chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu cha kututetea

    Natamani sana mabibi na mabwana shamba tuanzishe chama chetu. Ukiangalia wafanyakazi wenzetu kwenye wizara zingine wana vyama vyao vyenye nguvu kuwatetea katika mambo mbalimbali ya maslahi yao! Sisi tumelala Sana hatuna hata wa kutusemea na badala yake tumegawanyika wengine wanajiona Bora...
  2. JamiiForums Tanzania Ambao hawakumtaka kwenye chama chake huenda walimjua vizuri kuliko sisi

    Kuna tetesi nyingi baada ya msiba wa baba, baba wadogo na marafiki wa baba waliweka vikao vya siri. Wakipinga katakata mama asiwe msimamizi wa mirathi. Wakisisitiza uwezo wake ni mdogo kuongoza nyumba kubwa yenye watoto watukutu. Ila wajomba wakongwe walimkingia kifua. Wakiamini kuwa baba...
  3. JamiiForums Tanzania Natafuta Watu 'Serious' niwape 'Strategies' na waunde Chama 'Strong' cha Upinzani Tanzania kwani vilivyopo sasa viko ICU vinasubiri Kufa na Kuzikwa tu

    Kwa Wanasiasa mlio na utayari jikusanyeni na mkikamilika mnitaarifu haraka ili tuanze Kazi na nitakuwa nawaelekezeni kutokea hapa hapa JamiiForums tu na sitohitaji Kuonana nanyi. Nakipenda sana Chama Cha CCM na Rais Samia ila GENTAMYCINE napenda kuona CCM na Rais Samia 'wakihenyeshwa' 24/7 na...
  4. M

    JamiiForums Tanzania KWELI Seif Maalim Seif ndiye mwanzilishi wa Umoja Party (UP)

    Chama cha siasa kilijulikano kama Umoja Party (UP) kimeomba usajili wa muda. Chama hicho tayari kimewasilisha maombi ya usajili wa muda ili kuanza kutafuta wadhamini kwa lengo la kupata usajili wa kudumu. Maswali yalikuwa mengi kuhusu nani hasa mwanzilishi wa chama hicho.
  5. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Wavuvi nchini asema kuporomoka kwa bei ya Samaki kutasabisha uvuvi haramu

    Mwenyekiti wa Chama Cha Wavuvi Nchini, Bakari Kadabi amesema Kuporomoka bei ya samaki kutapelekea kufilisi mitaji yao na kuchochea uvuvi haramu kwasababu italazimika wavuvi wahakikishe wanapata samaki wengi ili wapate kipato kikubwa Aidha, ameiomba Serikali kuingilia kati mabadiliko ya bei za...
  6. JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ngorongoro?

    Kabla hatujaanza kuchagua upande wa kusemea kuna maswali ya kujiuliza kuhusiana na suala zima la Ngorongoro, Kuna maeneo mengi sana nchini Tanzania watu wanahamishwa kupisha shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Baadhi ya sehemu hizo wapo wnaaolipwa fidia na wapo ambao hawaambulii chochote. Katika...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa haya wanayotufanyia CCM kuna uwezekano mkubwa wa kuwag'oa 2025 lakini sio kwa chama chetu CHADEMA au ACT Wazalendo

    Wananchi hawana mbadala wa kuipachikia CCM ila ukweli ni kuwa hawaitaki tena. Sio wazee wala vijana. Tozo, ufisadi upendeleo umekithiri ndani ya CCM huku raia wakiwa hoi kimaisha. ACT Wazalendo ni mamluki waganga njaa. Hawapo kwaa ajili ya kumsaidia mwananchi aondokane na utawala usiofaa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Hili lilisemwa pale Tunduma: Eti msipowachagua wagombea wa chama changu sintoleta maji

    Hii ilikua 2020 wakati wa kampeni za urais wabunge na madiwani pale Tunduma. Ilikua hivi, wakati ngambo tu pale, hatua chache toka alipokua anafanyia kampeni pale kwenye mji wa nakonde pana maji safi ya baridi ya kunywa wazambia wanafurahia matunda ya kodi Yao. Na wakati mwingi watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Chama aomba kuondoka Simba SC

    Clatous Chota Chama kiungo fundi wa Kimataifa wa Simba kutoka Zambia ameomba kuondoka kikosini Simba msimu huu unaoisha. Pande zote mbili zipo zikijadiliana kuhusu sakata hilo. Tetesi zinadai Chama anataka kwenda South Africa kama ilivyo kwa Rally Bwalya. My take: Kama ni kweli naona kabisa...
  11. JamiiForums Tanzania Natamani kuhama CCM, kipi chama makini kati ya ACT Wazalendo na CHADEMA?

