chanjo

Chanjo (kutoka kitenzi "kuchanja"; kwa Kiingereza "vaccine") ni dawa ya kibiolojia ambayo inajenga kingamwili dhidi ya ugonjwa fulani.

Dawa ya chanjo huwa na sehemu za vidubini vinavyosababisha ugonjwa fulani. Dawa hutolewa kutoka katika kidubini kilicho hai au kilichokuwa hai. Sehemu zinazotumiwa kwa dawa haziwezi kusababisha ugonjwa lakini zinatambuliwa na mmfumo wa kinga mwilini.

Mara dawa ya chanjo inaingizwa katika mwili, mfumo wa kinga unaanza kutegeneza fingomwili dhidi ya ugojwa huo.

Chanjo ni njia bora zaidi kuzuia magonjwa ya kuambukiza. Kinga inayoenea kutokana na chanjo kwa kiasi kikubwa inawezesha kuepukana na kifua kikuu duniani na kizuizi cha magonjwa kama vile polio, pepopunda, tetekuwanga kutoka duniani kote. Hata hivi karibuni kumekuwa na mlipuko wa ugonjwa wa COVID-19 kuna chanjo zilitengenezwa na kuukabili

Tunashauriwa na wataalamu wa afya na wanasayansi wa kimataifa kuwapa watoto wadogo chanjo ili iwakinge dhidi ya magonjwa na maradhi mabaya. Kinga ni bora kuliko tiba.
  1. JITU BANDIA

    Msaada: Dawa ipi ni nzuri ya hospitali ya kukausha uvimbe wa mguu baada ya kuparuliwa na paka? Chanjo ameshachoma.

    Wasalaam aleykum, Twende kwenye mada, Nina mdogo wangu aliparuliwa na paka wiki mbili zilizopita, baada ya hapo tukamchoma chanjo zote za za kuzuia athari ya kung'atwa na wanyama pale hospital... Lakini hadi sasa ameendelea kutumia antibiotics mbali mbali, mguu haupungui uvimbe! Uvimbe...
  2. Imani rubaba

    HOMA YA NGURUWE, UGONJWA HATARI USIO NA CHANJO WALA TIBA 🙌🥺

    Hivi karibuni Rubaba Media tumepokea simu na ujumbe mwingi kutoka kwa wafugaji wa nguruwe maeneo mbalimbali nchini. Changamoto kubwa inayojirudia ni vifo vya nguruwe kutokea kwa makundi, hali ambayo imeleta hofu na hasara kubwa kwa wafugaji wengi. Wapo wafugaji wanaohusisha vifo hivyo moja kwa...
  3. ChekoFagia

    Gavi, UNICEF watia saini mkataba wa kupunguza bei ya chanjo ya Malaria

    Muungano wa kimataifa wa chanjo Gavi na mshirika wake Unicef watalipa nafuu ya 25% kwa chanjo mpya ya malaria iliyotengenezwa na Taasisi ya Serum ya India ndani ya takribani muda wa mwaka mmoja, kuwaruhusu kufikia watoto zaidi licha ya kupunguzwa kwa misaada ya kimataifa. - Mpango huo...
  4. Just Pray

    Enteromix: Chanjo ya saratani kutoka Urusi iliyofikia ufanisi wa asilimia 100 kwenye majaribio ya kitabibu

    Katika kile kinachoweza kuwa muujiza wa kuokoa na kuboresha maisha ya maelfu ya watu duniani, chanjo ya mRNA ya Urusi iitwayo Enteromix imeonesha ufanisi wa asilimia 100 na usalama katika majaribio ya kitabibu. Hii inaweza kuleta matumaini makubwa katika kupambana na saratani sugu na hata...
  5. Brayan_Jk

    Ifahamu Wing Web Vaccination kuwapa Chanjo ya Ndui)

    Fowl Pox ni ugonjwa wa kuku unaosababishwa na virusi, unaosambazwa na mbu au kwa kugusana. Dalili zake: Vidonda kwenye uso, mdomo au midomo ya macho 👀 Kuku kuwa dhaifu na kushuka uzalishaji wa mayai 🥚 Vifo hasa kwa vifaranga wadogo Wing Web ndiyo njia bora ya kuchanja kuku dhidi ya Fowl...
  6. R

    Uingereza Kuanza kutoa chanjo ya Kisonono (Gonorrhoea)

    Uingereza imeanza kutoa chanjo ya kwanza duniani dhidi ya maambukizi ya ugonjwa wa Gonorrhoea ambayo yamefikia viwango vya juu. Chanjo hiyo itatolewa kwa makundi ya watu walio hatarini zaidi haswa wanaume wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja na wale wenye historia ya kuwa na mpenzi zaidi ya...
  7. Brayan_Jk

    Usikose Chanjo Tena 💉!!

