chauma

This is a list of terminology used in the fictional Dune universe created by Frank Herbert, the primary source being "Terminology of the Imperium", the glossary contained in the novel Dune (1965).
Dune word construction could be classified into three domains of vocabulary, each marked with its own neology: the names and terms related to the politics and culture of the Galactic Empire, the names and terms characteristic of the mystic sodality of the Bene Gesserit, and the barely displaced Arabic of the Fremen language.
Fremen share vocabulary for Arrakeen phenomena with the Empire, but use completely different vocabulary for Bene Gesserit-implanted messianic religion.Due to the similarities between some of Herbert's terms and ideas and actual words and concepts in the Arabic and Hebrew languages — as well as the series' "Islamic undertones" and themes — a Middle Eastern influence on Herbert's works has been noted repeatedly.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    CHAUMMA kimepata umaarufu ghafla

    Ni chama ambacho kwa sasa kinazungumziwa na watu wengi.Kimepata umaarufu ,mitandaoni na vyombo vya habari ni CHAUMMA. Hata Wana CHADEMA wanaizungumzia CHAUMMA. Kweli maisha yanabadilika sana hatimaye adui wa CHADEMA siyo CCM amekuwa CHAUMMA. Watu wamepindua meza ,Mungu bariki CHAUMMA tule pilau...
  2. chiembe

    PreGE2025 Ni mafuriko: CHAUMMA kupokea wanachama wa CHADEMA 3,000, mkutano kufanyika Ubungo Plaza

    Hakika ni msiba mkubwa kwa chadema. Mkutano mkubwa kuliko yote ambao umepokea viongozi, nasisitiza tena, viongozi kutoka chama kingine ni huu wa chauma. Viongozi 3000. Sasa bado wanachama wa kawaida, itabidi waombe uwanja wa Benjamin Mkapa. Na kama ikigongana na dabi, naona dabi ikiahirishwa...
  3. A

    Tazama jinsi waliosombwa kwa ajili ya CHAUMMA wanavyotaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40 zao

    Baadhi ya watu waliokuwa wakisafirishwa kuja Dar es Salaam kwa ajili ya maonyesho ya CHAUMA kesho, wameonekana wakizozani na kutaka kupigana kwa kutolipwa elfu 40, huku baadhi wakitaka warudishwe mikoani. Kazi kwelikweli, watu wamekimbia hadi na akaunti za mitandao za chama watakupeni nyie...
  4. M

    PreGE2025 Mrema: CHAUMMA inaenda kupambana na CCM kweli kweli na kuwa sauti ya UMMA

    Kwa sababu huijui Katiba ya Chaumma unaweza kujiandikia chochote , Katiba iko wazi kuwa kama Mwenyekiti akitoka upande mmoja wa Muungano,Katibu mkuu lazima atoke upande wa pili wa Muungano ,period . Mmezoea kuishi kwa kutunga sana uongo, acheni kuwa waongo na wazushi . Chaumma next level...
  5. ngara23

    Ipi ni CCM 'B' ACT Wazalendo au CHAUMMA?

    Wana chadema tuliamini CCM B ni ACT Wazalendo Sasa Leo baada ya CHAUMA ya Hashim Rungwe Mzee wa Ubwabwa kupokwa waasi wa chadema na kuwapa madaraka, hii inatuchanganya Awali upinzani wa ACT Wazalendo ulitiliwa shaka yaani ulikuwa upinzani wa zuga tu, binafsi naona hii kasi ya CHAUMA Kuna nguvu...
  6. Crocodiletooth

    Safu mpya ya uongozi CHAUMMA

    Safu Mpya Viongozi Wakuu wa CHAUMMA:- Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) kimetangaza safu mpya kuelekea Uchaguzi Mkuu kwa kile walichoeleza ni kuleta mabadiliko ya kweli nchini: 🔹 Salum Mwalimu – Katibu Mkuu CHAUMMA 🔹 Devotha Minja – Makamu Mwenyekiti Tanzania Bara 🔹 Benson Kigaila – Naibu...
  7. R

    Ikiwa mlinzi wa Freeman Mbowe amepokelewa CHAUMMA, what next?

    Salaam! Kwa wajuvi wa kuunga dots, hebu tujaribu kuchakata jambo hili. Mlinzi wa Mh Mbowe SI mwanasiasa, ni komandoo mstaafu, Sasa mkubwa akitaka kufanya ziara Magu kwa mfano, nani hutangulia mbele kabla kuweka mambo sawa? Sasa kupokelewa kwa mlinzi wa Mh Mbowe,CHAUMMA kuna move gani yaja...
  8. R

    JOH mREMA KAPATA CHEO/NAFASI GANI CHAUMA?

