This is a list of terminology used in the fictional Dune universe created by Frank Herbert, the primary source being "Terminology of the Imperium", the glossary contained in the novel Dune (1965).
Dune word construction could be classified into three domains of vocabulary, each marked with its own neology: the names and terms related to the politics and culture of the Galactic Empire, the names and terms characteristic of the mystic sodality of the Bene Gesserit, and the barely displaced Arabic of the Fremen language.
Fremen share vocabulary for Arrakeen phenomena with the Empire, but use completely different vocabulary for Bene Gesserit-implanted messianic religion.Due to the similarities between some of Herbert's terms and ideas and actual words and concepts in the Arabic and Hebrew languages — as well as the series' "Islamic undertones" and themes — a Middle Eastern influence on Herbert's works has been noted repeatedly.
Project Chaumma haikufanikiwa na haitafanikiwa kwasababu moja tu imejaa watu ambao hawaja jenga imani kwa Watanzania wa kawaida kuwa ni wazalendo.
Hamuwezi kushindana na watu ambao hawana kashfa ya rushwa, wamefugwa na kupigwa na risasi kwasababu ya kupigania haki. Kwa upande mwingine Chauma...
Mimi siyo Nabii Wala sijaota ndoto yoyote ya Kimbingu, lakini Ninatumia Logic ya kawaida sana. Nasema kama Mbowe atajiunga Chauma. Asipojiunga ni story nyingine. Soma statement tatu zifuatazo;
1. Kwamba kufungia Chadema kutamsaidia Mbowe akose mtu wa kumkosoa na kwamba atafanikiwa na...
Chama kikubwa Cha upinzani Tanzania kimefanya mkutano mkubwa wa aina yake uko Kilimanjaro.
Ikimbukwe mkoa huo viongozi wengi wa chadema katika mkoa huo walihamia CHAUMA.
Dakika chache kabla ya Helkopta kutokea uwanjani kulikuwa na watu si zaidi ya kumi.
Baadaye Helkopta ilipofika watu wakaongezeka kiasi na mkutano kuanza.
Wasemaji walikuwa ni Devotha Minja na Salum Mwalimu ambaye muda mwingi alitumia kuelezea siasa ya CUF ya Maalim seif.
Kama kawaida...
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.
CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.
Mbowe amefikia...
Jana tarehe 16/7/2025 kulifanyika mkutano wa siasa wa chama cha CHAUMA hapa mjini Songea.
Mkutano huo ulitanguliwa na matangazo ya Kila Kona ya manispaa ya songea yakifanyika kwenye magari mawili yenye vifaa vya utangazaji tarehe 15 /7 kutwa nzima.
Matokeo ya matangazo hayo na juhudi hizo zote...
Chaumma wanaumiza kichwa kumsaka mgombea uraisi wa mwaka huu. Chama icho chenye wanasiasa majabari na wabobezi wa Siasa kama John Mrema na Vitus Nkuma
Kipo chimbo kufanya analysis ya jinsi watakavyo uendea uchaguzi mkuu.
Wachambuzi wa Siasa wanasema Kwa jinsi CHAUMMA inavyokubalika uenda...
Siasa za nchi zinachekesha. Kwa mara ya kwanza toka mfumo wa vyama vingi Baraza la wawakilishi na Bunge la Tanzania hayajavunjwa. Zanzibar Baraza la wawakilishi litavunjwa August 13. Wakati Bunge la muungano litavunjwa August 03. This means there's something behind the scenes.
Cha kushangaza...
Wakati Jon mrema na wenzake wako bize na press conference baada ya kuondoka chadema niliwashangaa sana
Kwanini nasema hivi siasa ni imani ambayo unatakiwa uwajengee wananchi kwa mda mrefu na ina gharama sasa wakina Jon mrema na wenzake wakataka kutumia shortcut naamini wameona game lilivyokuwa...
Ndani ya siku mbili kuanzia Sasa, taifa litaongea lugha tofauti, Kuna jambo litatokea ambalo Kwa ustawi wa CHAUMA itakuwa ni kilio na kusaga meno.
Usaliti ni mbaya, haraka haraka Haina baraka.
Stay tuned.
Mto wa Mbu
Illinois -USA.
Wasichokijua wafadhili wa mizengwe ya kisiasa mbalimbali ni kwamba wale wanaofadhiliwa lengo ni kupata pesa na siyo kufanikisha lengo la wafadhili.
Kwa hiyo,akina Kigaila na Mrema hawajali kama lengo la kuifunika Chadema linatimia au hapana.
Inawezekana ni kweli kwamba chama hiki kina ma injinia wa siasa. Chama hiki kina ma-genius wa siasa. Wanajua wafanye nini saa ngapi, na wapi. Ni muda mfupi tu, lakini angalia walivyoifunika Tabora!
Hawa jamaa wakiendelea hivi, kufikia October itakuwa habari nyingine! Kufikia 2027 watakuwa...
Mikitano ya ndugu zetu wa ubwabwa audiences wake ni watoto wadogo , sijui ni kwa sababu watoto wanapenda ubwabwa, na matangazo yao ni ' Ubwabwa wa bure utakuwepo'
Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October.
kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
Mnawazea vibaya sana kana kwamba wamejinyea.
Wameenda Chaumma kwa njaa zao waacheni.
Nimeona video nyingi zikisambaa mitandaoni mkiwazomea. Najua hamutawataki lakini hakuna haja ya kuwazomea.
Habari za uzima uzima wapendwa
Leo nipo na swali kama linavyosomeka hapo juu mie sio mfuatiliaji mzuri wa hivi vyama vya siasa ambavyo havieleweki vizuri, sasa kwa siku za hivi karibuni kumekuwepo na mgombea urais kwa tiketi ya CHAUMA ambaye hata chaguzi zilizopita aliwahi kushiriki huyu...
Chaumma kimekamata siasa za nchi. Taarifa niliyopata ni kwamba chama kimeagiza viongozi wake waitishe wana chama kutoka maeneo ya mbali na hata wilaya jirani wahudhurie mikutano yao. Lengo ionekane imejaa.
Chauma wanawauma kwa meno makali, wanawajua kwa mbinu zao na wanawapigia hapohapo. Kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.