chauma

This is a list of terminology used in the fictional Dune universe created by Frank Herbert, the primary source being "Terminology of the Imperium", the glossary contained in the novel Dune (1965).
Dune word construction could be classified into three domains of vocabulary, each marked with its own neology: the names and terms related to the politics and culture of the Galactic Empire, the names and terms characteristic of the mystic sodality of the Bene Gesserit, and the barely displaced Arabic of the Fremen language.
Fremen share vocabulary for Arrakeen phenomena with the Empire, but use completely different vocabulary for Bene Gesserit-implanted messianic religion.Due to the similarities between some of Herbert's terms and ideas and actual words and concepts in the Arabic and Hebrew languages — as well as the series' "Islamic undertones" and themes — a Middle Eastern influence on Herbert's works has been noted repeatedly.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    Kuna wana CHAUMMA ambao wanaomba kukubaliwa CCM

    Habari za uhakika kuna waliokuwa Chadema wakaenda Chauma sasa wanaomba kwenda CCM kupumzika huko maana Chauma hakuna kilichobaki kwao. Hali si nzuri kifedha maana zile pesa ambazo walikuwa wanapewa that time zilishasitishwa na chama kimekuwa hakina tena mvuto na wao hawana namna ya kuishi tena...
  2. M

    Wapuuzeni Msijibu yale matusi ya vijana wa Chaumma waliokimbia Chadema kwa mahaba ya mbowe wana ajenda yao

    Kuna wale vijana waliotoka chadema kwa ridhaa yao na kuhamia chauma baada ya ajenda yao kujulikana. Hawa vijana wanatafta attention kupitia kuitukana chadema na maneno yasiyo na tija mtandaoni! Watu hao wanaotumia kurasa za mitandao ya kijamii kuishambulia zaidi chadema. Wana ajenda kuu...
  3. Mshana Jr

    CHAUMMA chaumwa

    Hakijatoa taarifa rasmi Hakijasema popote.. Lakini hali ni tete sana kinapumulia mashine.. Na mipira ya kutolea uchafu .. Kiko chumba cha mahututi Waliojofanya ndugu jamaa na marafiki, wamekikimbia, wamekitenga wamekisahau sasa bado kukikana! Hali ni dhoofu bin taaban.. Hakina msaada wowote...
  4. Usher-smith MD

    PostGE2025 Hivi CHAUMMA kipo kweli?

    Kile Chama cha ubwabwa kipo wapi ? Toka oktoba 29 kimepotea kwenye magazeti na mitandaoni na mijadala vijiweni. Au kinasubiri uchaguzi ujao?
  5. DuaZaMama

    GE2025 Gari la mgombea urais CHAUMMA Salum Mwalimu lapigwa jiwe Mafinga

    Gari analotumia Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha CHAUMMA Salum Mwalim, limepigwa jiwe kwenye kioo cha nyuma na Mtu asiyejulikana muda mfupi baada ya kumshusha Mgombea huyo Hotelini Mafinga, Mkoani Iringa. Mkuu wa msafara huo, John Mrema amesema tukio hilo...
  6. Mzee Mwanakijiji

    Kama siyo CHADEMA wala CHAUMMA - Twendeni na MWAJUMA?

    Na. M. M. Mwanakijiji Kuchagua ni kuamua; kutokuchagua nako ni kuamua. Kuamua kuchagua au kuamua kutokuchagua yote ni kuamua kuchagua au kutokuchagua. Hivyo, uamuzi ni uchaguzi, na uchaguzi ni uamuzi. Kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025 Watanzania wanaitwa kufanya uamuzi na uchaguzi; au...
  7. uhurumoja

    Chauma wanaunguruma biafra

    Mwlimu for presidency Tbc wanaonesha ukomavu wa usawa
  8. gstar

    GE2025 CHAUMMA 'aka Futuhi' mnatuchukuliaje kumuweka mgombea wa urais eti Salum Mwalimu?

