cheti cha kuzaliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO RITA Korogwe kuna tatizo upande wa kutoa vyeti vya kuzaliwa

    RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na umetumia gharama kubwa kukifata. Soma Pia: RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania NIDA mmeongeza nyaraka za kukabidhi ili kupata Kitambulisho cha Taifa. Hii ni halali kweli? | NIDA wafafanua, wataja vitu vitatu muhimu kuwa navyo

    Mwanzoni walihitaji kitambulisho cha kura, baadaye wakahitaji cheti cha kuzaliwa. Na kwasasa wanahitaji tuwe na: Cheti cha kuzaliwa Cheti kutoka Migration Cheti cha kidato cha nne Cheti cha darasa la saba. Uwe navyo vyote. Ni halali kweli hii? ====== JamiiForums, imezungumza na Mkuu wa...
  3. Trainee

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada nikiingia RITA cheti cha kuzaliwa simu inaandika DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN

    Nimeomba msaada Google nikaambiwa; How Do You Fix DNS_PROBE_FINISHED_NXDOMAIN? Release and Renew IP Address. Restart DNS Client Service. Change DNS Servers. Reset Chrome Flags. Disable VPN and Antivirus Temporarily. Check Your Local Hosts File. Check DNS of Your Domain. Restart Your Computer...
  4. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu, nilifuatilia cheti cha kuzaliwa Edina kule Rita Dar es Salaam na sasa nimechoka

    Katika kufanya marekebisho ya cheti cha Edina bint yenu, si nikapeleka kila kitu Rita.? Kwanza mchezo ulianza mwaka 2018, nimepigwa tarehe style ya kirudishwa wiki wiki. Piga ni wiki ya ngapi tangu 2018? Basi ndivyo ninavyofanyiwa hadi leo hii. Naelewa kuwa mkono mtupu haulambwi. Inatakiwa...
  5. fareed uziel

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata cheti cha kuzaliwa cha mama

    Habari, Kijana wenu nahitaji msaada wa haraka wa kupata cheti cha kuzaliwa cha mama, mama ukazaliwa 1962 ocean road. Je, nawezaje kukipata kupitia Rita kwa njia ya haraka? Mwenye msaada anisaidie.
  6. Heparin

    JamiiForums Tanzania Ofisi za RITA Kinondoni badilikeni, huduma ya kupata cheti cha kuzaliwa ni Mbovu sana

    Nimefika Ofisi ndogo za RITA Kindondoni mida ya saa 1:48 asubuhi kuchukua cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto ukiwa umepita mwezi mzima tangu nitume maombi ya Mtandao na kuwa Approved. Kinachoshangaza ni kuwa kwanza hakuna eneo la kutosha kukaa watu wanaosubiria vyeti hivyo. Mathalani, leo imenyesha...
  7. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu, Naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kubadili tarehe ya kuzaliwa katika cheti cha kuzaliwa

    Habari za wakati huu wakuu naomba kwa anaefahamu hatua za kufuata Ili kurekebisha tarehe ya cheti cha kuzaliwa iendane na vyeti vya shule mana cheti kilikosewa tarehe.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Je system ya RITA in tatizo?

    Hivi karibuni nimesajili vyeti vya kuzaliwa online na baada siku 14 unapata tangu siku uliyosajili na kulipia. Nina siku 24 tangu nmelipia system inaonyesha status ya cheti kwamba APPROVED IMna ilitakiwa iwe CERTIFICATE ISSUED SWALI LANGU: je system inasumbua au kuna tatizo?? Je nikienda rita...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Ukipoteza cheti cha kuzaliwa cha Form Four na Form Six unaweza kupata kingine?

    Nimepoteza cheti changu cha form four, kuzaliwa na cha form six Wana JF, naomba mnishauri nitumie njia zipi kupata vyeti vyangu tena. Nimeshaenda police kutafuta loss report
  12. WA MAMNDENII

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Jina kwenye cheti cha kuzaliwa

    Habarini wabobezi wa hili jukwaa, kuna binti wa shem wangu amesoma shule hadi f4 kutumia majina ya babu yake cause alilelewa na nyanya yk, cheti cha kuzaliwa kinasoma majina ya baba yke mzazi. Navyojua academic certificates kubadilika kwenda kwa jina la cheti cha kuzaliwa ni ngumu unless...
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wazazi waonesha cheti cha kuzaliwa mtoto wao anaitwa FISTON MAYELE, wakutana na MAYELE original wapiga naye picha

    Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo. Kwa ufupi ni kuwa mtoto huyo naye anaitwa Fiston Mayele, siyo kwamba ni jina la utani, HAPANA, ni jina hali...
  14. La Quica

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Cheti cha Kuzaliwa

    Wakuu cheti cha kuzaliwa siku hizi ndio kipo hivi au hiki ni provisional tu? Hapa nimemwambia manzi wangu anitumie cheti cha kuzaliwa cha mwanae ili nifuatilie masuala ya bima ya afya akanitumia kinachofanana na hiki. Sasa sijui kama hiki ndio cha siku hizi au inakuwaje. Naomba mwenye...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Haribu Nakala za Cheti cha kuzaliwa kabla ya kuzitupa

    Unashauriwa kuharibu nakala (copies) za Cheti cha kuzaliwa ambazo umeshatumia na unahitaji kuzitupa. Cheti huwa na taarifa nyingi muhimu ikiwa zitafika kwa mtu mwenye nia mbaya anaweza kuzitumia kufanya uhalifu kwa utambulisho wako
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bila rushwa hupati cheti cha Kifo au Kuzaliwa RITA mkoani Arusha

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni kwamba kupata cheti cha kuzaliwa au kifo kutoka ofisi ya kutoa vyeti hivyo (RITA) Mkoani Arusha ni shughuli kubwa sana. Ukifika mara ya kwanza unakuta foleni ndefu ya ajabu. Ukifanikiwa kuwakuta watendaji unapewa namba ya kulipia (Kontro namba) ukisha...
Back
Top Bottom