Kwa miaka yote ya maisha yako sijawahi kukusikia au kukuona unajiunga na chama cha siasa. Nilikuona ukitumia jukwaa la CHADEMA lkn hukujitambulisha kama mwanaCHADEMA wala kuvaa gwanda la CHADEMA, ulitumia jukwaa la CHADEMA lkn sijawahi kukuona ukishiriki vikao vya CHADEMA.
Lakini hivi sasa ni mwanachama kamili wa ACT Wazalendo na unatakiwa kuvaa shati la zambarau na flana yenye picha ya Mwenyekiti bi Dori na hatimae kugombea ubunge wa Jimbo moja wapo Dar au Kigoma.
Kujitangaza kwamba ni mwanact waziwazi hapa ndio umekosea na hivi sasa umekuwa mwanasiasa kamili.
Kazi ya miaka 50 yenye heshima kama mtetezi wa Waislamu imepotea bure hivi sasa.
Soma Pia: Sheikh Ponda ajiunga rasmi na ACT Wazalendo
Hivi sasa utakuwa kama sheikh marehemu Mtopea wa CCM.
Tunangoja tukikuona ukivaa flana yenye picha ya mama Dorith au Zitto kabwe
Safari ya kwenda CHAUMMA au CCM imewadia kwa sheikh ponda.
Wakati ni ukuta.