chelsea

  1. W

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

    Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to Score. 1. Riyad Mahrez 2. Reuben Diaz Hapo vipi?
  2. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Fainali ya UEFA kati ya Man city dhidi ya Chelsea kupigwa Ureno

    Mchezo wa fainali ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Ulaya kati ya Manchester City na Chelsea utahamishiwa Ureno kutokana na UEFA na Serikali ya Uingereza kutofikia muafaka wa mchezo huo kuchezwa Wembley - UEFA ililazimika kutafuta uwanja mbadala kutokana na mlipuko wa ugonjwa #COVID19 katika nchi...
  3. H

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: UEFA ni Chelsea FC vs Man City na EUROPA ni Arsenal vs Man United

    Kama kichwa cha habari kinavyosema mwaka Huu itawakutanisha team za Uingereza fainal kuanzia Uefa mpaka Europa make it in your mind.
  4. iron finger

    JamiiForums Tanzania Namuona Barbara Gonzalez katika picha ya Marina Granovskaia wa Chelsea

    Nyuma ya mafanikio ya Chelsea chini ya Bilionea wa Kirusi Roman Abromovic yupo mwanamke wa shoka na jasiri Marina Granovoskaia,Aliajiriwa katika kampuni ya mafuta ya Mrusi Roman Abromovic ya sibnfet mwaka 1997 kabla ya kuteuliwa kuwa mwakilishi wa Abromovic kwenye bodi ya Chelsea mwaka...
  5. Darucha

    JamiiForums Tanzania Chelsea fans game ya Madrid darajani Bado ngumu kwetu

    Bado jamani tusione kama tayari tushaingia fainali kikubwa ni kumuomba mungu pia tuingie fainali ya mashindano haya hii ya kusema Madrid nyumbani hatoki tusijipe asilimia zote kwani lolote linaweza kutokana maana Madrid ni yenye historia kubwa kuliko hata sisi kwenye haya mashindano. Hii ya...
  6. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

    Habari. Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba: Leg 1. 27 April 2021 Tuesday Paris Saint Germain Vs Manchester City Real Madrid Vs Chelsea Leg 2. 04 May 2021 Tuesday Manchester City Vs Paris Saint-Germain Chelsea Vs Real Madrid Hapo bila kupepesa...
  7. Darucha

    JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel tuambie Chelsea gani wapinzani watakayoigopa kucheza nayo?

    Chelsea hii ya kuwaanzisha Reece James na Azipilicueta waanze pamoja (no creativity)? Chelsea hii ya kutuaminisha kuwa Timo Werner ni mchezaji mzuri wakati ligi inaonekana imemshinda? Chelsea hii ya wachezaji wanafanya makosa yaleyale? Unaacha wachezaji ambao wanaweza wakaleta ubunifu wa Hali...
  8. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Chelsea kumrejesha Lukaku EPL

    Chelsea wanajiandaa kutoa ofa ya pauni milioni 86.3 kwa ajili ya mshambuliaji Mbelgiji anayecheza katika klabu ya Inter Milan Romelu Lukaku, 27, endapo the Blues watashindwa kumsajili mshambuliaji Erling Braut Haaland,20, wa Borussia Dortmund (Calciomercato-in Italian) Tottenham watajaribu...
  9. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ligi kuu England: Crystal palace yatoshana ubavu na Manchester United, Sheffield United yang'ara

    Baada ya kupata sare mbili za bila kufungana dhidi ya Real Sociedad kisha na Chelsea, Manchester United inasafiri hii leo kuelekea Selhurst kukipiga dhidi ya Crystal Palace mchezo utaopigwa saa 5 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. United inahitaji sana kushinda katika mchezo kwani Jumapili ya...
  10. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu England kuendelea leo: Chelsea kuumana na Manchester united

    Ligi kuu England inaendelea leo katika viwanja mbalimbali ambapo mchezo wa awali Crystal palace atakipiga dhidi ya Fulham saa tisa jioni. Leicester city ambayo inashika nafasi ya tatu kwenye msimamo wa ligi hiyo itakutana na Arsenal ambayo inashika nafasi ya kumi na moja. Na huko katika Dimba...
  11. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Ligi ya Mabingwa Ulaya: Chelsea uso kwa uso na Atletico Madrid huku Lazio wakiwakaribisha Bayern Munchen

