chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Corona: 99% ya vifo Marekani hawakuwa Wamechanjwa

    Mengi yameelezwa kuhusu chanjo za Corona. Kwa mujibu wa balozi wa Marekani, katika vifo vyote vitokanavyo na Corona sasa hivi huko kwao, 99% ni watu ambao hawakuwa wamechanjwa. Angalizo: 1. Ni muhimu ikafahamika kuwa chanjo hizi si dawa ya kutibu au kuzuia mtu kutopata ugonjwa. 2. Chanjo...
  2. Jasusi Mbobezi

    JamiiForums Tanzania Polepole aweka msimamo wake wa kutochanjwa

    Kupitia ukurasa wake rasmi wa Facebook, alipokuwa akiongelea kuhusiana na muziki wa Singeli, sentensi yake ya mwisho ilikuwa ni kutoa msimamo wake kuhusu chanjo, amesema chanjo ni hiyari na yeye hatachanja. Huyu ndiye Polepole ninayemfahamu, Mungu akujalie ufike mbali, kile kiti kinakufaa kabisa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa CHADEMA wanahamasisha chanjo ya Corona ila hatuwaoni wakichanjwa

    Ndugu zangu Watanzania. Wakati Bwana Yesu yuko duniani aliwaeleza wafuasi wake kuwa Mafarisayo wameketi kwenye kiti cha Nabii Musa. Wasikilize maneno yao ila wasienende kwa mfano wa Matendo yao. Leo hii maneno hayo yanatimia kwa Viongozi wa Chadema. Wamekuwa wakihamasisha sana juu ya chanjo...
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda! Umepata changamoto ?

    Binafsi nimepata chanjo ya uviko-19 nchini Tanzania; lakini sijapata mpaka sasa maudhi madogo wala makubwa na hivyo namshukuru Mwenyezi Mungu kuniepusha changamoto walizopata wenzangu wachache nchini Tanzania. Je, nini maoni au ushauri baada ya kuchanjwa Chanjo ya Uviko-19 kama shuhuda ! Umepata...
  5. MR TOXIC

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Mkoa wa Arusha na Muuguzi waliofanya maigizo ya chanjo wasimamishwe kazi mara moja

    Sitaki kutia neno, Jionee mwenyewe na uchukue hatua. UPDATE: 06 August, 2021 Waziri wa OR-TAMISEMI, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu OR-TAMISEMI kumsimamisha kazi Mwalimu Omary Abdallahemed Kwesiga ambaye ni Mkuu wa Idara ya Elimu ya Msingi Halmashauri ya Jiji la Arusha. Aidha...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
  7. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kabla ya chanjo jitafakari kwanza, usikurupuke kisiasa

    Ukichanjwa bado unaweza kuambukizwa, kwa Mujibu wa ushahidi sehemu mbalimbali duniani. Bado itabidi uendelee kujilinda na amshambulizi ya vijidudu hivyo kama yule ambaye hajachanjwa. Leo covid 21 tunaiita Delta, akibadilika akija mwingine labda Covid Dec 21 siamini kama kinga itamtambua...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kirusi kipya aina ya Lambda chagundulika huko Peru, chanjo haziwezi kukizuia

    Taarifa mpya ni kwamba, kirusi cha Covid 19 ambacho kinajibadili ama mutate kila siku kimekuja na aina mpya ya kirusi kinaitwa Lambda. Lambda imegundulika huko nchini Peru. Kirusi cha Lambda kimeonyesha kua hizi chanjo zilizopo haziwezi kukizuia, kiko resistance dhidi ya chanjo zilizopo...
  9. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Polepole awataka wataalam wa ndani wavumbue chanjo ya UVIKO

    Ukiachilia mbali kuwa mfuasi wa katiba pendekezwa, Humphrey Polepole ameamua kuvunja ukimya kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa maneno haya yaliyo katika tafsida... Unadhani ameongea maneno hayo kwa dhumuni au lengo gani?.
  10. Khadija Mtalame

    JamiiForums Tanzania Ukichanjwa siyo kwamba hutougua, bado utaugua na kifo hakikwepeki

    Habari wanajukwaa; Napenda kutoa ufafanuzi kidogo kwamba Chanjo iliyoanza kutolewa Ni covid viral living matter ambae anawekwa kwenye mwili wa binadamu Kupambana na viral aliepo mwilini, Hivyo ,ukidungwa chanjo hiyo,ikakutana na viral aliepo mwilini tayari ana nguvu hapo ndo utasikia,kwamba...
  11. T

    JamiiForums Tanzania WHO yatoa rai kwa mataifa kusitisha utoaji wa chanjo za nyongeza kwa raia wake

