chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. Uviko-19 na chanjo zake

    #SisiTanzania #WeTanzania 28/Julai/2021. UVIKO19 NA CHANJO ZAKE. Habari yako mtanzania. Unafahamu kuhusu UVIKO19 na chanjo zake? UVIKO19 ni gonjwa lililoikumba Dunia nzima na kuiacha mdomo wazi mwishoni wa mwaka 2019 ikianzia mabara jirani na kuingia Afrika kwa kasi mwaka 2020. Mpaka sasa...
  2. Chanjo ya covid-19 inatolewa hospital gani nikachanjwe?

    Wakuu hospital gani hapa dar inatoa chanjo na masharti gani yanatakiwa ili nipate chanjo? Mwenye kujua anipe utaratibu.
  3. G

    Wasioitaka chanjo ya korona Tanzania hawa hapa

    Pita sehemu mbalimbali hapa Tanzania ambako kuna ulazima wa kuvaa barakoa. Kisha angalia idadi ya watu waliovaa barakoa kwa hiari yao. Ni wachache sana. Ukiangalia makanisani, misikitini, viwanja vya michezo, masokoni, harusini, vyombo vya usafiri , minqdani, n.k watu hawana habari na barakoa...
  4. Rais ulifanya makosa makubwa kuifanya chanjo kuwa hiari, ulipaswa kukubaliana na Mbowe kuwa chanjo lazima ili tuweze kupambana na Gwajima

    Wasalaam wana jamvi. Mimi ni mmoja wa watu ambao kusema kweli nilitamani kabisa swala la chanjo liwe kwa lazima kwa kila mtanzania na hili lilipaswa kuwekwa wazi kabisa na Mh Rais pale alipotangaza ujio wa chanjo hiyo kwani ingesaidia sana kupambana na watu wanaopinga chanjo hiyo. Nakumbuka...
  5. Msiingize uchama kwenye suala la chanjo, chanjo si mali ya chama

    Jamani chondechonde msiingize swala la chanjo kwenye uvyama chanjo sio mali ya chama. Waelimisheni watanzania wote vile ambavyo wewe unaelewa kuhusu chanjo. Mtu akizungumza jambo tusikurupuke kuanza kuliingiza kwenye mambo ya chama hapo tunakua hatutumii akili zetu sawa sawa. Ukiona mtu...
  6. UVCCM: CCM imchukulie hatua Askofu Gwajima kwa kuhamasisha Watanzania kukataa chanjo ya Uviko-19

    Dodoma. Umoja wa Vijana wa CCM ( UVCCM) umekitaka chama chao kumchukulia hatua Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima kwa kitendo chake cha kuhamasisha watanzania wakatae chanjo ya Uviko-19. Katibu Mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi ameyasema hayo leo Jumanne Julai 28 2021 mara baada kumalizika kwa...
  7. Kassim Majaliwa: Hakuna mtu aliyelazimishwa kuchanja chanjo ya UVIKO-19

    WAZIRI MKUU WA TANZANIA, NDUGU. KASSIM MAJALIWA: HAKUNA MTU ALIYELAZIMISHWA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19. Awataka wananchi wapuuze upotoshwaji unaoendelea mitandaoni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa...
  8. J

    #COVID19 NIMR: Chanjo zitakazotolewa Nchini ziko salama kwa asilimia 99.9

    Baada ya ufafanuzi mzuri wa kisayansi uliotolewa na Mkurugenzi mkuu wa NIMR Profesa Yunus Mgaya kupitia Clouds tv sitashangaa kumuona Askofu Gwajima akibadili mawazo na kutimba Ikulu kupata chanjo hapo kesho. Prof Yunus Mgaya amesema chanjo ya Johnson & Johson inaweza kuwaathiri watu 4 tu...
  9. Viongozi wa dini wakubali kufata maelekezo ya Wataalamu wa Afya katika kukabiliana na Covid-19

    Viongozi wa umoja wa dini mbalimbali umesema msimamo wao katika mapambano ya ugonjwa wa Covid-19 ni kusikiliza sauti za wataalamu na wanasayansi ikiwemo maamuzi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa huo. Kauli ya viongozi hao imekuja siku chache baada ya chanjo zaidi ya milioni 1 za Covid - 19...
  10. Tumsikilize mchungaji Gwajima, tusimbeze. Chanjo zote zina bechi tofauti na kuna nchi hukataa baadhi ya bechi na nyingine ni zile zilizobakia

    Utangulizi- Nawaomba Mods msihamishe uzi huu. Mchungaji Josephat Gwajima asimamia maeneo mawili katika hoja yake. Kwanza, kilichomo kwenye chanjo na pili chanjo dhidi ya wanajeshi na walinda usalama wa nchi. La kwanza kuhusu kilichomo kwenye chanjo au (content). Mchungaji Gwajima anadai ni...
  11. R

    Mbona hamjahoji kuhusu Panadol, Aspirin na ARVs kuwa wazungu wanaweza "kutufanyizia"?

