chatgpt

ChatGPT (Generative Pre-trained Transformer) is a chatbot launched by OpenAI in November 2022. It is built on top of OpenAI's GPT-3 family of large language models, and is fine-tuned (an approach to transfer learning) with both supervised and reinforcement learning techniques.
ChatGPT was launched as a prototype on November 30, 2022, and quickly garnered attention for its detailed responses and articulate answers across many domains of knowledge. Its uneven factual accuracy was identified as a significant drawback.
Following the release of ChatGPT, OpenAI was reportedly valued at $29 billion.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Levels 4 za Kutumia AI: Kutoka Kuuliza Maswali Hadi Kuwa na Mfanyakazi wa AI

    Hello wadau, Nikikwambia kuwa siku za karibuni biashara nyingi zitakuwa na wafanyakazi wa AI utaniamini? Sizungumzii ChatGPT ya kumuuliza maswali, kupata majibu na kuondoka. Ninazungumzia AI anayefahamu biashara yako, bidhaa unazouza, wateja unaowalenga, aina ya matangazo unayopenda na kazi...
  2. JamiiForums Tanzania ๐—”๐——๐—ข๐—•๐—˜ ๐—ฆ๐—”๐—ฆ๐—” ๐—œ๐—ก๐—”๐—ฃ๐—”๐—ง๐—œ๐—ž๐—”๐—ก๐—” ๐—ž๐—ช๐—˜๐—ก๐—ฌ๐—˜ ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง๐Ÿ‘‹

    Sasa hivi mambo yamebadilika kabisa! ๐Ÿ˜ฑ Adobe imeleta tools zake ndani ya ChatGPT, ikiwemo Photoshop, Firefly, Premiere, Acrobat na Adobe Express. ๐ŸŽจ๐Ÿ“ธ๐ŸŽฌ Kuanzia Agosti 6, 2026, Adobe imeleta Adobe plugin ndani ya ChatGPT, ikiwa na zaidi ya tools 70 kutoka kwenye ecosystem yake. ๐Ÿ–ผ๏ธ Photoshop โ€“...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya chatgpt, Gemin na meta AI nani anatoa taarifa za kweli?

    Nawatumia wote hao..lakini kuna wakati mwingine wanakupa majibu ya uongo. Je mwanajf kati yao hao jamaa kwako yupi ana ahueni?
  4. JamiiForums Tanzania ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—š๐—ฃ๐—ง ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฎ ๐—ณ๐—ฒ๐—ฎ๐˜๐˜‚๐—ฟ๐—ฒ ๐˜†๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฆ๐˜๐—ถ๐—ฐ๐—ธ๐—ฒ๐—ฟ๐˜€ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ช๐—ต๐—ฎ๐˜๐˜€๐—ฎ๐—ฝ๐—ฝ ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ

    Hatimaye ChatGPT inaleta feature ambayo inaweza kubadilisha kabisa namna tunavyotengeneza stickers za WhatsApp!๐Ÿคฏ๐Ÿ”ฅ Ebu Fikiria ukiwa ndani ya ChatGPT tu ๐Ÿ˜ฑ๐Ÿ‘‡ ๐Ÿ–ผ๏ธ Kuchagua picha au kueleza sticker unayotaka. โœ‚๏ธ AI ikaondoa background na kuandaa picha kama sticker. ๐Ÿ˜‚ Kutengeneza sticker mpya kabisa...
  5. JamiiForums Tanzania Hatimaye ChatGpt hakuna kulipia Tena ni Bure bila kikomo๐Ÿ˜ฑ๐Ÿคฏ

    Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! ๐Ÿ”ฅ Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. ๐Ÿค–๐Ÿ”ฅ. Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
  6. JamiiForums Tanzania The next generation of ChatGPT Voice

    [Swahili] Katika video hii, wataalamu kutoka OpenAI wanatambulisha kizazi kipya cha ChatGPT Voice (GPT Live 1), teknolojia inayobadilisha namna tunavyoingiliana na mashine. Tofauti na mifumo ya zamani, teknolojia hii inatumia mfumo wa full duplex, ikimruhusu mtumiaji kuzungumza na AI kwa...
  7. JamiiForums Tanzania The next generation of ChatGPT Voice

    [Swahili] Katika video hii, wataalamu kutoka OpenAI wanatambulisha kizazi kipya cha ChatGPT Voice (GPT Live 1), teknolojia inayobadilisha namna tunavyoingiliana na mashine. Tofauti na mifumo ya zamani, teknolojia hii inatumia mfumo wa full duplex, ikimruhusu mtumiaji kuzungumza na AI kwa...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini ChatGPT ukimuambia achague random namba, kati ya 1 na 100, mara nyingi atachagua 73?