    Hawa Act Wazalendo wana harufu ya udini. Halafu kama vile hakuna Demokrasia zaidi ya ujuaji wa kiongozi wao wa Chama nasita kuhamia. CHADEMA walikuwa vizuri enzi za Dkt. Slaa na niliwakubali sana. Sasa hivi wanatia mashaka kuhamia. CUF. Nihamie chama gani? Naombeni msaada wenu.
  12. JamiiForums Tanzania Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua mwenyekiti wake kitaifa, Bola Tinubu kugombea Urais wa nchi hiyo

    Chama tawala nchini Nigeria kimemchagua kiongozi wake wa kitaifa Bola Tinubu kuwa mgombea wake wa urais kwa uchaguzi ujao wa 2023 ambapo atashindana na kiongozi wa upinzani Atiku Abubakar kumrithi Rais Muhammadu Buhari katika Uchaguzi Mkuu wa Februari 2023 Katika kura za mchujo Tinubu (70)...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Maelekezo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) yaendelea kufanyiwa kazi

    MAELEKEZO YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) YAENDELEA KUFANYIWA KAZI Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Newala Mkoani Mtwara imekamata mifuko ya Salfa ya unga 1230 inayodaiwa kwisha Kwa muda wake wa matumizi ilibaini Salfa hiyo chapa makonde bechi ya III kuuzwa Kwa wananchi. Kwa mujibu wa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nimemsikiliza Naibu Katibu wa chama cha soka Burundi, nimeumia sana kuhusu Tanzania yangu

    Nimemsikiliza sana naibu katibu wa chama cha soka cha Burundi kuhusu mipango yao ya maendeleo, nikajaribu kuwaza kuhusu mwelekeo wa taifa letu kimichezo, nikaona bado tuna safari ndefu sana kufikia matamanio yetu kimichezo. Alipoulizwa na mtangazaji wa chombo kimoja cha habari hapa nchini...
  15. JamiiForums Tanzania Mbowe: Vijana wa chama changu wana mihemko, Hivi mnajua maana ya kuingia barabarani?

    Kamanda Mbowe amekuwa na hulka tofauti sana tangu aanze safari za ikulu. Anawapa makavu vijana wanaojifanya wana uchungu na chama chake. Je, nini kimembadilisha? Ni muda ndio utasema.
  16. JamiiForums Tanzania Dodoma: Rais Samia Afungua Mkutano wa Tisa wa Chama cha Makatibu Mahsusi (TAPSEA). Ahimiza Utunzaji Siri za Serikali, Maslahi na Fursa Kuzingatiwa

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Makatibu Mahsusi Jijini Dodoma. ENG. ZENA AHMED SAID, KATIBU MKUU KIONGOZI – ZANZIBAR Tunatambua umuhimu wa Makatibu Mahsusi, kwakweli wanafanya kazi za viongozi wao kuwa rahisi kwa jinsi wanavyowasaidia kazi. Sasa, ili waweze kufanya...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ni sababu gani zilipelekea chama cha TANU kubadili jina mwaka 1977?

    kwa wanaoelewa sababu zilizopelekea chama cha TANU kugeuzwa kuwa Chama Cha Mapinduzi anijuze tafadhari maana mimi kama mimi sioni haja ya TANU kuwa chama cha mapinduzi.
  18. JamiiForums Tanzania Mfano CHADEMA imeshinda na kimekuwa chama tawala hapa nchini, unadhani nini kitabadilika?

    Huwa nawashangaa sana baadhi ya watanzania kutanuka mishipa ya shingo kwa kutaka CCM ipigwe chini na kikae chama kingine madarakani. Ni upuuzi, ujinga na ukosefu wa akili. Watu ni walewale, nchi ni hiihii kama ulikuwa hujui! Acha kupoteza muda na kushabikia ulaji wa wenzako. Hao wote ni kitu...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA, kabla ya kudai Katiba Mpya fanyeni mabadiliko kwenye chama chenu

    Wanaukumbi. CHADEMA mnatuambia tudai Katiba Mpya ili kuondoa mfumo wa chama dola (CCM) madarakani. Hoja zenu ni kwamba CCM imeng’ang’ania Uongozi tangu 1961. Vipi CHADEMA? kuna mabadiliko gani ya Uongozi tangu 1993? Ni sahihi Edwin Mtei kumpa chama mkwewe aongoze kama familia?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Usajili wa chama cha siasa cha National Economical Reformation Socialist Party -NERP

    Kama kichwa cha habari hapo juu, tuko mbioni kusajili chama cha siasa kitakachosimia rasilimali za taifa kuwanufaisha wananchi wote wa Taifa hili.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…