Duuuuh...! mashabiki wa Chelsea tuzidi tu kuvumilia maumivu hadi December? hii hatari sana kiafya.Zidane hatoki pale
Aende BarcelonaPochettino anaenda Madrid
Ni suala la muda tu, Zidane kwa sasa hana uwezo wa kuchukua kombe lolote nje ya Spain. Hata anayochukua ndani ya Spain ni kutokana na ubovu wa Barcelona.Zidane hatoki pale
Hamna hiiNaona December EPL itazidi kuchangamka...man u watamchukua Pochetino..
Chelsea Allegri...
Naweza kutabiri now
Simba je,kocha atakuwa nani?Naona December EPL itazidi kuchangamka...man u watamchukua Pochetino..
Chelsea Allegri...
Naweza kutabiri now
Haondoki mtu may be Pep GardiolaNaona December EPL itazidi kuchangamka...man u watamchukua Pochetino..
Chelsea Allegri...
Naweza kutabiri now
Tumebakisha siku moja kuingia DecemberWakuu nawakumbuaha tunakaribia December