chauma

This is a list of terminology used in the fictional Dune universe created by Frank Herbert, the primary source being "Terminology of the Imperium", the glossary contained in the novel Dune (1965).
Dune word construction could be classified into three domains of vocabulary, each marked with its own neology: the names and terms related to the politics and culture of the Galactic Empire, the names and terms characteristic of the mystic sodality of the Bene Gesserit, and the barely displaced Arabic of the Fremen language.
Fremen share vocabulary for Arrakeen phenomena with the Empire, but use completely different vocabulary for Bene Gesserit-implanted messianic religion.Due to the similarities between some of Herbert's terms and ideas and actual words and concepts in the Arabic and Hebrew languages — as well as the series' "Islamic undertones" and themes — a Middle Eastern influence on Herbert's works has been noted repeatedly.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    PreGE2025 Hawa ACT-Wazalendo wanapigania nini?, CHAUMMA geuka haraka, siasa za usaliti hazidumu

    Tazama picha hawa ACT wazalendo wanachokutana nacho kutoka kwa wananchi ni aibu tupu. ACT wazalendo mnatakiwa kuchora ramani zenu za siasa upya watanzania hawaelewi mnapigania nini. Chauma wao watapoteana vibaya munoo. Ccm hizo pesa mnazotaka kutupa bure Chauma naombeni mzitumie kujenga...
  2. Mganguzi

    Ninalitaka Jimbo la ileje na ninaenda kumuondoa kasekenya kupitia CHAUMMA na sera yetu Bora kabisa ya ubwabwa!

    Ileje ndiko nilikozaliwa na ndio Jimbo pekee la uchaguzi Tanzania ambalo asilimia 70 ya watanzania hawalijui kabisa ,nimejaribu kukaa na watu tofauti tofauti ukizungumzia wilaya ya ileje wengi hawajui kama lipo Tanzania. Ileje haijwahi kuwa chini upinzani na upinzani haujawahi kuwa na nguvu...
  3. Kurunzi

    PreGE2025 Tetesi: Luhanga Mpina kutajwa kugombea Urais kupitia CHAUMMA 2025

    Kuna taarifa zinazozagaa kwenye mitandao ya kijamii, hususan kupitia jukwaa maarufu la JamiiForums, zikidai kuwa aliyekuwa Mbunge wa Kisesa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhanga Mpina, anapanga kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi wa Maendeleo (CHAUMA)...
  4. Dr Akili

    Hivi Tundu Lissu, Heche na Mnyika watakuwa kwenye hali gani ikitokea ghafla Freeman kajiunga na CHAUMA akiwa mgombea urais wa JMT?

    Jee watazimia? Pressure zao zitapanda au zitashuka? Wataweza kuendelea na hiyo no reforms no election? Jee wataporomosha matusi hadi ya nguoni? Mimi nafikiri tu kwa sauti? Jee wewe unafikiri kipi kitawapata hawa watu ikitokea hivyo?
  5. Pdidy

    MSemo wa Ubaya ubwela mbona siusikii leoooyaani wana Simba walivyo na stress leo usishangae kesho asubhi "Simba yajiunga na CHAUMMA

    Mtaaaaniiii YAAANI NASHAURI wiki hiii nzimaa msishinsane na Wana Simba popote Wana stress kubwaa kiasi cha kwamba Kesho ASBH USISHANGAE kusikia MAGAZETINI "SIMBA YAJIUNGA NA CHAUMA"""
  6. Mganguzi

    Uchaguzi wa mwaka huu ni Mungu dhidi ya CCM, mpinzani mkuu wa CCM mwaka huu ni Mungu mwenyewe

    Huu si mwaka wa kushindana kwa namna ilivyozoeleka ,watu hawataki kushindana kwa hoja wala kukosolewa kama ilivyokuwa zamani ! Mamlaka ziko tayari kwa ajili ya kuilinda mamlaka ,ukiwa mgombea unatafsiriwa kama gaidi au mhaini ,wanataka ukiwa mpinzani wao wakufundishe na jinsi ya kuongea, nini...
  7. W

