chanzo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana hii ndiyo sababu ya uhakika ya ajali ya ndege ya Precision Air

    Hivi ndivyo jinsi ajali ya ndege ya Precion Air ilivyotokea: "Ndege ilikua ikiongozwa na ruban mmoja hivi anaitwa Rubanga mwingne jina lake sijalifahamu vizuri. Tatizo ililopata mpaka ndege ikaanguka ni matairi ya ndege kugoma kutoka na unaambiwa senior captain alitoa taarifa Tower kuhusu hilo...
  2. JamiiForums Tanzania Tabia ya ‘kupasha viporo’ chanzo maambukizi ya VVU

    Ugonjwa wa UKIMWI bado ni tatizo kubwa katika jamii, hivyo ni muhimu kuendelea kutoa elimu kwa wananchi juu ya kujikinga na ugonjwa huo. Ni muhimu kuhimiza watu kuchukua tahadhari kwa wale ambao hawajaambukizwa na wale waliokuwa na maambukizi kuzikubali hali zao na kufuata masharti yanayotolewa...
  3. JamiiForums Tanzania Siasa ndiyo chanzo kikuu cha shida ya Umeme na Maji Tanzania

    UHABA WA MAJI KUPELEKEA MGAWO MPYA WA UMEME? Kwa wale wasiofahamu, uhaba wa maji nchini unaodaiwa kutokana na ukame uliosababishwa na ukosefu wa mvua kwa muda mrefu (mabadiliko ya Tabia ya nchi), una madhara ya moja kwa moja kwenye upatikanaji wa umeme hapa nchini. Hii ni kutokana na maji kuwa...
  4. JamiiForums Tanzania Makalio Chanzo kikubwa Kwa wanawake kuingiliwa kinyume na Maumbile

    Huwa nawashangaa Sana wadada wanalalamika wapenzi wao kutaka tigo. Ikumbukwe wanawake wa kileo wanaringa sana na mawowo Yao. Wanayatingisha tingisha na kuyabana ili kuvutia wanaume. Kumbuka kama mwanaume alikupendea trako, amini usiami Hata mkiwa ndani sita kwa sita atatamani akugeuze aone...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha mtoto kuzaliwa na upofu ni nini?

    Wakuu habari za mchana! Naamini huku katika jukwaa letu pendwa kuna watu wenye uweledi na ufahamu mkubwa, naomba mnijibu swali langu hili. "Nini kinasababisha mtoto kuzaliwa na upofu? Je, kuna vitu fulani alivikosa wakati akiwa tumboni? Au mama alitumia vitu/dawa/vyakula/vinywaji ambavyo...
  6. JamiiForums Tanzania Uadilifu chanzo cha wizi wa mitihani na udanganyifu

    Taifa lenye watu wengi wasio na uadilifu ni kawaida sana kuwepo kwa wizi wa mitihani ama udanganyifu kwenye mitihani. Uadilifu ni zaidi ya mtu kutokuiba ama kusema uongo, uadilifu pia ni pamoja na mtu kujali maslahi ya wengi pale anapokuwa na cheo kwa niaba ya Umma. watu waadilifu wataweka...
  7. JamiiForums Tanzania Hivi chanzo cha huu mgao wa maji na umeme ni nini?

    Hivi kweli unawezaje kujitembeza bila aibu eti unafanya royal tour, halafu watalii wakija wanakuta nchi ina mgao wa maji na umeme? Huu mgao ulianza lini? Mbona wananchi hatuna taarifa? Au ndio siasa yenyewe hii?
  8. JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi ya kimapenzi yanavunjika kwa sababu wengi wameyafanya kuwa chanzo chao kikubwa cha furaha

    Habari wana jukwaa. Leo nataka niseme kitu kidogo sana. Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume? Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi wa wale wanaoingia kwenywe mahusiano ya kimapenzi lengo kubwa ni kupata furaha kupitia mapenzi...
  9. JamiiForums Tanzania Nini chanzo cha Kocha Nabi na Kaze kupigana?

    Taarifa zilizopokea kwenye vyanzo vyangu ni kwamba Makocha wa Yanga wametofautiana mpaka kufikia kiwango cha kupigana. Taarifa hizi nilizipuuza lakini kadri muda unavyosogea zinazidi kutolewa katika mitandao ya kijamii. Bado haijathibitika sababu hasa za kupigana, hata hivyo inadhaniwa kuwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Polisi: Ndugu ni chanzo cha kesi za Ukatili wa Kijinsia kufutwa

    Afisa Polisi Jamii kutoka Mkoa wa Kipolisi Ilala Eugene Mwampondele amesema Kesi 949 kati ya 1,271 zilizopelekwa Madawati ya Jinsia katika Mahakama ya Wilaya mwaka 2018/21 zimeondolewa. Ametolea mfano takwimu za matukio ya Ukatili wa Kijinsia katika Kituo cha Stakishari pekee yameongezeka hadi...
  11. JamiiForums Tanzania Chanzo cha kuendelea kwa Umasikini na Ujinga ni CCM

    Umaskini wetu ambao mahala kwingine umetopea, ujinga tulionao unaosababisha maradhi kwa watanzania wengi chanzo chake ni CCM. Siku CCM ikiondoka madarakani, Umaskini utapungua, ujinga utakuwa kwa watu wachache na maradhi yatadhibitiwa.
  12. C

    JamiiForums Tanzania Fikra duni ndio chanzo cha kupoteza ndoto za kijana?