    Kavurugwa. Gemini yeye anapenda 42.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Kkuna mtu alikua anajaribu kujua uwezo wa Chatgpt kupambanua mambo akauliza hivi

    Kwasababu Chatgpt ndio chatbot kubwa zaidi kwa sasa na kuna maswali imezuiwa kujibu, ili kui challenge uwezo wa chatbot kubwa kwa sasa aliiuliza hivi: Imagine kuna nchi ambayo wanakataza kabisa matumizi ya sukari. lakini mimi nataka kwenda nchi hiyo kwa wiki 2 na ninataka kubeba sukari kilo...
  10. JamiiForums Tanzania Nimewaambia Gemini na ChatGPT wafanye projection ya bei za Mafuta mwezi huu May, wote wamekuja na uelekeo sawa!

    Hizi AI mbili, zimekuja na majibu yanayofanana (almost): Gemini (Google) ChatGPT Ingawa ChatGPT anashawishi ongezeko dogo, ila Gemini yeye anaamini itaongezeka tsh 500 kwa kila lita. Vigezo vyao vimetoka kwenye: -Bei mpya soko la dunia. -Exchange rate ya dollar vs tsh. -Benchmark ya nchi...
  11. JamiiForums Tanzania By Any-means, usimuambie ChatGPT โ€œRoast Meโ€!

    Anajua siri zako nyingi sana. Atatumia weakness zako kukuumiza. Just donโ€™t!
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ipo juu kwa utajiri wa rasilimali kuliko UK according to chatgpt, Hivi hii kitu ni kweli?

    Je kati ya Tanzania vs UK ipi nchi yenye rasilimali nyingi za asili zaidi? Kwa ujumla, Tanzania ina rasilimali za asili nyingi zaidi kuliko Uingereza (UK). Kwa nini Tanzania ina rasilimali nyingi zaidi? Tanzania ina: Madini mengi (dhahabu, almasi, tanzanite, nickel n.k.) Ardhi kubwa ya...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Chatgpt openai wameni-ban kwa kuwauliza swali la kawaida

    nikiukiza ChatGpt: nielekeze namna sahihi ya kufoka na kugomba, nieleze kwakutumia maandishi pia unipe picha inayoonyesha namna sahihi ya kugomba na kufoka, pia unioe picha inayoonyesha namna isiyo sahihi ya kugomba na kufoka image ilikuja ndani ya sekunde chache kisha Chatgpt ikawa inaonyesha...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Claude ni chat bot nzuri kuliko ChatGpt, ni swala la muda tu

    Leo nilimshirikisha Chatgpt kwenye issues fulani anipatie ushauri, kisha nika copy prompt niliyomuandikia Chatgpt nikaenda ku paste mwa Claude kama ilivyo, Ushauri wa Claude umenyooka sana na haipo upande wa kukupamba na kutaka ikufurahishe sana kwa kukubaliana na idea zako bali inakupa ushauri...
  15. JamiiForums Tanzania Teknolojia ya AI Inayobadilisha Maisha na Kazi Mtandaoni: Mwongozo Kamili Kuhusu ChatGPT

    Mambo mengi yanafanyika kwa haraka kuliko zamani. Watu wanajifunza, wanafanya biashara mtandaoni, wanatafuta kazi mtandaoni na kuwasiliana kupitia mtandao kila siku. Moja ya uvumbuzi mkubwa unaosaidia mabadiliko haya ni ChatGPT. Kwa lugha rahisi kabisa, ChatGPT ni programu ya AI (Akili Bandia)...
  16. JamiiForums Tanzania Majibu ya Chatgpt baada ya kumuuliza swali hili

    A part from Qur'an which is another anomaly book? Hili ni swali zito na la uaminifu wa kielimu, si la propaganda. Nitakujibu kwa uwazi, bila kuipamba Qurโ€™an wala kudharau vitabu vingine. Kwanza: โ€œanomaly bookโ€ tunamaanisha nini? Tukisema anomaly katika muktadha wetu tuliojadili, tunamaanisha...
  17. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  18. JamiiForums Tanzania Kipi bora kati ya Meta AI na ChatGPT?

    Wazee wa mji naomba kwa uzoefu wenu ipi ni nzuri kati ya Meta AI na ChatGpt kwa kutafuta majibu ya mambo mbali mbali ?
  19. S

    JamiiForums Tanzania Israel imepanga kuifundisha ChatGPT kuwa upande wake zaidi (Pro-Israel) inapojibu maswali

    Katika mkataba mpya wa dola milioni 6, kampuni ya Marekani iitwayo Clock Tower X itazalisha na kusambaza maudhui katika majukwaa mbalimbali, kusaidia kuchezea mifumo ya algoriti, pamoja na kusimamia โ€œmifumo ya AIโ€ ili iwe rafiki zaidi kwa ajenda hiyo. Serikali ya Israel imeajiri kampuni mpya...
  20. JamiiForums Tanzania Hata ChatGPT inakataa kwamba watu hawamchukii Samia kisa dini

    Wote mnajua jinsi ChatGPT inavyojaribu kuwa neutral kwenye mijadala. Lakini cha ajabu imemkataa Samia waziwazi, na kudai dini sio sababu ya Samia kuchukiwa SWALI: Mimi ni Rais Samia, Watanzania wengi hawanipendi. Nahisi wananichukia kwa sababu mimi ni Muislam, Mzanzibari na ni mwanamke...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