Chakula cha kuku bei juu masoko yapo chini. Tunafanyaje?

D Metakelfin

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
3,160
3,259
Wakuu kama mnavyoona Chakula cha kuku kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa nilionao niwauze 5,500/= ili kukwepa hasara ya chakula maana wanakimbilia wiki ya tano Sasa au kwa wenzangu wenye ushauri tusaidiane hapa
 
Tunza mtaji pumzika kufuga kwanza mpaka upepo utulie.
 
Wakuu kama mnavyoona Chakula cha kuku kimepanda bei tena finisher ya backbone nilikuwa nanunua elfu 78,000 ila leo nimeambiwa 81,000 na bado kuku sokoni biashara ipo vibaya yaan inanilazimu hawa nilionao niwauze 5,500/= ili kukwepa hasara ya chakula maana wanakimbilia wiki ya tano Sasa au kwa wenzangu wenye ushauri tusaidiane hapa
Huu msimu watu wengi watakaa benchi
Ww jitutumue uingie ivo ivo pambana utakavojua kuna furaha hpo mbeleni kwa watu wengi kukaa benchi

Agribusiness expert
 
Unajuwa jinsi broiler wanakula chakula 24 hours au umeandika tu kitu usichokijuwa?
 
Hua siongei kufurahisha tu bali pia tuna practice kwa uhalisia kabisaa

Iweje ww pesa ya kumpa m.ke na lodge uwe nayo hlf pesa ya kuweza kukupa mafanikio unaionea ubahili

Business is a risk thing ukishindwa kutake risk in Business go and sleep
20221128_072601.jpg
 
Ma usilogwe ukutwe na kuku bandani baada ya sikukuu za crismass utajuta
 
Sijui hata nianzie wap kukushauri...
Unafuga kuku wangapi kwanza?
The best solution ni kuhakikisha unatengeneza chakula chako mwnyw (japo ni process ngum lakin km uko serious and committed it's possible)
Sabab hapo faida unagawana na muuza chakula...
 
Back
Top Bottom