Project Chaumma haikufanikiwa na haitafanikiwa kwasababu moja tu imejaa watu ambao hawaja jenga imani kwa Watanzania wa kawaida kuwa ni wazalendo.
Hamuwezi kushindana na watu ambao hawana kashfa ya rushwa, wamefugwa na kupigwa na risasi kwasababu ya kupigania haki. Kwa upande mwingine Chauma imejaa viongozi ambao walikuwa wanaenda mahakamani kushitaki wake zao!!!!
Covid 19!!! hata kwa pesa gani Watanzania sio wajinga kiasi hicho. Kuwazuia Chadema haina maana ndiyo kuwapandisha Chaumma!. Jamma watapiga pesa na kuondoka.