    Michezo ya ligi ya mabingwa barani Ulaya itapigwa hii leo ambapo, Atlètico Madrid ya Hispania atakipiga dhidi ya Chelsea ya England. Michezo ambayo Atlètico Madrid amekutana na Chelsea katika mashindano ya Ulaya ilikuwa na matokeo sawa kwa timu zote, kila timu imeshinda mara 2 na kutoka sare...
  12. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania EPL : Je, Southampton atachomoka kwa Chelsea? Liverpool uso kwa uso na Everton

    Baada ya kuuanza mwezi Februari kwa kichapo kizito cha goli 9-0 kutoka kwa Manchester United na kisha kupigwa tena 3-2 na Newcastle kwenye michezo ya ligi, Southampton hii leo inashuka tena dimbani kupepetana na Chelsea The Blues itakayokuwa ugenini leo imepewa imani kubwa ya kushinda mchezo...
  13. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Tuchel airejesha Chelsea katika nafasi nne za juu katika Msimamo la ligi kuu nchini Uingereza

    Mwezi mmoja baada ya kuanza kibarua chake kuinoa Chelsea , Thomas Tuchel ameiongoza timu hiyo kurudi kwenye nafasi nne za juu kwa ushindi mara tano mfululizo. Katika mchezo huo ambao ni wa 6 tangu Tuchel kuwa Chelsea, Newcastle alipigwa bao 2-0 katika Dimba la Stamford bridge, magoli hayo...
  14. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Chelsea kuendelea kumlipa Lampard Pauni 75,000 kwa wiki

    Lampard alipotimuliwa na Chelsea mwezi uliopita klabu haikulipa mkataba wake uliobaki baada ya mabadiliko ya sera ambayo yalikuja baada ya kulazimika kutoa pesa nyingi wakati walimpomuondoa Jose Mourinho Badala yake wameweka mshahara wake wa Pauni 75,000 kwa wiki kwenye muswada wa mshahara -...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Chelsea imefanya uwamuzi sahihi Sana wa kumfukuza Lampard

    Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa. Kama Lampard angeendelea kubaki hata ligi ya mabingwa tungetolewa na A.Madrid na tungeambulia patupu kocha...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Frank Lampard asitishiwa mkataba kuendelea kukinoa kikosi cha Chelesea, Tuchel atajwa kuja kuziba nafasi yake

    Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo. Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi mikoba ya Super Frank? ===== Chelsea have sacked Frank Lampard, with the former Borussia Dortmund and...
  17. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Thomas Tuchel hana uwezo wa kuing'arisha Chelsea, tafuteni kocha mwenye uwezo

    Pamoja na ukweli kwamba Frank Lampard ameshindwa kutimiza malengo ya timu na hatimaye ametimuliwa, lakini huyo Thomas Tuchel hafai kubeba jukumu hilo, ni kocha mwepesi sana ambaye mafanikio yake mara zote yanachagizwa na ubora wa kikosi anachofundisha, si Tactician na wala hana uwezo wa kubadili...
  18. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Chelsea yaipiga Burnley 3- 0

    Chelsea imeendelea kujihakikishia nafasi nzuri kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya England baada ya kuipiga Burnley bao 3 kwa 0 kwenye mchezo ambao Burnley alikuwa nyumbani katika Dimba la Turf Moor Magoli ya Chelsea yamefungwa na H. Ziyech dakika ya 26, Goli la pili likafungwa na K. Zouma kunako...
  19. The Boss

    JamiiForums Tanzania By December Chelsea Allegri | Man U pochetino

    Naona December EPL itazidi kuchangamka...man u watamchukua Pochetino.. Chelsea Allegri. Naweza kutabiri now
  20. H

    JamiiForums Tanzania Chelsea atafungwa na Man U leo

    Leo kuanzia saa 1:30 usiku kutakuwa na mtanange mkali Kati ya Chelsea na Man United mchezo utachezwa Old Trafford.Kwa utabiri wangu Man United ataibuka kidedea shida kuu ya Chelsea hawana kocha mzuri ila Wana team Bora zaidi ya Man United ukiangalia mchezaji mmoja mmoja namaanisha quality...
Back
Top Bottom