chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Zamani mtu akiwa na mahusiano na CCM aliitwa Mamluki na Chama chake kiilitwa ‘CCM B’. Wapinzani walikataza mahusiano na CCM

    Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ambaye ni Mwenyekiti wa CUF yeye tayari ameonyesha wazi kumuunga mkono mama, juzi kati lipokuwa akihojiwa na waandishi wa habari alikwenda mbali sana kwa kuonyesha yupo tayari kumfanyia mama kampeni 2025. Prof. huyo ambaye ndiye muasisi na muanzilishi wa vuguvugu la...
  2. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Walimu Tanzania wilaya ya Rombo auawa kikatili

    Inasikitisha sana mauaji kama haya kufanyika kwa mwalimu anayefundisha taifa la kesho. --- Picha: Mwalimu Turo Hiza enzi za uhai wake Mwenyekiti wa Chama cha Walimu (CWT) Wilaya ya Rombo na Mwalimu Mkuu wa shule ya Msingi Boma iliyopo Tarafa ya Mkuu Wilayani humo, Turo Hiza amekutwa ameuawa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Demokrasia gani inayopiganiwa na vyama vya Upinzani? Sioni Chama cha kukipa Nchi

    CCM ni Chama ambacho kina misingi na utaratibu wa namna kinavyojiendesha ndio maana utaona viongozi wanaachiana madaraka kwa taratibu hizo. Utasikia mtu kapita kwa asilimia 100, bila kupingwa etc.. ni taaratibu zao na Wanachama wao wanazipenda. Huku kwetu upinzani Mtu akishaanzisha Chama au...
  4. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa taratibu za kuanzisha chama cha siasa?

    1. Je, kuna hatua ngapi katika kusajili chama? Ndio, kuna hatua mbili. Usajili wa muda na usajili wa kudumu. 2. Je, ni nini kinahitajika ili kupata usajili wa muda? • Wanzilishi wawili watawasilisha maombi ya usajili wa muda kwa kujaza fomu maalumu wakiambatanisha na katiba na kanuni za...
  5. JamiiForums Tanzania Sio Marekani nzima inaunga mkono mambo ya kishetani bali ni chama cha Democtrats alichomo Biden na Obama

    Marekani kuna vyama vikuu viwili .. 1. Democrasts - Biden, Obama, Clnton, n.k 2. Republicans - Trump, Bush, Kennedy, n.k Democrats kimekuwa chama chenye maovu mengi mno ila kwavile wao ndio wamiliki wa media nyingi kama facebook, twitter, cnn, n.k, wanajisafisha sana kwa media na hata huku...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Chadema chama kubwa. Mpk maafisa wa ikulu wana-"mix" wakimuona Mbowe.

  7. JamiiForums Tanzania Navutiwa kujiunga CHADEMA. Nahitaji kujua MSIMAMO wa CHAMA kuhusu Masuala muhimu yafuatayo.

    1- Je, CHADEMA Ina amini katika FALSAFA za Mwalimu Nyerere ? 2- Ni upi msimamo was CHADEMA kuhusu Mahakama ya KADHI? 3- Ni upi msimamo wa CHADEMA kuhusu HALI YA MUUNGANO? - Wanaunga mkono serikali TATU, MBILI, MOJA, MKATABA au KUVUNJA Muungano? 4- Je, CHADEMA Wana amini kipi kuhusu SOKO...
  8. JamiiForums Tanzania NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

    Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza. ======= Halmashauri Kuu ya Chama cha NCCR-Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wa Chama hicho, James Mbatia na...
  9. JamiiForums Tanzania Kiundwe chama kipya kuwakomboa watanzania kiuchumi na kisiasa. Vilivyopo havina nia thabiti. CCM na wapinzani wanacollude kuwahadaa Watanzania

    Haiwezekani hali ilivyongumu alafu watu wanachukulia mzaa maisha ya watanzania. Taifa lina rasilimali lukuki lakini umaskini umetamalaki kila kona ya Tanzania. Watu wanaishi maisha ya kubangaiza kula kwa tabu, kuvaa kwa tabu hata kulala kwa tabu. Leo hii ni siasa za unafiki zinaendelea tu na...
  10. JamiiForums Tanzania CCM wilaya ya Hai yaibua zoezi la kuwatambua simu na Majina ya wagombea Nafasi za chama kuanzia Mashina hadi kata kabla ya uchaguzi mkuu wa chama

    Chama cha mapinduzi ngazi ya wilaya , wilaya ya Hai huko Kilimanjaro kimeanza zoezi la hila la kuwatambua viongozi watakao chaguliwa kuanzia ngapi ya Shina hadi ngazi ya kata Mia ikiwa kuvuruga uchaguzi mkuu wa chama hicho. Zoezi hilo linaonyesha linaratibiwa na mbunge wa Jimbo kwa...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa kwa Chama Cha walimu Tanzania (CWT) kupunguza Makato kutoka 2% Hadi 0.5% ili kumuunga mkono mama