    MWEYE TAARIFA ATUJUZE PLEASE
  9. Mshana Jr

    PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli project G55

    Mafioso wana kaulimbiu yao inasema usifanye jambo kwa kukurupuka wala kwa shinikizo maana hutafaulu kutokana na makosa mengi ya kiufundi. Katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kushindikana kuuharibu uchaguzi wa CDM, plan B ya CCM ikawa ni kulitumia kundi lililoshindwa. Njaa haina baunsa...
  10. R

    PreGE2025 Tetesi: Majimbo waliyopewa 30 yanayodaiwa kupewa CHAUMA na ACT wagombea wa CCM wanayajua? Wameridhia?

    Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi. Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM wanapanga kugombea? Je wana umuhimu wakutumia nguvu kugombea? Wananchi wameridhia ? Wanafahamu majimbo husika?
  11. A

    Adui wa CHADEMA hivi sasa ni G-55 na CHAUMMA

    Viongozi na wanachama wa CHADEMA kila ukiwasikiliza kwenye mitandao na mikutano ya kisiasa ni lazima wataje CHAUMA ua G55. Niwaambie CHADEMA adui wenu ni CCM chama kilicho na dola. Kinyume na hapo hamtaweza kukiondoa madarakani CCM kwa sera mbovu na mikakati mibovu mliyonayo. Kelele nyingi...
  12. BLACK MOVEMENT

    PreGE2025 Tetesi: G 55 Destination yao ilikuwa ni ACT kwa makubaliano ya Zitto Kabwe na Prince Abdul wa Jorodan, Ila wenzake wakapinga vikali kwamba ndani ya Chama

    Hawa G55 chini ya ufadhili wa Prince Abdul walikuwa wajoin ACT Wazalendo na makubaliano yalisha fikiwa kabisa. Mwami Zitto ndie alikuwa Broker wa hili jambo na hajafanya bure hakuna kazi ya Bure. Ndani ya ACT ikatokea upinzani mkubwa sana kwamba hadi sasa umage ya Chama inasoma negative na...
  13. Cute Wife

    PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

    Wakuu, Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti...
  14. M

    Kwanini niwaamini chadema na sio Act. Chauma, na Nccr mageuzi?

    Nani kawahi kumsikia Lissu au Heche kuzungumzia maswala ya jamii? Wao kutwa kuzungumzia uchaguzi, kubishana na Wasira. Lkn kuhusu nini watafanya katika sera za elimu, afya, miundo mbinu sijawahi kuwasikia. Angalau Act , nccr wao huzungumzia hilo.
  15. W

    PreGE2025 Je, timu Tundu Lissu wakishindwa uchaguzi hapo kesho 21/01/2025 wataibukia CHAUMA?

    Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue. Je inaweza kuwa karata nzuri? Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  16. S

    PreGE2025 Hivi wanasiasa wa CHADEMA wakihamia CHAUMMA leo, sheria inawaruhusu kuwa wagombea kupitia CHAUMMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu?

    Habari wadau! Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia. Kwa kumbukumbu zangu, kuna mdau ambao mwanachama anatakiwa awe mwanachama wa chama husika Kama kigezo cha kuruhusiwa...
  17. 4

    PreGE2025 CHAUMMA kinaweza kwenda kuwa chama cha upinzani kikuu Tanzania muda wowote

    Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF. Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani . Hii itaenda kuwa kama ACT ilivyokuzwa na CUF . Nahisi ujinga unaofanywa na kundi ALFA NA OMEGA ukiongozwa na...
  18. Sigonella Island

    Kwanini Mbowe asikimbilie hata CHAUMA au UDP kama wanachama hawamtaki

    Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima anasubiri ang'olewe kwa aibu na Tanganyika Jeki mtu wa aina hii hafai akiingia ikulu ataigeuza...
  19. Cute Wife

    LGE2024 CHAUMA: Chagua viongozi wa CHAUMA na Sera ya Ubwabwa, huwezi kufanya maendeleo bila kushiba!

    Wakuu, Kuna vitu bila kujitoa akili huwezi kufanya :BearLaugh: :BearLaugh: :BearLaugh: yaani kijana barobaro na akili zako unapita na kuhamasisha watu kuchagua ubwabwa! Kupata taarifa na matukio yote kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya...
  20. passion_amo1

    Ni kwamba JF ina watu wengi kutoka vyama pinzani au ni watu kwa ujumla kuichoka CCM?

    Wakuu Heshima mbele. Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu, huwa nafatilia mijadala mingi sana ya siasa. Lakini kuna kitu nimekigundua itakapotokea mtu ameandika kitu kuhusu kuisfia serikali ya CCM basi watakuja watu wengi sana kupinga kwa nguvu Wengine hupinga kwa hoja, wengine hujibu...
Back
Top Bottom