chelsea

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Wadhamini Chelsea FC yasita kubeba mikoba ya bilionea Roman Abramovich

    Wajumbe wa Bodi ya Udhamini wa Klabu ya Chelsea, bado hawajakubali maombi ya bilionea na mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kuhusu kukabidhiwa majukumu ya kuiongoza timu huku yeye akibaki kuwa mmiliki. Inaelezwa kuwa wajumbe saba akiwemo Kocha wa Chelsea ya Wanawake, Emma Hayes...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Tajiri Roman Abromavich akabidhi timu ya Chelsea kwa Bodi ya Wadhamini wa club hiyo

    Tajiri wa kirusi Roman Abromavich anayemiliki club ya Chelsea ya England ameikabidhi timu hiyo kwa Bodi ya wadhamini kufuatia vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa nchi yake. Source: BBC ---- Mmiliki wa Chelsea FC, Roman Abramovich ametangaza kujiweka kando na majukumu ya uongozi ndani ya klabu...
  3. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Wakitaka kumuondoa Abramovich kuimiliki Chelsea wamlipe trilioni 4.6

    Klabu ya Chelsea inaweza kuingia katika wakati mgumu kifedha ikiwa mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich ataondolewa klabuni hapo, kwani kutatakiwa kiasi kikubwa cha fedha alipwe kutokana na uwekezaji alioufanya tangu aanze kuimiliki klabu hiyo mwaka 2003. Imeelezwa kuwa kama watataka...
  4. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine. Bunge la Uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe

    Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu yeye rafiki mkubwa wa Putin na ana uhusiano na biashara zake na Russia zinazotakiwa kuwa freezed za...
  5. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Chelsea wabeba ubingwa wa klabu bingwa dunia

    Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi. Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz yameipa Chelsea ubingwa huo wa kwanza kwao katika historia ya michuano hiyo. Bao la Palmeiras lilifungwa...
  6. Poker

    JamiiForums Tanzania Chelsea 2-0 Tottenham carabao cup semi final

    Ht 2-0 spurs hana shot on target or off target
  7. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Rally Bwalya ana undugu na Ramirez yule fundi aliyewahi chezea Chelsea

    Unamkumbuka yule box to box mildfielder Ramirez kijana toka Brazil,aliyekioiga Chelsea miaka ya nyuma,ni tumbo moja na kiungo fundi wa simba Bwalya.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya kuona jinsi Chelsea ilivyoteseka kwa Brentford, nikaelewa Arsenal hakuwa na namna nyingine zaidi ya kufungwa!

    Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo. Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka huu ni moto wa kuotea mbali! Mashabiki wa Chelsea walipata wakati mgumu sana kipindi cha pili...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Msitarajie Chelsea kumfunga Man City leo

    Kutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa mchezo kuwa ni saa sita na nusu kwa saa za Uingereza basi leo Man City hatofungwa na Chelsea. Hivyo...
  10. Masamila

    JamiiForums Tanzania Chelsea ndio bingwa EPL 2021/2022

    Usajili wa Chelsea kwa dirisha la liliofungwa jana ni usajili bora sana na ni usajili ambao umeboresha makali ya squad Forward hawa wanne (Pulisic, Ziyech, Lukaku na Werner) wanaipa Chelsea nafasi kubwa sana kuchukua Ubingwa wa EPL panapo 2022 Kusajiliwa kwa kiungo fundi Saul Niguez kunaipa...
  11. Pepe Madochi

    JamiiForums Tanzania Hii ndo Chelsea ya Thomas Tuchel

    Chelsea kabeba cup jingine usiku wa leo (UEFA super cup) hakika huyu kocha Thomas Tuchel ananyota ya makombe ndani ya Chelsea, hutufanya sisi mashabiki wake tuzidi kunenepa hahahaah
  12. C

    JamiiForums Tanzania Chelsea ya Tuchel na kuchukua makombe ya klabu bingwa ulaya Back to Back nini maoni yako katika hili

    Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Dortmund watengeneza zaidi ya €200m kwa mauzo ya wachezaji hawa

    Rejea kichwa cha habari Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100 Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For €85M to MANCHESTER UNITED, PROFIT €77.2M Christian Pulisic from BORRUSIA DORTMUND YOUTH ACADEMY, Sold...
  14. Soka island

    JamiiForums Tanzania Chelsea na dili la Federico Chiesa

    klabu ya soka ya jijini london Chelsea imewasilisha ofa ya £100m kwa ajili ya kumpata kiungo mshambuliaji wa Juventus, Federico Chiesa lakini Juventus wanaendelea kushikilia msimamo kuwa kijana huyo n center ya project yao na hauzwi Source; SPORT BILD
  15. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Jorginho for Ballon D`or 2021

    Kwa kuongoza kiungo cha Klabu yake ya Chelsea kushinda kombe ya ligi ya Mabingwa ya Ulaya na kwa kujenga kiungo Imara cha timu ya Taifa ya Italia na kuiwezesha kushinda kombe la Fainali za Euro 2020, Jorge Luiz Frello Filho almaarufu Jorginho ambaye huko Italia anajulikana kama...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Romelo Lukaku alivyokuwa Chelsea FC 2014

  17. W

    JamiiForums Tanzania Chelsea mabingwa wapya UEFA 2020/2021

    Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images Nothing less than a revolution against the Pep...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Kupitia mwamba Rudiger ndani ya mask machoni nawatakia Chelsea ushindi mnono usiku wa leo Uefa

    Inakuwaje wanajamvi! Namkubali sana jamaa. Kupitia yeye Chelsea itanyakuwa Uefa championship.
  19. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Kwa jina la Liverpool na maajabu ya Instanbul Chelsea bingwa wa UEFA 2020-2021

    Chelsea mpoo? Fainali itapigwa jiji linaloitwa Istanbul, nchini Uturuki. Kule kwa Sultan Suleiman Khan na Shghazad Mustapha. Yes! Huko huko kwao Ertugru. Mkifika pale wanaifahamu timu moja ya England inaitwa Liverpool. Ukisema tu 'The mighty Reds' wanaacha kila kitu na kukusikiliza chochote...
  20. W

    JamiiForums Tanzania Utabiri: UEFA Champions League Final itakuwa Chelsea 0-3 Man City

    Game itapigwa siku ya jumamosi tarehe 29/05/2021 ndani ya dimba la Estadio Do Dragao ndani ya nchi Ureno. Tupia utabiri wako hapa. Utabiri wangu. Chelsea 0 vs Man City 3 Either Players to Score. 1. Riyad Mahrez 2. Reuben Diaz Hapo vipi?
Back
Top Bottom