    Sugu mbioni kuhamia Chauma au CCM, Tulia kaachia jimbo wazi lakini Chadema hawamruhusu kugombea ubunge

    Ukimuona yupo tulivu, usidanganyike. Ndani kuna moto wa kisiasa unachemka. Saa iko kwenye dakika ya 88 na sasa ni ama zake aingie kama sub abadili matokeo au akubali kusugua benchi "mitano tena". Jimbo la Mbeya mjini limegawanywa kuwa Uyole na Mbeya jiji Tulia tayari kavamia jimbo jipya la...
  8. Idugunde

    Pamoja na wachumia tumbo aka waganga njaa kuhamia CHAUMA . CHADEMA bado ipo imara na ina ushawishi mkubwa

    Watanzania wa leo sio wale wa 1995 wanajua vizuri mchezo mchafu wa kibiashara waliokuwa wanafanya Mbowe na wenzake. Ambao sasa wamehamia CHAUMA aka wagawa ubwabwa. Fanya tafiti kwa kina Chadema inakubalika hasa baada ya Mbowe na wenzake kutimuliwa. Chadema inazidi kuimalika maana sasa hivi...
  9. Ponjoro wa Kinondoni

    Baadhi ya viongozi wa CHAUMA

    Wakuu kuna taarifa kuwa waliokuwa viongozi wa CHAUMA wanajipanga kufungua kesi dhidi ya chama hicho. Wanadai kuwa nguvu kubwa pamoja na vitisho vimetumika kuwaondoa madarakani, wasema chama kimeuzwa na hawatakubali kukiachilia kihuni. Wanne kati yao watajiunga CHADEMA. Vuta glasi ya juice...
  10. Tlaatlaah

    CHADEMA wametishika mno na vibe la kishindo la kuibuka kwa chauma kwenye medani za siasa za Tanzania, unadhani kwanini?

    Kiufupi ni kama CHADEMA wamepigwa ganzi au shoti ya umeme wasijue wala kuelewa cha kufanya. Wamejawa hofu sana na kwakweli wapoteza matumaini kwa haraka sana mitandaoni. CHAUMA wanakwenda kufuta nyayo za Chadema kwenye maeneo yote ambayo mikutano ya chadema ilifanyika. Mbaya zaidi, mikakati na...
  11. Lord Denning

    CCM wakilifisadi taifa kujinufaisha binafsi, Rwanda wazialika Taasisi za UN kuhamishia Ofisi zake nchini mwao

    Wakati Viongozi wa CCM na Serikali wakilifisadi Taifa kwa kiwango cha kutisha huku Wananchi wa Tanzania wakizidi kuwa masikini kila siku na vijana wa Tanzania wasio na ajira wakizidi kuongezeka, jirani Rwanda anazidi kuonesha ni kwa namna gani sasa ana akili kuliko wana Afrika Mashariki wote...
  12. DR HAYA LAND

    Namkubali sana Mbowe ila kuna madhaifu makubwa sana kwake niliyaona tangu 2014 japo niliamua kukaa kimya

    Mbowe namkubali Sana kwa hizi sifa mbili 1. Mbowe alikuwa na uwezo mkubwa wa kusoma na kujua potential za WATU na kuziibua . 2. Alikuwa na uwezo wa kukubalika kwa watu wenye upeo wa juu great thinkers na wasomi . Ila udhaifu ambao nimeuona kwake ni ile kukumbatia falsafa ya kiswahili...
  13. Mchumi90

    Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani

    Hii game ya CHAUMA ni kichekesho mtaani. Leo nimemuona diwani wangu wa zamani naona kucheka tu. Hawa wasidhani watanzania ni wajinga. Nipo na watu tunaangalia taarifa ya habari kwa kweli watu wanaishia kucheka tu hizi commedy. Kukiwa na uchaguzi huru na haki baada ya kupokea hawa vibaraka mzee...
  14. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CHAUMA Tunaenda kuzindua oparesheni ya chopa siku 16, usiku na mchana

    Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza kuwa kitaanza oparesheni maalum ijulikanayo kama C4C Tusonge Mbele kuanzia Mei 30, 2025 jijini Mwanza, kwa lengo la kuwafikia wananchi wa mikoa yote ya Tanzania ndani ya siku 16 kwa kutumia usafiri wa helikopta (chopa). Tangazo hilo limetolewa na...
  15. Carlos The Jackal

    PreGE2025 Ukiondoa CHAUMMA, CCM wenye kujua idadi ya Wabunge wao tayari, Vyama vingine vimeahidiwa Wabunge wangapi na Dola ya CCM ?

    Sisi CHADEMA ,tunamtaka Mabadiliko , hatutaki mbeleko, tunataka tushinde Kwa Haki na tushindwe Kwa Haki.!!. Hivi ACT Wazalendo, SAU, TADEA, ADC, AFP, DP, UPDP, UDP, NCCR? ina maana nyinyi mnaona sawa Wenzenu CHAUMMA wapewe Magari, Helkopita, Fedha, Wasanii ? Kwanini na nyinyi msidai hayo tena...
  16. M

    PreGE2025 Mimi ndiyo ningekuwa CUF, ACT, UDP n.k, kwa hili la CHAUMMA, ningeungana na CHADEMA kudai Reforms

    Ghafla bini Vuu, Chauma kinakuwa chama kikubwa kuliko vyama vyote nilivyotaja hapo juu na kikiwa na bajeti ya kurusha chopa nchi nzima, wewe kama CUF, UDP, ACT na vyama vingine, hushangai?? Chama ambacho hakina mbunge hata mmoja kiseme labda wanapata luzuku ili kufanikisha hilo Tanzania...
  17. Carlos The Jackal

    Muwape CHAUMMA Wasanii, Fedha, Magari na Helkopita, Wanaccm wahamie CHAUMMA , Oyaaaa ni kazi bure Watanzania wamekataa kudanganywa

    Yaani Ngoma inaanza tayari Watanzania wanajua CHAUMA ni mpango wa Dola na CCM !! Sana sana CCM na Dola, watatumia Pesa na Wasanii kuwajazia Chauma Makutano kutafuta kuhalalisha Ujinga na Uhuni wao waloupanga Oktoba. Sisi Watanzania Tumesema, NO REFORMS, NO ELECTIONS!!
  18. O

    Baada ya kusikia Chauma, Mwalimu alitangaza kuanza operation ya CHOPA! Sasa nimejua kwamba Watanzania tunajikaanga wenyewe, Lissu ndiyo jibu la yote

    Salumu Mwalimu na Kigaila waiokuwa na wake kati ya Covid 19, sasa wameingia Chauma , Chama Cha Ubwabwa! na ghafla Wana bajeti ya kurusha CHOPA, wanaanzia kanda ya ziwa, kwa wasukuma, watajitokeza kwa wingi kushangaa CHOPA ili kuleta justification ya Chauma kugawiwa kura ili wapate wabunge ili...
  19. M

    Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto

    Mbinu waliotumia leo CHAUMMA kujaza ukumbi ni ya kitoto Unajaza watu ukumbini ambao moyoni mwao against chama tawala wanakuwa vile? Hakuna hata mbwa wa polisi na farasi nje ya ukumbi? Hakuna hata kirabsha kidogo ?
  20. JanguKamaJangu

    PreGE2025 Hashim Rungwe: Tukienda kwenye mikutano ya CCM wanatupa hela, tunazichukua na tutaendelea kuzichukua

    Hashim Rungwe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) akihojiwa na Edwin Odemba anasema: “Kila tukienda kwenye mikutano ya vyama vya Siasa CCM inachukua pesa za wananchi inatulipa ili ionekane nchi hii kuna demokrasia, hakuna dawa hosptalini ila pesa za kutulipa wanapata na...
Back
Top Bottom