    Kumuweka mgombea wa uraisi eti Salum Mwalimu. Geresha hii, haya makapi yaliyojichuja kutoka CHADEMA yataambia nini wananchi ili wawaamini? Watanzania sio wajinga kuwahadaa kwa maneno ya uwongo wakati tunajua mchongo mzima. Anayewacontrol ni mama kizimkazi lengo kuwahadaa mataifa ya magharibi...
  9. Sifi Leo

    Mzee wangu hashimu alianzisha chauma kama Mzee wangu Leo alivyofungua Gest house wapate pesa za uzeeni

    Salumu mwalimu Tanzania Bara usifanye kampeni ila fanya uko kwenu zanzibari ila bara ni aibu. Mzee rungwe alifungua au kuanzisha chauma Ili awe anashiriki uchaguzi anapata ruzuku maana mafao yoteeee aliongaaaaa Mzee wangu Leo yaani Jina la Babangu ni Leo ndio maana Mimi naitwa sifii Leo yee...
  10. funaku

    GE2025 Hata Chadema ilianza kama CHAUMMA na ilipandishwa na makapi ya CCM

    Wapo wanaojaribu kuvibeza vyama vidogo vya upinzani mfano CHAUMMA wakisahau kuwa walianza kinyonge na walipata umaarufu wao kupitia makada waliohama CCM. 29 OKTOBA Saa kuminambili asubuhi nitakuwa kwenye mstari tayari kabisa kuipiga kura yangu.
  11. Gabeji

    Mnajua kwann? Mbowe Bado hajahamia chauma?

    Bila shaka kila mmoja anajiuliza kwann mbowe hajagombea chauma? Jibu ni moja tu. Alipoenda kumsalimia Lisu kule gerezani , waliongea mambo mengi sana. Mbowe alitumwa na wanamtandao, kuwa aende akamshauwishi Tundu Lisu kule gerezani alegeze kidogo, wampe majimbo, akubari kushiriki uchaguzi...
  12. Waufukweni

    GE2025 Mwakilishi wa CHADEMA, Mchome aibukia kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA

    Lembrus Mchome, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Mwanga, ametambulishwa kama Mwakilishi wa CHADEMA, kwenye Mkutano Mkuu wa CHAUMMA
  13. Common Folk

    GE2025 Kuhusu Mbowe kwenda CHAUMA, Bwege alishasema: "Amewatanguliza Watoto Kama Bata"

    Akina Yericko Nyerere na James Mbowe ndiyo watoto wenyewe, tena watoto wa karibu sana, mmoja akiwa mtoto wa damu. Ukiona wametangulia hao, jua baba yao yuko nyuma anausoma mchezo, wakifanikiwa basi naye atakuja kwa speed ya chopa.
  14. R

    GE2025 James Mbowe kwenda CHAUMMA ni wazi ana baraka za baba yake, and this tells a lot!

    Ni wazi Mbowe is on the way to Chauma. Nitaandika zaidi as time goes on! Nimesikitika sana!
  15. K

    Project Chaumma haikufanikiwa na haitafanikiwa

    Project Chaumma haikufanikiwa na haitafanikiwa kwasababu moja tu imejaa watu ambao hawaja jenga imani kwa Watanzania wa kawaida kuwa ni wazalendo. Hamuwezi kushindani watu ambao hawana kashfa ya rushwa, wamefugwa na kupigwa na risasi kwasababu ya kupigania haki. Kwa upande mwingine Chauma...
  16. Mikael Aweda

    GE2025 Kama Mbowe atajiunga Chaumma, atakuwa amemaliza Heshima yake, na Kumaliza siasa kwa aibu kama Mrema. Very Sad!!. Pigia Matari neno "Kama"

    Mimi siyo Nabii Wala sijaota ndoto yoyote ya Kimbingu, lakini Ninatumia Logic ya kawaida sana. Nasema kama Mbowe atajiunga Chauma. Asipojiunga ni story nyingine. Soma statement tatu zifuatazo; 1. Kwamba kufungia Chadema kutamsaidia Mbowe akose mtu wa kumkosoa na kwamba atafanikiwa na...
  17. Mto wa mbu

    GE2025 Ni mafuriko ya watu kwenye mkutano wa CHAUMA -Moshi Kilimanjaro

    Chama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro. Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.
  18. Allen Kilewella

    Mkutano wa CHAUMMA Iringa

    Dakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi. Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza. Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na Salum Mwalimu ambaye muda mwingi alitumia kuelezea siasa ya CUF ya Maalim seif. Kama kawaida...
  19. Mto wa mbu

    Tetesi: Imevuja Freeman Mbowe kuhamia CHAUMMA mwezi August

    Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August. CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu. Mbowe amefikia...
  20. D2050

    CHAUMMA wakosa watu kwenye mkutano wao Songea

    Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea. Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima. Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote...
Back
Top Bottom