chakula

  1. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Faida ya kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula

    Nimekuletea faida chache za kunywa maji nusu saa kabla haujala chakula ni muhimu kuzingatia mida ambayo huwa unapata Milo yako kila siku Kuywa maji nusu lita kabla ya kula chakula inasaidia kuleta hamu ya kula Kunywa maji nusu lita kabla ya kula inasaidia kupunguza matatizo tumbo kujaa ya...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Mwaka huu kutakuwa na njaa, heri ukose hela ila uwe na chakula ndani

    Chukua hii nakupa; japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi. Mikoa ambayo sio wazalishaji wakubwa wa chakula tumepata pata ila sio ya kuuza ni kwa ajili ya...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakiwa Gaza wakipika chakula na kugawa

    Wanaukumbi. Watanzania ambao wamejitolea michango yao na kuhamua kununua vyakula na madawa na misaada mingine kwa watu wa Palestina kama unavyoona hiyo picha wakiwa ndani ya Gaza bila kuogopa vita wakipika chakula na kugawa kwa watu wa Gaza ambao wanaishi kwenye mazingira magumu ya vita hasa...
  4. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi. kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la lishe duni bado ni kubwa nchini Tanzania.. wananchi wahimizwe kula chakula cha kutosha na sio kutishwa kuhusu vyakula.

    Kwa mujibu wa taasisi ya kimarekani ya National Health and Nutrition Examination Survey (NHANES) hadi kufikia mwaka 2016 nchi ya Tanzania ilikuwa ina kiwango cha unene uliopitiliza (Obesity Rate) kwa 8.4% ya idadi ya watu wake. Huku USA ikiwa na 42.1% ya idadi ya watu wake. Hii ni kumaanisha...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kiporo cha Wali Maharagwe Yaliyo na Nazi ni Kitamu Zaidi ya Chakula Hicho Hicho Kikiwa Fresh from Kitchen

    Jamani, mimi sina la kuongeza hapa. Normal physiology na human taste inakubaliana na philosophy ya binadamu kwamba chakula fresh from the kitchen lazima kiwe kitamu kuliko kiporo. Ila linapokuja suala la kiporo cha wali na maharagwe tena kilichopikwa kwa nazi original ni kitamu kuliko chakula...
  7. stevhinoz

    JamiiForums Tanzania Naomba mnisaidie bajeti ya chakula Tukio la hitma

    Tunatarajia kufanya hitma. Makadirio ni watu 200. Nafikiria kuwa na vyakula vifuatavyo Pilau Nyama Ndizi Salad Tunda Maji Wazoefu wa matukio, bajeti yake hapa itakuwaje?
  8. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapikiwe chakula wakiwa kwenye vikao vya bunge, na walale kwenye mabweni ya UDOM ili wapunguze ulevi na utoro

    Sote tu mashahidi, mahudhurio ya wabunge siyo mazuri na wanasisnzia sana wakati wa vikao vya bunge. Hii haitokei kwa bahati mbaya, bali inasababishwa na pesa nyingi za posho wanazolipwa wakati wa vikao zinazopelekea wabunge kukesha kwenye uzinzi na ulevi. Tunakumbuka Charles Kitwanga aliwahi...
  9. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Sababu Kubwa kwanini biashara ya mgahawa wa chakula ni bonge moja la idea.

    1.watu ni lazima wale wapate nguvu mtu hawezi kufanya matendo ya kununua nguo, viatu, computer, kusafiri, kufukuzia mchumba kama hajala yaani lazima tu kipaumbele kiwe kula 2.rahisi kuikuza kwani ubunifu wako ndo utafanya upate wateja mfano mtu anakula pale mezani ila kuna vipeperushi vya menu...
  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Ikiwa ingekubidi ule vyakula vichache pekee maisha yako yote nini ungekula na kwanini ?

