Unahitaji mpishi mzuri wa chakula kwenye shughuli yako. Usiache kupita kwenye huu uzi

Zikwe

JF-Expert Member
Mar 13, 2013
239
131
Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana.

TUPIGIE SASA 0657 33 2814

Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private Event/Party n. k.

Tunapika vyakula Vyote kama vile Pilau, Biriani, Mandi, Wali Mweupe/mauwa, ndizi, Kuku choma, Mbuzi, Ndizi roast, bites na vyakula vingine vingi.

Pia Tunapokea Oda ya Kupika Mashuleni, Vyuoni, Maofisini, Clubs, Hotelini, Kwenye Mgahawa n.k

MUHIMU:
Kwa ajili Ya Uaminifu Zaidi Kazi Yote Ya Upishi Tunakuja Kufanyia Kwako(Mahali Ulipo). Pia Mteja Ana uhuru wa kusema Lolote Kabla ya Kazi na Baada ya kazi hii Ni kwa Kukuhakikishia tunakupa Huduma iliyobora na Kupata chakula Kizuri, Safi na Chenye Ladha.

BUFFET MENU IPO
Vitu vyote kwa Ajili Ya Ukumbini Vipo. (keki, Mapambo, MC, MUSIC)

Kwa Mawasiliano:
Whatsapp/phone ; 0657 33 2814
Instagram ; @mpishionline
Facebook; Mpishi wa Mashuhurini
Email; mpishimashuhurini@gmail.com

KARIBUNI SANA. KWA HUDUMA BORA YA CHAKULA KWENYE SHUGHULI YAKO.

Chakula.jpg
IMG_20220430_124425_346.jpg
SAMAKI .jpg
Ndizi.jpg
InShot_20220827_122102540.jpg
hdhdjd.jpg
hshdhd.jpg
hdhf.jpg
 
Menu options zimetullia na bei zake zinalingana na menu. Safi sana. nimependa option ya 15,000 kwa plate.

Nikiwa na ki-function changu nitakutafuta.

Na pia nitashare contacts zako katika network yangu.

Unapatikana Dar sehemu gani?
 
Asante Sana. Napatikana Magomeni
 
Swali kuna ile tabia ya wapishi wengi kuiba/kuondoka na vyakula kwenye sherehe za watu bila ridhaa ya mwenye sherehe,je kwa upande wako unazungumziaje hii tabia mbaya??
Swali Nzuri Sana.
Nikili Na Nakubali kwamba Kweli kuna Baadhi Wapishi Huondoka Na vyakula Kwenye Shughuli ya Mtu Na binafsi Sipendezwi na Hili Swala kwani Linachafua Sekta nzima Ya Upishi Wa vyakula Shughulini.
Na Ukija kwa upande Wangu Moja Ya Kitu ninachozingatia Ni Uaminifu Na Weledi Kwenye Kazi yangu Ili Tuweze Kufanya Kazi nyingi zaidi na mteja, Hivyo Kubwa ninalopambana nalo ni kuona ni kwa namna gani nalekebisha Makosa yanayofanywa na baadhi ya Wapishi Wengine, Na ndio Mana napenda Asilimia 100% ya kazi nifanye Mahali mteja alipo kama atalidhia au kama nafasi italuusu hii ni kwa uaminifu Zaidi. Nafikiri Nimekujibu Swali Lako Na kuwa Huru Kutoa maoni yako pia. Asante🙏
 
Tunaamini Chakula Ndio Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Shughuli Yako Iwe Bora Zaidi hasa pale Kinapoandaliwa vizuri Katika hali Ya Usafi Na Chakula Kuwa Na Ladha Nzuri Sana.

TUPIGIE SASA 0657 33 2814

Ukiwa Na Shughuli yako Yoyote Ile Harusi, Msiba, Kitchen Party, Send-off, Graduation, Private Event/Party n. k.

Tunapika vyakula Vyote kama vile Pilau, Biriani, Mandi, Wali Mweupe/mauwa, ndizi, Kuku choma, Mbuzi, Ndizi roast, bites na vyakula vingine vingi.

Pia Tunapokea Oda ya Kupika Mashuleni, Vyuoni, Maofisini, Clubs, Hotelini, Kwenye Mgahawa n.k

MUHIMU:
Kwa ajili Ya Uaminifu Zaidi Kazi Yote Ya Upishi Tunakuja Kufanyia Kwako(Mahali Ulipo). Pia Mteja Ana uhuru wa kusema Lolote Kabla ya Kazi na Baada ya kazi hii Ni kwa Kukuhakikishia tunakupa Huduma iliyobora na Kupata chakula Kizuri, Safi na Chenye Ladha.

BUFFET MENU IPO
Vitu vyote kwa Ajili Ya Ukumbini Vipo. (keki, Mapambo, MC, MUSIC)

Kwa Mawasiliano:
Whatsapp/phone ; 0657 33 2814
Instagram ; @mpishionline
Facebook; Mpishi wa Mashuhurini
Email; mpishimashuhurini@gmail.com

KARIBUNI SANA. KWA HUDUMA BORA YA CHAKULA KWENYE SHUGHULI YAKO.

View attachment 2409417View attachment 2409418View attachment 2409419View attachment 2409420View attachment 2409423View attachment 2409425View attachment 2409426View attachment 2409430
Mkuu safi sana! Nina ombi moja kwako tafadhali.

Kama unahitaji kijana wa kiume kwa ajili ya kazi za Catering Services Dar es Salaam, tafadhali naomba tuwasiliane (au unaweza ukaniunganisha au uni'recommend kwa anayehitaji).

Nimehitimu Chuo mwaka 2020. Kwa miaka kadhaa, nimefanya kazi za catering kwa kujitolea: vyuoni, makanisani na katika outreach events.
Naweza na nipo tayari kuhudumu sehemu mbalimbali kama vile katika meetings, conferences, forums, vyuo, harusi, sherehe na matukio mbalimbali ndani na nje ya Dar es Salaam. Huwa nafanya kazi kwa moyo, umakini na nidhamu ya hali ya juu.

NB: Kufanya kazi za Catering ni Passion yangu maana napenda kuwahudumia watu. Kwa sasa nipo Kigoma.

Mawasiliano:
0743744471
josephernestmshana@gmail.com

Thank you in advance.
 
Safi sana. Kitu Ambacho Nimefurahi Kusikia Ni kwamba unafanya Kazi Ambayo Unaipenda, Anyway Nimekusikia Kama Zitapatika a nafsi Tutatafutana
 
Back
Top Bottom