    Wewe ni Mfugaji Lakini huwa unasahau Chanjo na Inakusababisha Kuchanja baada ya Ugonjwa Kuingia ,Fuga App inakusaidia kukumbuka Chanjo zako Zote na itakutumia SMS kukumbusha Siku moja kabla na Siku ya Chanjo, Kuku wako wasiumwe tena kwa kusahau kuchanja Pakua Fuga App Kutoka Playstore Ufurahie...
  8. M

    Dawa ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI yazinduliwa USA

    Mamlaka ya Chakula na Dawa ya Marekani (FDA) imeidhinisha dawa mpya iitwayo Lenacapavir ya kuzuia maambukizi ya Virusi vya UKIMWI, ambayo imeelezwa kupunguza hatari ya maambukizi kwa asilimia 99.9. Dawa hiyo inayotolewa kwa sindano mara mbili kwa mwaka, itazinduliwa karibuni nchini humo na...
  9. M

    Huduma ya chanjo kwa mifugo yako

    Habari wafugaji natumaini wote ni wazima wa afya napenda kutoa somo zuri sana kuhusiana na utoaji wa chanjo kwa magonjwa hatari kwa mifugo yako. Kuna aina nyingi za chanjo ambazo tunawapatia mifugo yetu kuepuka hatari ya mlipuko kwenye shamba la mifugo. Kuna aina nyingi za chanjo mfano...
  10. Brayan_Jk

    Kama Bado Unakisia Tarehe ya Chanjo, Unahatarisha Kuku Wako! Fuga App Hukumbusha kwa SMS Kabla Ya Siku Kufika!

    Kitu kimoja kidogo cha kuondoa kwenye kichwa chako. Kama umewahi kufuga kuku unajua jinsi ilivyo rahisi kusahau chanjo inayofuata ni lini… na chanjo gani hasa. Maisha yamekuwa ya haraka sana, na wafugaji wana mambo mengi ya kushughulikia kila siku. Kusahau chanjo ni jambo la kawaida lakini lina...
  11. Roving Journalist

    Watu wanne wapoteza maisha katika ajali, Polisi Wasema walikuwa wanatoka kwenye zoezi la chanjo ya mifugo na utambuzi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu linapenda kutoa taarifa kwa umma kuwa mnamo tarehe 16.06.2025 majira ya saa 21.05hrs huko katika Kijiji cha Mwamishari, Kata ya Mwamishari, Tarafa ya Kimali, Wilaya ya Meatu, Mkoa wa Simiyu ilitokea ajali ambayo ilihusisha gari aina ya Scania ambalo lilikuwa...
  12. Ojuolegbha

    Chanjo ya mifugo kitaifa ni Mei

    CHANJO YA MIFUGO KITAIFA NI MWEZI MEI Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Kati ya Mwezi Mei na Juni 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP) zimenunuliwa na zinatarajia kuchanja jumla ya ngombe 19,099,100. Aidha Jumla ya...
  13. J

    PreGE2025 Shangwe la Wafugaji: Chanjo Milioni 77 na Hereni Milioni 37 kutolewa bure na Serikali, Wafugaji wadai hawana deni tena na Mama Samia

    == Bila kujali mfugaji unamifugo mingapi Mama Samia atakupa chanjo na hereni kwa mifugo yako yote bure kabisa. Serikali inatarajia kuzindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa kati ya mwezi Mei hadi Juni, 2025 ambapo jumla ya dozi 19,099,100 za chanjo ya Homa ya Mapafu ya Ngombe (CBPP)...
  14. Gotze Giyani

    Kabla ya kusafiri kwenda ughaibuni ni lazima uchome chanjo ya homa ya ini na yellow fever?

    Wadau poleni sana na majukumu naomba kuuliza hivi kwa mnaojua na wenye exposure za kusafiri mara kwa mara kwenda nchi za wenzetu kama Kenya ,Rwanda,Dubai, UK, France nk Nimeulizia nikasikia sio yellow fever vaccine tuu wanakagua hadi Hepatitis b nayo kwa miaka hii ni muhimu haswa ukiwa umetokea...
  15. jooohs

    Msaada wa haraka kuhusu chanjo ya manjano(yellow fever )

    Nimepata dharura nataka niende uganda kwa haraka tatizo sina kadi ya manjano. Kesho ijumaa nataka niende mnazi mmoja nikachome ila safari ni ghafla sana natakiwa niondoke jumatatu ila tatizo nasikia tetesi kwamba ninatakiwa kukaa siku kumi baada ya chanjo ndio nisafiri jee inawezekana kuondoka...
  16. Titicomb

    Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  17. A

    KERO Muhimbili (Upanga & Mloganzila) inakuwaje mnakosa chanjo ya Tetanus kwa zaidi ya mwaka sasa!?

    Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa. Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8 iliyopita baada ya mwanangu kung'atwa na mbwa, wakamchoma tu chanjo ya kichaa cha mbwa, chanjo ya...
  18. chiembe

    Wakenya wasema chanjo ambayo Rutto anataka kuwapa ngombe, itawafanya wasinyambe

    Wataalamu, hili limekaaje?. Kupatwa kwa Rutto
  19. D

    Kuna utafti naufanya kati ya waliochomwa chanjo ya covid katika suala zima la uaminifu katika ndoa na hasira nitareta mrejesho

    Kuna utafti naufanya kuhusu tabia za binadamu na mabadiliko ya hisia! Nafanya utafti wa tabia kabla ya kuchoma sindano ya covid na baada ya kuchoma sindano! Naangalia uaminifu katika Angel ya uaminifu katika ndoa ukoje baada ya kuchoma covid, umepungua au umeongezeka, Tabia za kihisia (Moody)...
  20. Meddy MD

    Course inayohusiana na mambo ya chanjo Vaccination hata Tanzania

    Course gani inahusika na mambo ya chanjo ( vaccine) ? , but nina diploma ya nursing nahitaji kusoma level ya bachelor ila nimeajiliwa halmashauri nahitaji kujiendeleza. Kama utakuwa na uelewa naomba ushirikiano wako.
Back
Top Bottom