chama

The Rio Chama, a major tributary river of the Rio Grande, is located in the U.S. states of Colorado and New Mexico. The river is about 130 miles (210 km) long altogether. From its source to El Vado Dam its length is about 50 miles (80 km), from El Vado Dam to Abiquiu Dam is about 51 miles (82 km), and from Abiquiu Dam to its confluence with the Rio Grande is about 34 miles (55 km).
The name "Chama" is a shortened version of the Tewa term tsąmą' ǫŋwįkeyi, meaning "wrestling pueblo-ruin".

View More On Wikipedia.org
  1. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mwaka 2025 Rais Samia atapata wapinzani ndani ya chama?

    Ni swali tu na mara nyingi ikifikia Muda huo wanasiasa hucharuka. Hapo awali ilikuwa hivi Ili mgombea ndani ya chama auzike kwa wananchi anakuwa yule mwanasiasa aliyendani ya serikali na akafanyakazi na wananchi wakamkibali. Kwa mfano. Wkt flan kikwete alipendwa sana japo serikali alipewa...
  2. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wa mpira wa miguu anzisheni chama cha kutetea haki zenu

    Moja ya mambo ambayo yamekwamisha sana maendeleo ya sekta nyingi nchini ni kuvurugwa au kutokuwepo kabisa kwa vyama vya wafanyakazi. Hii imesababisha kutokuwepo kwa mikataba inayozingatia haki za wafanyakazi husika. Upande wa waajiri umekuwa na nguvu ya kuamua malipo na mustakabali mzima wa...
  3. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Huyu chawa anapenda kukinanga sana Chama chetu. Anaishi kwa uchawa usio na mashiko

    Ona sasa 👇
  4. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Bishoo wenu nje

    Naamini kuanzia leo tutasikia kelele za FAIR PLAY baada ya kuchezewa rafu ya kawaida mcheza rafu Maarufu INONGA. Nawakumbusha tu Watu wenu wanapenda mpira wa kimama mama. Tukiwaambia hamna fitness couch mnaona tunapiga kelele. Sasa tunaenda kuelewana,Huyo mwamba wenu nae ni suala la muda tu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mwenyekiti wa UVCCM Taifa. Jikite katika kukitangaza chama na kumtangaza mwenyekiti

    Habari, Heri ya sikukuu ya Noeli kwa wakristo wote. Leo ni siku nyingine tumesheherekea kuzaliwa kwa mwokozi wa ulimwengu kwa hiyo ,pamoja na wakristo wengine tunamshukuru Mwenyezi Mungu kuwa pamoja nasi na kwa zawadi hii kubwa. Kabla sijaenda kwenye mada husika ningependa kuuliza maswali haya...
  6. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya iongeze Mamlaka ya Kamati Kuu ya Chama

    Ili kudhibiti wanaotaka kupingana na maamuzi ya Chama kilichokupa dhamana ya uongozi. Katiba mpya iseme wazi kuwa KAMATI KUU ndio kiwe chombo cha juu kabisa cha kudhibiti wakaidi
  7. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Vijana jeuri ya Chama!

    Vijana wenzangu msione aibu kukitetea Chama popote. 1. Kataeni Uraia Pacha "Dual Citizenship" maana watakuja wajuaji kuwastua WAZALENDO wengi. Mfano, eti Mkenya sijui Mpakistani nae awe raia si majanga? Maandamano kila kukicha. 2. Pingeni Katiba mpya maana haina maslahi kwetu. 3. Nunueni...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania ANC wagawanyika baada ya kibuka wanaomuunga mkono na wanaompinga Ramaphosa

    Chama tawala nchini Afrika Kusini cha African National Congress kimewateua wajumbe wawili kugombea nafasi ya uongozi wa chama hicho. Mshindi wa kinyangànyiro hicho atagombea urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2024. Wajumbe hao ni mwenyekiti wa sasa Cyril Ramaphosa ambaye pia ni rais wa Afrika...
  9. Msanii

    JamiiForums Tanzania Nini tija ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kwa Walimu?