    Mkurugenzi wa WHO ameziomba nchi tajiri kusitisha kutoa chanjo ya 3 ama booster ya Covid 19 hadi angalau mwezi October 2021 ili kutoa nafasi kwa nchi masikini angalau kuchanja 10% ya watu wao. Nchi tajiri zimeanza mpango wa kutoa chanjo ya 3 ama ya pili maarufu kama booster shots ili kuzipa...
  12. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania Tuache upotoshaji kutumia dini kupinga chanjo ya COVID-19

    Soma hii kwa kumaanisha Tanzania tunachanjo 15 ikiwemo hii tunayoikimbia zote ni za mabeberu,Wameshindwa kukuua kirahisi ukiwa Mchanga leo umepata akili ndio unamkimbia nyoka uliyelalanae mpaka unataka kuvunja mguu,Acha ushamba Wahi chanjo ziko chache usisahau maisha ni yako. Corona sio...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Chanjo ya CoVid 19: Nusura nijeruhiwe na Wanakijiji

    Mods and Wachangiaji, ninachoandika hapa ni kitu kikubwa na nashauri tahadhari ichukuliwe mapema. It is very serious. Siku ya Jana nikiwa kwenye majukumu yangu ya kutafuta riziki, nilipaswa kufika kwenye shule X huko kanda ya MAGHARIBI ili kuonana na Mkuu wa shule kwa akili issue Fulani...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Baada ya mtu kupata chanjo ya Covid-19 miongoni mwa mambo ya kuzingatia ni kutopata kilevi cha aina yoyote kwa saa 72 (siku tatu)

    Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi. Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
  15. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Ole Millya apata chanjo ya Uviko-19; asema kama Rais Samia amechanjwa yeye ni nani asichanjwe

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara, James Ole Milya leo Agosti 3 mwaka 2020 amechomwa chanjo ya Uviko -19 kama njia mojawapo ya kujikinga na ugonjwa huo hatari duniani. Ole Milya amejipatia chanjo hiyo aina ya Jansen kutoka kampuni ya Johnson & Johnson katika hospitali ya mkoa...
  16. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Msisitizo Askofu Gwajima ni msimamo juu ya msimamo kuhusu Chanjo ya COVID-19

    Askofu Josephat Gwajima ameandika hivi punde kwenye ukurasa wake wa Facebook kwamba kabla hujaongea kuhusu mimi lazima utafakari sana kwanza. Familia zangu zipo nne ambazo ni:- Familia ya Ufufuo na Uzima Familia ya Waislamu Familia ya Watanzania Na familia ya wasionipenda (Assigned to sharpen...
  17. The Good

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu kwenye chanjo ya COVID-19 leo

    Leo nimebahatika kupata chanjo katika kituo cha jirani. Vitu viwili ambavyo nimeviona na nadhani kuna haja ya wahusika kuvifanyia kazi ni hivi 1. Booking Jana nilifanya on-line booking na kuweka tarehe ya leo katika kituo nilichochagua Nilipofika kituoni nikakuta hawana taarifa yoyote ya...
  18. L

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi wajitokeza kwa wingi kupokea chanjo ya Corona

    Zoezi la kuzindua chanjo kwa mkoa wa Arusha hatimaye limefanyika na wananchi kadhaa kuhudhuria tukio hilo lililofanyika katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha. Katika tukio hilo lililohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa mkoa ikiwepo kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa pamoja na...
  19. Camilo_Cienfuegos

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Hakuna chanjo mpaka atakaponzindua RC kesho

    Chanjo ya Covid-19 iliyokuwa ianze leo, imeahirishwa mpaka atakapochanjwa kwanza Mkuu wa Mkoa Rukwa na kuzindua zoezi hilo hapo kesho. Huu ni upumbavu mwingine katika awamu hii. Gonjwa linaua watu dawa ipo lakini haiwezi kutolewa kabla ya mtu fulani hajachanjwa!! madness. Kuna ndugu yangu yupo...
  20. MWAISEMBA CR

    JamiiForums Tanzania Ni ujinga na ukosefu wa maarifa unawasumbua waafrika na watanzania kuhusu chanjo ya COVID-19

    NI UJINGA TU NA UKOSEFU WA MAARIFA NDIO UNAWASUMBUA WAAFRIKA NA WATANZANIA KUHUSU CHANJO YA COVID 19 Na: Shujaa Ujue kinachofanya Africa kuwa bara maskini tofauti na mengine ya wazungu na Tanzania kuwa miongoni mwa Nchi maskini duniani pamoja na utajiri na rasilimali nyingi walizo nazo Sio...
Back
Top Bottom