changamoto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. P

    Dondoo za biashara ya pilipili manga, masoko, bei na changamoto

    Wakuu habari za asubuhi, Ninaomba muongozo juu ya biashara ya pilipili manga. Bei, masoko na changamoto zake hasa kwa mikoa ya Dar na Tanga. Natanguliza shukrani za dhati.
  2. S

    Duka linapitia changamoto ya kukosa wateja. Mbinu ipi nitumie?

    Mwenza wangu nilimpa mtaji afungue biashara kwa kuwa anapenda sana urembo akaona afungue biashara ya duka la urembo, cosmetic na mavazi. Lakini anapitia changamoto ya kukosa wateja inaweza ipite siku mteja asiingie kabisa dukani. Siku akiuza basi ni bidhaa chache tu. Duka lipo Mikocheni lina...
  3. I

    Changamoto ya kazi katika mashirika ya kujitolea ya jamii

    Miaka kadhaa iliyopita nilipata kazi kwenye shirika moja la maendeleo ya jamii. Katika shirika ilo nilipelekwa kijijini sana uko mkoani Tabora ambapo niliyekua nalipwa mshahara ni mimi pekeangu huku wanachama wengine wa shirika wakifanya kazi ya kujitolea na kupokea tu posho ndogondogo. Asee...
  4. Msaada: Ninakutana na changamoto hii kwenye Ajira Portal!

    Habari wakuu, Changamoto ninayokutana nayo kwenye ajira portal ni baadhi ya kazi zinafeli kuapply kwasababu ya kigezo cha degree ya kwanza (BSc). Nina Masters ya Environmental Science na Bachelor ya Environmental Conservation. Kwa mfano wanahitaji assistant lecturer wa Environmental science...
  5. Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

    Habari za leo WanaJF, Rejea, kichwa cha uzi hapo juu. Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi. Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
  6. TANESCO yatangaza changamoto ya manunuzi ya umeme kupitia mfumo wa ununuzi wa LUKU

  7. M

    Changamoto kwa wanafunzi wa chuo cha DIT

    Chuo cha DIT inabidi wajitathimini kwa changamoto wanazokumbana nazo wanafunzi wao hususani katika mambo ya IT. System yao ya matokeo ya wanafuzi haipo stable kabisa, yaani unaweza ukakuta matokeo yanabadilika badilika , kwa kweli wajitathimini kwa hili .
  8. Baada ya Changamoto uwezo wangu wa akili umepungua

    Habari Wana Jamii Forum Nianze Kwa historia kidogo , Takribani miaka minne iliyopita nilikuwa napitia vipindi vigumu sana Kwa sababu nilimpoteza mwenzangu, malezi na majukumu kuniwia mengi Kutoka kwenye hali ya kutokujishughulisha kivile (kama mjuavyo wadada wamama wa Kiafrika ukiwa na...
  9. T

    Ukitaka kuuza gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana

    Kumiliki gari ya Ulaya/Marekani ni changamoto sana hasa sisi wenye vipato vya chini. Changamoto zake ukiachia matengenezo ambayo huwa sioni tatizo lake kubwa iko kwenye kuiuza. Mwaka jana ndugu yangu alinunua Ford Everest ya karibu milioni 90, kaitumia mwaka mmoja na miezi kadhaa juzi hapa...
  10. L

    BRICS bado iko imara licha ya changamoto ya COVID-19 na mgogoro wa Ukraine

    Caroline Nassoro Janga la COVID-19 limekuwa na athari kubwa kwa uchumi wa nchi mbalimbali duniani, kwani katika kudhibiti maambukizi, hatua kadhaa za lazima zilichukuliwa, ikiwemo kufunga shughuli za biashara na kijamii, jambo lilivuruga mwelekeo wa uchumi wa nchi mbalimbali na dunia kwa...
  11. Wanasema hakuna umri katika mapenzi lakini miaka ikipishana sana mtakutana na changamoto nyingi

