio 8 8 tunaianza hivyo; asiyelima na asile.
  10. Raisi Wa Iran Ashutumiwa Kutaka Kumpindua Kiongozi Mkuu Ayatollah Khamenei Kipindi Alipokwenda Chimbo Wakati Wa Vita Na Israel

    Iran’s political fault lines are widening in the aftermath of the 12-day war with Israel, with President Masoud Pezeshkian facing accusations of attempting a coup against Supreme Leader Ali Khamenei. https://iranintl.com/en/202507149808
  11. Chimbo la Sinza.

    Wazee wa kazi kuna chimbo la madini adimu lipo hapa sinza opposite na Mlimani City, jirani na Survey discipensary. Ni sehemu hizi nyumba zipo kama makazi ya watu tu. Mwenye details zozote kuhusu hili chimbo alete tuone kama kunachimbika au vp.
  12. J

    Kwa wapenzi wa Nyimbo za Injili Chimbo letu ni hili

    Kuna wakati roho yako inahitaji zaidi ya maneno – inahitaji wimbo. Wimbo unaogusa nafsi, unaobeba uzima, unaoinua moyo wako kutoka uchovu wa maisha hadi kwenye faraja ya kiroho. Kama unapenda nyimbo za Injili—za kuabudu, kusifu, na kuimarisha imani—basi tumekuwekea kitu cha kipekee. Karibu...
  13. Naomba kujua Chimbo la Perfume Kariakoo

    Mimi ni mfanyabiashara wa Mkoani, napenda nikija Dar hivi karibuni niangalie chimbo ambalo nitakuwa napata perfume kwa unafuu, Perfume ninazozihitaji ni zile za bei ya kawaida yaani ambazo kwa bei ya kuuzia rejareja zichezee kwenye elfu10 hadi elfu 60. Je ni maduka yepi yanauza Perfume kwa wingi...
  14. M

    Msaada chimbo la mizani aina yote

    Habar wakuu nauliza kwa anaejua chimbo la mizani aina yote atoe muongozo
  15. R

    Chimbo la wasaliti wengi hili hapa wanapotoka mtoko na wapenzi wao

    Simu huchuja meseji na calls, ni watu fulani tu simu zao zinaweza kuita na meseji zao kuingia, wengine wakiwemo michepuko missed call zao na meseji zitaonekana hadi do not disturb itapoondolewa.
  16. Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
  17. P

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla Kariakoo

    Wadau naomba chimbo la foils za kufungashia chips kwa bei ya jumla kariakoo. Anaejua anisaidie, nipo mikoani. Asanteni
  18. H

    Wap ni chimbo la TV bei nafuu Mwanza

    Naomba kujua chimbo la TV nzur ,smart ambazo bei NI nafuu
  19. Chimbo la Jezi za Jumla za Ulaya, Delivery Popote Ulipo

    Wadau wa JamiiForums! ⚽️ Karibu Kariakoo! Tumeleta jezi za timu za Ulaya (Arsenal, Liverpool, Man United, n.k.) kwa bei za jumla! Hii ni fursa kwa kila mtu kupata jezi za timu pendwa kwa bei nafuu. Tunatuma mikoani na nchi jirani kama Congo, Zambia, na Malawi! Bei ya jezi moja ni TZS 15,000 tu...
  20. A

    Chimbo la wachina wauza Mabalo ya Mtumba

    Habari zenu ndigu.zangu Kuna yoyote anaefahamu iwapo kuna chimbo la hawa wachina ambao wanauza mabalo ya mitumba kwa jumla ukiachana na wamatumbi wenzetu ilala?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…