Fainali ya UEFA kati ya Man city dhidi ya Chelsea kupigwa Ureno

Shadida Salum

Journalist at JamiiForums
Sep 11, 2020
69
104
IMG_20210513_163416_757.jpg


Mchezo wa fainali ya kuwania Kombe la Klabu Bingwa Ulaya kati ya Manchester City na Chelsea utahamishiwa Ureno kutokana na UEFA na Serikali ya Uingereza kutofikia muafaka wa mchezo huo kuchezwa Wembley
-
UEFA ililazimika kutafuta uwanja mbadala kutokana na mlipuko wa ugonjwa #COVID19 katika nchi ya Uturuki uliosababisha Uingereza kuiweka nchi hiyo katika nchi hatari za kutembelea
 
Back
Top Bottom