chakula

  1. JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nimesikia Tanzania wametoa msaada wa Chakula kwenda Malawi baada ya kukumbwa na Kimbunga

    It has been a long time since nisikie kuhusu kufanya Donation hasa kwa upande wa Chakula, pale hasa nchi jirani zinapopata Majanga. Nipo nasikiliza Tbc Taifa FM hapa napata habari kuwa Kesho tunaenda kuwapelekea chakula Malawi. Ahsante Mama kwa Jambo hili.🙏
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizindua Jukwaa la Mfumo wa Chakula barani Afrika leo tarehe 17 Machi, 2023 Ikulu Jijini Dar es Salaam.
  3. JamiiForums Tanzania Short story ya Chakula cha Usiku

  4. T

    JamiiForums Tanzania Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  5. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alivyomtimua mpishi wa Ikulu usiku baada ya kuzidisha chumvi kwenye chakula

    Leo nimeukmbuka wimbo wa Super Rainbow ulioimbwa na Eddy Sheggs ¶akafatia na kuweka chumvi kwenye chai,tulikuwa na wageni wakatoka bila kuaga,akafatia na kuweka sukari kwenye mboga tukaona haviliki tukalala na njaa.¶ Back to the topic...uajua waafrika wengi ukifikisha umri wa kustaafu Miaka...
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumwandaa mwanamke kisaikolojia kwenye harakati za kula "chakula cha usiku"

    Acha pupa/Uharaka • Mtoto wakike wala usimwarakishe. Ukifika chumbani(akafika chumbani) kwanza (kumbatianeni na mbusu pia mnongoneze. Kwa sauti ya mahaba ya chumbani, mwambie nakupenda. • Mpeleke taaratibu kitandani, akishafika (kama una zawadi unaweza mgeiya yoyte ile iwe zawadi ya chakula au...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa kibali kuagiza mchele nje ya nchi

    Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei” Lengo la Serikali mchele ushuke...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Samia zuia vibali vya chakula kwa sasa, utalaumiwa lakini Taifa litakukumbuka kama mkombozi wa kiuchumi

    Mama kwa kifupi hatua unazochukua katika kilimo sina uhakika na zote lakini hili la kufungua masoko ya nje ni mwarobaini wa kilimo. Kilimo cha Tanzania kilidumaa kwa sababu ya upofu wa viongozi waliopita. Naomba nirejee katika hadithi iliyoko katika biblia. Wamisri walikuwa utumwani misri...
  9. JamiiForums Tanzania Naunga mkono msimamo wa serikali juu ya kutoingilia bei ya chakula, tatizo ni kwamba katiba yetu bado inasema 'Tanzania ni nchi ya kijamaa'

    Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na mwanafalsafa wa Uskochi Adam Smith kupitia kitabu chake kilichoandikwa zaidi ya miaka 240 iliyopita (1776)...
  10. JamiiForums Tanzania Waziri Bashe: Bei za vyakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi 2023

    BEI ZA CHAKULA KUSHUKA MACHI - SERIKALI Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, asema bei za chakula nchini zitaanza kushuka mwezi Machi mwaka huu, huku akitangaza mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwasaidia wakulima waongeze tija kwenye uzalishaji wa chakula nchini
  11. N

    JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini

    Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini :- 1. Athari za janga la Uviko-19 2. Athari za vita ya Ukraine 3. Mabadiliko ya tabia nchi 4. Kupanda kwa bei ya mafuta duniani Kupanda kwa gharama za maisha imesababishwa na kupanda kwa mfumuko wa bei duniani na ndio maana...
  12. JamiiForums Tanzania Bashe umefeli juu ya suala la chakula

    Acha porojo mbovu. Kama mnakusanya tani laki tano ya vyakula mbona mfumuko wa bei za vyakula upo juu? ==== Waziri wa kilimo Mhe.Hussein Bashe amesema uwezo wa kuhifadhi chakula umeongezeka kutoka tani laki 200,000 mpaka laki 500,000 hivyo wakati wa msimu wa kuvuna watanunua mahindi na mpunga...
  13. JamiiForums Tanzania Usile Chakula cha Msibani au kwenye Sherehe bila kuomba

    Haloo habari ya saizi Kama mada tajwa hapo juu Kama umepata nafasi kuhudhuria maharusi, msiba hakikisha unaomba kabla hujala utanishukuru baadae
  14. JamiiForums Tanzania CDM mkija na sera ya kufunga mipaka ili bei ya chakula ishuke mtapotea vibaya sana

    Pengine mmesahau, hii sera ya kufunga mipaka ambayo Bashe anaitekeleza ni sera ya CDM. Wakati wa uchaguzi wa 2020 Salumu Mwalimu kila alikokwenda alisema kuwa CDM ikishika madaraka wananchi watauza mazao yao kokote kule, ilimradi tu wamelipa kodi ya serikali. Ilikuwa sera moja bora sana. Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  16. JamiiForums Tanzania Chakula Bora kwa Uzazi wa Mwanaume

    Kula mlo wenye afya na kufanya mazoezi ya kutosha kunasaidia kuweka mbegu za kiume katika hali nzuri. Kwa hiyo ikiwa mnajaribu kupata ujauzito, sasa ni wakati mzuri wa kufikiria kufanya mabadiliko mazuri ya maisha. Ni mlo gani wa afya unahitajika kwa baba mtarajiwa? Chakula cha baba mtarajiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Fahamu chakula unachopaswa kula ukiwa na zaidi ya miaka 40

    Chakula ni kirutubisho muhimu sana kwa wanadamu na maisha hayangewezekana bila lishe bora. Hata hivyo licha ya umuhimu wa lishe kwa mwili wa mwanadamu, wataalamu mara nyingi huwa wanazingatia faida za lishe bora na kiwango cha chakula ambacho mtu anapaswa kula kwa ajili ya afya yake. Wataalamu...
  18. JamiiForums Tanzania Chakula cha moto kina madhara gani mwilini?

    Chakula cha moto kina madhara gani mwilini? Nikimaanisha ni viungo gani vinaathirika?
  19. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani Mpishi akifanya anakuwa kaharibu Ubora wa Chakula?

    Chakula ni afya, chakula ni tia lakini chakula kinaweza kuwa na ubora mdogo au kukosa kabisa iwapo kitakosewa wakati wa kupikwa na kumaliza kabisa virutubisho. Chakula kama hicho watu hula kujaza tumbo lakini kinakuwa hakina faida kwa mwili. Je, nini mpishi asifanye au kuweka ili kupata...
  20. JamiiForums Tanzania DOKEZO Arusha: Wananchi Meru walalamikia maghala ya Serikali kuwauzia mahindi ya chakula. Serikali yasema utaratibu utabadilika, kupelekwa kila tarafa

    Wananchi wilayani Arumeru, wametoa malalamiko yao dhidi ya serikali baada kuuziwa mahindi kilo moja kwa sh. 885. Baadhi ya wananchi wameshindwa kununua mahindi hayo kutokana na hali ngumu ya maisha iliyotokana na ukame kwa madai kuwa serikali ilitakiwa itoe mahindi hayo bure kwa wahanga na sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…