    Inafahamika kwamba wazazi hasa wa Kiafrika huwa na mitazamo juu ya maisha ya watoto wao kuanzia elimu mpaka makuzi ya watoto wao ndio hutoa taswira ya maisha ya mtoto. Lakini kwa upande mwingine wazazi wengi wa Kiafrika hasa waliyokulia kwenye nyakati za ukimaliza shule utapata kazi, hawaamini...
  13. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Nimekuja kugundua kwamba vita dhidi ya Uganda ilitengenezwa na Israel ili kumuondoa adui yao Idd Amin

    1 + 1 = 2, watanzania wengi tume focuss kwenye 2 kwamba Idd Amin alivamia Kagera na ndio chanzo, tunasahau kwamba Kuna 1 + 1 zilizosababisha ikawa hio 2 na hata ukienda Wikipedia nao hawajui chanzo kamili cha 1+1 kilichoanzisha vita ila ni wazi kabisa mtu aliefaidika kwa kupinduliwa Idd Amin...
  14. JamiiForums Tanzania Nini hasa chanzo cha bei ya vyakula kupanda zaidi ya mara dufu (inflation)? Nini kifanyike kutunusuru na janga hili kubwa?

    Tunaambiwa kuwa mfumuko wa bei (inflation rate) nchini kwetu bado ni mdogo sana, ni chini ya asilimia 5%! Wao wanauita single digit inflation. Lakini kwa miezi ya hivi karibuni, bei za vyakula muhimu sokoni vimepanda kwa zaidi ya maradufu. Yaani mfumuko wa bei wa vyakula ni zaidi ya asilimia...
  15. JamiiForums Tanzania Matatizo ya wanawake chanzo ni wanaume na matatizo ya wanaume chanzo ni wanawake

    Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama una changamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita. Nimeandaa post hii kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na hata wakike pia ili waweze kuishi na wenza wao kwa amani. Nadhani kila mtu anajua kama bila...
  16. JamiiForums Tanzania RIPOTI: Hii ndio sababu ya kifo cha Malkia Elizabeth II

    Cheti cha kifo cha Malkia Elizabeth II kimethibitisha kuwa alifariki kutokana na Uzee Septemba 8. Ikiwa ni ingizo la Rekodi za Kitaifa za Scotland, lililochapishwa leo, na kutiwa saini na mtoto wa Malkia, Princess Royal, ambaye alikuwa naye katika saa zake 24 za mwisho. Kifo cha marehemu Queen...
  17. JamiiForums Tanzania Bakteria Sugu kwa Dawa watajwa kuwa chanzo kingine hatari cha vifo Afrika, Tanzania ikiwemo

    Uchunguzi uliofanywa na Jumuiya ya Kiafrika ya Madawa ya Maabara (ASLM) imeonesha nchi 14 za Kusini mwa Jangwa la Sahara, Tanzania ikiwemo zinakabiliwa na hatari ya kuongezeka wagonjwa wenye vimelea wasiotibika kutokana na usugu wa dawa. Ripoti hiyo imebaini kuwa ni vimelea vitano tu kati ya 15...
  18. JamiiForums Tanzania Ongezeko la wanaofanya mahubiri kwenye mabasi mijini. Nini chanzo?

  19. C

    JamiiForums Tanzania Na nyie mnaamini wazazi ni chanzo kikuu cha panya road?

    Ni moja ya sababu lakini sababu kubwa ya kuwepo kwa panya road ni hali ngumu ya maisha, mfumuko wa bei, kukosa ajira na kunyimwa mazingira ya kujiajiri hasa 'umachinga'. Wanaokamatwa sasa hivi siyo watoto ni vijana wakubwa na wengine ni wababa kabisa, bado tu kuna sababu ya kuwatupia lawama...
  20. JamiiForums Tanzania Pesa ni chanzo cha watu kuwa wavivu, pamoja na kutokuwa wazalishaji halisi; 'barter trade' irudi

    Pesa sio kipimio sahihi cha uzalishaji wa vitu. Chukulia mfano, mtu anaponda kokoto kwa kutumia mkono kwa siku 20 na kuweza kujaza tipa, na mwishowe analipwa laki 1; wakati huo huo mwingine ameudhuria kikao cha nusu saa tu, anapata laki 5; hii haiko sawa. Mkulima anatumia muda mwingi kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…