    Makelele mengi kuhusu chanjo ya corona, mbona hamjahoji au kukataza dawa/chanjo tunazozitumia hospitalini leo hii? Aina za chanjo ambazo kila mtoto wa Kitanzania anazipata na zinatoka west/USA BCG (Bacile Calmette-Guérin) DTP au DPT (Dondakoo, Pepopunda na Kifaduro) Surua Polio Magonjwa haya...
  12. Gerson Msigwa: Watanzania wawasikilize wataalamu, chanjo za COVID-19 zinahakikiwa na TMDA na Mkemia Mkuu

    Mtangazaji: Tuanze na suala la chanjo, tumepata taarifa kesho Rais Samia Suluhu atazindua utaratibu wa chanjo na yeye atachanjwa. Utaratibu utakuwaje kama umeshawekwa na Serikali? Msigwa: Baada ya kuwasili dozi za chanjo zaidi ya milioni 1, kesho asubuhi mheshimiwa Rais atazindua zoezi la...
  13. S

    Mapokezi ya chanjo ya Covid-19 yapo hasi sana kwa Watanzania

    Ukiacha Gwajima kuchafua hali ya hewa kuhusiana na chanjo ya Corona lakini tayari watanzania walishaaminishwa na Rais wa awamu ya tano, Hayati Magufuli kuwa chanjo ya Corona sio salama kabisa na hivi huku hayati akisema kuwa chanjo ya Korona inayopigiwa debe na mabeberu kama alivyokuwa anasema...
  14. Ofisi nyingi hazitaruhusu watu kuingia bila kuwa na chanjo

    Japo kwa sasa wanasema chanjo ni hiyari, lakini ninapenda kuwahakikishia huko mbeleni hakuna ofisi yoyote ya Serikali utakayoweza kuingia bila ya kuwa na kibali cha chanjo. Kwa namna moja au nyingine itatulazimu na sisi tusiotaka kuchanjwa tuchanje bila kupenda maana hatutakuwa na jinsi. Kwa...
  15. Azim Dewji amvaa Gwajima sakata la chanjo, amwambia ana akili ya kuhubiri siyo Sayansi

    Azim Dewji: Tunasema kwamba, kazi kubwa ya mkuu wa Dini ni kuongoza waumini wake sio kuwapotosha, unazungumza maneno ya kuwapotosha waumini na kuleta taharuki kwenye Jamii, hiyo haifai kabisa na isiendelee kufanyika hivyo, sisi hatutakubali. Kwa njia moja au nyingine unawatukana waliobobea...
  16. Rais Samia kuzindua na kupata Chanjo ya COVID-19 Julai 28, 2021

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Chanjo ya COVID19 Ikulu Dar, Saa tatu asubuhi Julai 28, 2021 Tanzania ilijiunga na Mpango wa COVAX Juni 15, 2021 na imepokea shehena ya Chanjo Julai 24, 2021 Wizara ya Afya imesema Chanjo ni nyongeza ya njia za kupambana na Corona...
  17. Tozo ya miamala, Ugaidi wa Mbowe na Ujio wa Chanjo ya Corona

    Wanabodi, Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu. Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi, likaibuka suala la kukamatwa Mbowe anayetuhumiwa kwa makosa ya kupanga ugaidi. Wakati hili la...
  18. Kigeugeu cha CCM: Leo wasema Chanjo ni bora kuliko Nyungu

    Wonders shall never end ndio ninachoweza kusema, Wana CCM waliuaminisha uma wa watanzania kuwa nyungu, malimao na tangawizi vinatibu Corona. Kheri Gwajima ameamua kusimamia msimamo ule waliokubaliana enzi za John Pombe Magufuli kuwa chanjo hazifai. Wanafiki na wachumia tumbo wanatumia kauli ya...
  19. Kama Taifa limekubali chanjo ndio maslahi ya Taifa, Viongozi wote wanakuwa Bind na A Collective Responsibility Clause. Must support, Shut up or quit!

    Wanabodi, Nimemsikia Mbunge wangu Mhe. Askofu Gwajima akipinga chanjo ya Covid na sio tu kuhamasisha watu waikatae bali hadi kutishia kwa kuwahukumu kifo, wote watakao wachanja watu! Askofu wetu anahitaji kuelimishwa, kwanza yeye, kama Mbunge, ni mtumishi wa umma wa Watanzania wote, kisha ndio...
  20. Chanjo ya Coronavirus kuanza kutolewa kwenye Mikoa 10 ya Tanzania bara

    Mikoa hiyo ya kipaumbele ni Dar es Salaam, Mwanza, Kilimanjaro, Mbeya, Arusha, Kigoma, Singida, Dodoma, Iringa na Mtwara. Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, aliyasema hayo jana jijini Dar es Salaam kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere baada...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…