    Rashid alizaliwa mkoani, baba yake ni mkulima wa mahindi na wana shamba la ekari 200. Mahindi yao wanauza Zambia. Hawako vibaya kiuchumi lakini baba yao aliwafundisha heshima ya pesa. Hata apate bei nzuri ya mazao, mzee hakuwa na matumizi ya ziada zaidi ya chakula kizuri nyumbani na nyumba...
  12. Changamoto ya upatikanaji wa nguo bora za ndani za kiume(boksa)

    Habari za mda wadau natumaini mko poa na mnazisubiri per diem za mama kwa shauku kubwa. Kwa kuzingatia kichwa tajwa hapo acha nijikite kuelezea kero ninayokumbana nayo.Binafsi mimi kwa maisha yangu yote ya ukubwani (kuanzia baleghe)nimekua ni mtu ninayevaa boksa moja kwa siku, hivo...
  13. Tujadili Changamoto za Matuta Barabarani na Namna ya Kufanya Maboresho

    Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...
  14. L

    Ushirikiano kati ya China na Afrika unawasaidia watu wa Afrika kukabiliana na changamoto zao za kimaisha

    Fadhili Mpunji Ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kwenye sekta ya ujenzi wa miundo mbinu unaendelea kuleta manufaa kwa nchi mbalimbali, na katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ushahidi na mifano mingine inaoonesha kuwa, ushirikiano huo sio tu umekuwa ni wa kunufaishana, bali pia...
  15. D

    Changamoto katika utumiaji wa mfumo wa TANePS

    TANEPS ni mfumo ambao Serikali na mashirika mengine ya Umma wanautumia Kutangaza Tender Mbalimbali kwa kutumia mfumo wa manunuzi wa serikali NA Sheria ya manunuzi ya serikali kwenye huduma mbalimbali Mfumo huu Mara nyingi wanapotangaza tender wanatuma Email kwa wale wote ambao wamesajiliwa...
  16. Changamoto ya kununua magari ya mkononi

    Siku hizi magari yamekuwa bidhaa iliyozagaa kama Madera pale Kariakoo. Kuna gari yard.. Kuna za minada.. Kuna za mikononi.. Gari za mikononi ni pendwa kutokana na bei yake kupoa kidogo.. Ingawa udalali ni mwingi.. Maneno kama AC unaganda.. Gari ya kufugwa.. Gari ya Mhindi..Namba D hiyo...
  17. Changamoto ya vumbi nyeupe nyumbani

    Habari Wadau! Kuna changamoto nimeiona hapa nyumbani kwangu nisipotumia vitu kwa muda mrefu especially viatu vinakuwa na vumbi fulani jeupe, hata nguo zisizovaliwa kwa muda mrefu zinakuwa na harufu fulani ya vumbi. Hii inaweza kuwa inasababishwa na nini Wadau?
  18. Changamoto za biashara ya nyumba ya wageni

    Hii biashara ina faida sana, ukiwa na vyumba 10 kwa 20,000 chumba kimoja na vyote vikapata wateja, una uhakika wa 200,000 kwa siku. Nyumba hizi hustiri wengi wenye uwezo wa kati na wa chini. Wale wasio kudumu hoteli kuanzia 100,000 kwa siku. Changamoto moja kubwa ni ustaarabu, watu wengi...
  19. Dondosha hapa changamoto yako ya mapenzi ya ujanani tusaidiane kuitatua

    Nikiwa kijana w miaka 2e nilipata kazi nzuri sana kwenye taasisi moja ya fedha ya mtu binafsi. Mkurugenzi wa taasisi hiyo nilikutana naye kanisani. Hali yangu ya maisha Ilikuwa ngumu sana, sikuwa na Pesa, elimu ya kutosha wala sikuwa na biashara yoyote. Kanisani sikuwa nadhicu, mavazi yangu...
  20. Ufugaji wa Nzi kibiashara: Mbinu, changamoto na masoko yake

    Acheni hizo vijana ningekuwa live ningeweka chitchat? Si kunajukwaaa la uvuvi kule
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…