    Tayari lile jambo letu limekuwa 23.3% Kama tujuavyo mshahara unavyopanda na Makato, Kodi, bima, n.k nayo yanapanda. Kwakuwa CWT inajiweza na Ina wanachama wengi (pengine kuliko Chama chochote Cha wafanyakazi) hapa nchini, Basi nao wapunguze asilimia 1.5 Ibaki 0.5% Ili kusudi nyongeza hii...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Mnyika: Niliongea nao wakasema wako tayari kushirikiana na chama, lakini tuwaachie Ubunge

    Mnyika anasema “Baada ya kutokea yaliyotokea nilikutana na Bulaya na wenzake ili dhamira yangu iniongoze, sawa wamekosea, lakini je, wapo tayari kutubu na kurudi?” Anasema, “Nilichokigundua baada ya kufanya mazungumzo nao, mdomoni wanasema wanakipenda Chadema na wapo tayari kurudi na kushiriki...
  13. JamiiForums Tanzania Ni Ubatili Mtupu Mpaka Basi!. CC ya CHADEMA ilipata wapi mamlaka?. Baraza Kuu halina mamlaka hiyo!. Je, inawezekana CHADEMA ni chama majanga ila?

    Wanabodi, Kwanza sio kila kitu ni siasa, vitu vingine ni hoja za kikatiba, Sheria, taratibu na kanuni. Ukileta hoja specific, hakuna ubaya kujifagilia ubobezi wako katika eneo husika. Mimi Paskali Mayalla, japo ni mwandishi tuu wa habari wa kujitegemea kwa kujitolea, ila pia nilisomea sheria...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA hamna weledi Mdee na Bulaya hata wakianzisha chama chao wanapita ubunge

    CHADEMA mnadanganywa Sana. Na hakika mnadanganywa. Mnawaachaje wabunge makini kama Bulaya na Mdee. Hivi ni mtanzania gani asiyeiona kazi wanayofanya hawa wabunge tangu wamekua wabunge. Poleni, life is hard, byee.
  15. JamiiForums Tanzania Asante sana Chadema kwa maamuzi yenu ya leo, nafarijika kuwa bado kipo chama makini chenye msingi imara, hakiyumbi wala hakiyumbishwi!

    Mimi pia si Chadema ila namshukuru Jenerali Ulimwengu kwa kusema niliyotaka kuyasema, ni wakati muafaka sasa madaraka yawe mikononi mwa wananchi wenyewe pale pale walipo Kitaifa, Kimkoa, Kiwilaya, Kitarafa na Kimtaa! Jukumu hilo linaweza kusimamiwa tu na chama imara ambacho kaulimbiu yake ni...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA pelekeni taarifa kwa Spika mubashara, mmeilinda vyema heshima ya chama chenu

    Mimi si mwanachama wa CHADEMA. Ni mwanachama wa CCM tangu miaka ya 80 nilipohitimu Chuo Kikuu. Tangu kumaliza utumishi wangu ndani ya Serikali na chama, nimebakia kuwa mwanachama mtiifu wa chama changu-nikishirikishwa mipango mbalimbali ya kichama na kiserikali katika kushauri na kuitekeleza...
  17. JamiiForums Tanzania Sijapendezwa Mkutano Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo kugeuka ni rege music club, Mmeshavuka level hizi

    Nimeshangaa sana Chama ambacho ndo ventilation yetu kwenye nchi tunaanza kuonekana Kama ka kundi fulani ambako hakana dira! Weka kichwani waza nchi ilojaa nyimbo za kizalendo nyingi, wao pia wenyewe wana nyimbo zao za uzalendo Lakin Mkutano mkuu wanaruka rege nankukanyaganaa Ni ama kuna Uhuni...
  18. JamiiForums Tanzania Taarifa rasmi ni kuwa Clatous Chama ataendelea kukosa michezo ya Simba

    Baada ya tetesi nyingi ikiwemo kuelezwa amekosana na kocha wake, taarifa nyingine za ndani zinaeleza kuwa kiungo fundi wa Simba, Clatous Chama hataonekana kwenye mechi wala mazoezini kwa mwezi mmoja kutokana na kuwa majeruhi. Chama ambaye alikuwa akilipwa mshahara wa Tsh. Milioni 50 kwa mwezi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ataupiga mwingi 2025 na kuwapiga chenga ya mwili wapinzani wake ndani na nje ya chama!

    Ataupiga mwingi sana!! Atamkaribisha kwa hiari yake yule wa Zanzibar (mtoto wa mzee Mwinyi) aje agombee kwa tiketi ya CCM, halafu yeye ataenda kugombea Zanzibar!! Atapokelewa Zanzibar kama shujaa!! Anayowatendea ni mema kuliko maelezo! Anawaingizia mabilioni kama "mgao wao"!! Huku pia mtoto...
  20. JamiiForums Tanzania Chama na Morrison wana mgogoro na Pablo....?!

    Chama nimemuona hapa maeneo ya Bridge Ndola anaendesha gari na kweli hata kwenye kikosi hayumo! Morrison naye pia hayupo?! Pablo anaihujumu Simba?! Nb; Simba ya makaratasi uwanjani leo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…