    Tufanye umeambiwa uchague vyakula fulani bora ila vichache na itakubidi ndo uvile maisha yako yote usibadilishe aina nyingine me nadhani ambavyo ningeweza kufikiria vingekuwa ni. 1.parachichi Kwa sababu ya afya ya moyo. 2.kabeji au tembere maana ina vitamini k,na itazuia saratani. 3.samaki...
  11. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwa Israel kukishikilia kituo cha mpaka cha Rafah ndio imekamilisha kampeni yake ya kutumia chakula kama silaha ya vita

    Alfajiri ya kuamkia leo jeshi la Israel kwa kutumia vifaru na mashambulizi ya anga wamefanikiwa kufikia kituo cha mpaka wa Gaza na Misri na kukishikilia kituo hicho kutokea upande wa Gaza. Mara baada ya kufanikiwa kukishika kituo hicho jeshi la Israel limezuia uingizwaji wa misaada ndani ya...
  12. N

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uhakika na Usalama wa Chakula nchini Tanzania

    Utangulizi Nazi, Pilipili, Karafuu, Iliki, Uji Lishe, Maziwa, Kisamvu, Mihogo, Mahindi, Mchele, Samaki Wakubwa, Visamaki Vidogo (dagaa na uono), Asali, Sukari, Kuku wa Asili, Nyama ya Ng'ombe Mbuzi na Kondoo, Mayai, Matembele, Mchicha, Machungwa, Mananasi, Maboga, Mboga ya Maboga, Maembe...
  13. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea biashara ya chakula ni kubwa sana na ndio zinalipa sana kwa watafutaji

    Tuliosafiri ndio tunafahamu kuhusu upatikanaji wa chakula nchi za nje.mfano tu ukifika china ,japan,india,usa,south africa na n.k utaona sehemu nyingi biashara ya chakula ilivyopamba moto. Biashara ya chakula kwa nchi zilizoendelea ni zakutofautiana sana ili kila mtu kumudu chakula anachoweza...
  14. S

    JamiiForums Tanzania SoC04 Uboreshaji wenye kuleta unafuu wa usafiri kwa watoto wa Kitanzania (wanafunzi) na chakula mashuleni kote

    Awali ya yote nipende kutoa shukurani za kipekee kwa uongozi wa JF na wahisani wengine kuwezesha jukwaa hili kuwa kitovu cha mawazo mapana ya kuijenga nchi yetu ya Tanzania. Nikienda kwenye mada ya namna ya kuboresha sekta ya usafiri ili iweze kuleta wepesi kwa watoto wa kitanzania kupata...
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Unafahamu chakula unachokula kinaweza kukaa katika Mfumo wa Mwili wako kwa saa 12 hadi miaka 2?

    In general, food takes 24 to 72 hours to move through your digestive tract. The exact time depends on the amount and types of foods you’ve eaten. The rate is also based on factors like your gender, metabolism, and whether you have any digestive issues that could slow down or speed up the...
  16. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania RC Katavi, Mwanamvua Mrindoko: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka

    RC KATAVI, MHE. MWANAMVUA MRINDOKO: Uzalishaji wa Chakula Mkoa wa Katavi Waongezeka UJUMBE WA RC KATAVI KWA WATANZANIA KUHUSU MAZINGIRA WAKATI WA MAAHDIMISHO YA MIAKA 60 YA MUUNANO. Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mhe. Mwanamvua Mrindoko ametoa wito kwa Wananchi wa Mkoa huo kutunza mazingira kwa wivu...
  17. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  18. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Ni upuuzi kuongea mambo ya ofisini kwenu maeneo ambayo hayahusiki na kazi

    Leo kidogo nitakuwa mkali Nina mashaka kama bado ofisi za umma zinafundisha watumishi wake miiko ya kazi. Sina uhakika kama hawa watu wanakumbushwa namna ya ku behave wakiwa maeneo tofauti na ofisi zao. Unakuta maafisa wapo bar au sehemu ya chakula au hata kwenye basi, wanaongelea masuala ya...
  19. dr namugari

    JamiiForums Tanzania Chakula hiki nimekipata kwa elfu 3000 tu

    Leo nimepta msosi wangu pendwa kbsa wa mix ya mayai na maharage Nikachamganya na maparachichi kwa kweli leo siku imekwenda vzr siyo kaama juzi niliishia kunywa energy drink Nimeambiwa nijiandae kukabiliana na Hali itayo nipata.
  20. Miss Natafuta

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya Chakula tunaomba ufafanuzi kuhusu cerelac za watoto

    Nimesoma kwenye taarifa za kimataifa nchi nyingi zikilalamikia kampuni ya nestle inayozalisha maziwa ya watoto Nido na cerelac kwamba celerac inayouzwa India na Afrika wameweka sukari nyingi Sana ambayo sio sawa kwa vichanga. Sijajua hizo products ndo zilizopo pia Tanzania au hizi zilizoingia...
Back
Top Bottom