    Amani iwe kwenu, Katika tafakuri yangu weekend hii nimejiuliza maswali kadhaa kuhusu faida wanayoipata waalimu kupitia chama chao cha waalimu kitaifa. Kuna mambo kadhaa yanayotafakarisha nikaona vyema nije kwenu wanaJF tusaidiane kupata majibu. Tukianza na usajili wa chama cha waalimu, je ni...
  10. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Maendeleo yana Chama

    Bila Chama hakuna maendeleo. Kupitia Chama ndipo inatengenezwa ilani ya kunadi maendeleo katika kipindi husika (hapa nchini kila baada ya miaka mitano). Sisi CCM tunaamini ili tuendelee tunahitaji vitu vitatu; 1. Watu, 2. Ardhi, 3. Siasa Safi NB: Ni vema kila mwananchi akasome ilani ya Chama...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Ujenzi CHADEMA: Jengo la chama Iringa, tunaomba michango yenu

    Yaani mjenge ofisi Iringa huku bado mmepanga Ufipa .👇
  12. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Kati ya CHADEMA na CCM kipi ni chama imara?

    Kwa kuangalia malumbano yanayoendelea kwa muda mrefu sana humu JF, kuhusu uimara wa hivi vyama viwili, CHADEMA na CCM, nimeona ni bora tukawa na kura ya maoni kuangalia kwa maoni ya watu wa JF kipi ni chama Imara kwa kufuata mambo yafuatayo. 1. Usahihi wa maamuzi ya vikao vya chama. 2. Uwezo wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  14. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Zama hizi hutakiwi kuwa 'mshabiki' wa chama cha siasa kushabikia wanasiasa

    Kama huna maslahi ya moja kwa moja, kama kupata uongozi au posho za uchawa acha mara moja ushabiki wa siasa na kushabikia wanasiasa zama hizi. Ushabiki wa siasa itakufanya usione mabaya ya chama chako wala mazuri ya chama kingine. Masuala ya siasa ni muhimu kuliko mpira, usiyaletee ushabiki...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Historia imeandikwa Rais Samia Mwenyekiti wa Kwanza mwanamke ndani ya Chama cha Mapinduzi

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano anaweka rekodi ya kipekee katika historia ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa wajumbe wa Mkutano mkuu wa 10 kumchagua kuwa Mwenyekiti wa kwanza mwanamke wa chama hicho tawala. Tangu Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiasisiwe mwaka 1977, hakijawahi kuongozwa na...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Mgeni mwalikwa Mkutano Mkuu wa CCM kuita CCM 'Chama cha Mambuzi' ni kwa bahati mbaya au kweli?

    Nilicheka hadi nikafufuka upya wakati mjumbe wa Ethiopia alipokiita CCM chama cha mambuzi. hebu msikilize na wewe
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa

    Chama ni mchezaji konokono hana speed kabisa. Hawezi mfikia Kisinda au Aziz Ki kwa mbio. Hawezi kabisa. Mchezaji konokono wa nini sasa? Anatembea tu Uwanjani. TK Master anachomoka kinyama anakimbia kama risasi. Ndo mchezaji bora. Hata Aziz Ki naye ana mbio na nguvu si kama Chama. Konokono na...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuwa Shaka ni mpwa wa Rais Samia? Na kama ni kweli CCM mmebariki nepotism hii ndani ya chama?

    Niko Zanzibar kutafuta namna ya kuufanya mkono uende kinywani. Katika stori mbili tatu mwenyeji wangu kagusia kuwa Shaka ni mpwa wa rais Samia. Nimestushwa sana na hiyo kitu ambayo mwenyeji wangu ananiambia kuwa kwa hapa Zanzibar inajulikwna na kila mtu. Hebu ndugu wadau nijuzeni. Habari hii...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vimekubali maendeleo hayana chama

    Wafuasi wa vyama vikuu vya upinzani nchini CHADEMA na ACT Wazalendo Mkoani Lindi wameungana na wenzao wa CCM pamoja na wananchi katika mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea ziara katika mikoa ya Lindi na Mtwara. Wafuasi hawa wanajua ya...
  20. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hata kikishika dola bado CHADEMA kitaendelea kuwa chama cha upinzani

    Je, CHADEMA ni CCM B? Hili ni swali nimejiuliza kwa siku kadhaa baada ya kutokea tukio la udhalilishaji huko Mara. Tukio lenyewe ni kada wa CHADEMA aitwaye Chacha Heche kumshurutisha kwa maneno ya hovyo mzee mmoja aliyekuwa akifanya kibarua kwa ndugu Chacha kwamba avue shati la CCM. Lilikuwa...
Back
Top Bottom