Nimeshuhudia AI (chatGPT) akichanganyikiwa leo

Nimeshuhudia AI (chatGPT) akichanganyikiwa leo

Mkoba wa Mama

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2021
Posts
280
Reaction score
173
Nimeandika namba hizi; 27,000 na 20,007 nikamtaka aniambie kwa maneno katika lugha ya kiswahili. 😂 Aseee alikuwa anatoa jibu anajikosoa mwenyewe, ningiweka kwenye karatasi sijui ningejaza karatasi ngapi tu, mwishowe akaingia mitini bila kutoa jibu sahihi.

Jaribu hiyo uone kitakachotokea
 
Mbona chatgpt yangu iko poa? Fanya ku update chatgpt yako bruh.
.
Screenshot_20250513-131242.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom