chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msanii Lulu Mapunda anayeiunga mkono ajenda ya 'No reforms No election' huko Instagram amelalamikia kupewa vitisho

    Wakuu hapa tulipofika mbona kama pabaya. Kuna haja gani ya kumtishia kisa tu ameisapoti No reforms, mbona hao chawa wao wanasapoti Oktoba wanatiki na hakuna aliyewatishia? Hakuna haja ya kutishiana wakuu. === "Lulu Mapunda kupitia ukurasa wake wa Instagram anaandika Ndugu @saidi8310 umekuja...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Chadema msikubali kuingizwa kwenye mtego wa udini au Utanganyika na uzanzibar Haina tofauti na ukabila , CHADEMA ni ya watu wote

    Kuna watu wenye Nia ovu wanataka kuingiza Cdm kwenye Utanganyika na Uzanzibar Wengine wakitaka kuingiza uislamu na ukristo NDANI ya Cdm Hao wote ni watu wabaya Sana Kwa Chadema. Chadema ni ya waislamu na wakristo na wasio na dini Chadema ni ya wazanzibar na watanganyika Hao wajinga...
  3. JamiiForums Tanzania Nani ana akili kuliko mwenzake? Huyu anayeiunga mkono ccm yenye nguvu madarakani au yule anayeishabikia Chadema yenye nguvu mtaani.

    Dj tupe mziki mzuri kutoka Studio...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gido Simfukwe: CHADEMA imezuiwa siasa mpaka kesi isikilizwe, sio siku 14. Msipotoshe

    Mawakili wa waleta maombi katika kesi ya CHADEMA na wanachama watatu wa chama hicho waliofungua kesi dhidi ya chama hicho wakilalamikia mgawanyo wa mali wamedai upo upotoshaji kuhusu kesi hiyo kwamba zuio ni la siku 14 kitu ambacho wamekipinga. Akizumgumza na waandishi wa habari mapema...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Hivi Ni Kwanini Vijana wa CHADEMA wana Uwezo Mdogo Sanaaaa wa Kujenga Hoja Na Kuonekana Wengi hawana adabu?

    Ndugu zangu Watanzania, Ni swali ambalo ningependa tujadili kwa pamoja hapa jukwaani. Ni jambo ambalo nimekuwa nikiliona na kulishuhudia mara nyingi sana huku mitaani na vilingeni. ambapo vijana na Wafuasi wa CHADEMA vijana wameonyesha kuwa na uwezo mdogo Sanaa katika kujenga hoja na kushawishi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujumbe kutoka kwa Tundu Lissu: Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa CCM, anafanya kazi ya CCM

    "Jaji Hamidu Mwanga ni Jaji wa Samia, na kwasababu hiyo ni Jaji wa CCM na anafanya kazi ya CCM. Jaji Mwanga alikuwa kwenye Tume ya uchaguzi Zanzibar (ZEC) ya Jecha Salimu Jecha ambayo ilifuta uchaguzi wa Zanzibar wa 2015. Jaji wa namna hii tutatarajia aipende CHADEMA inayosema No reforms No...
  8. JamiiForums Tanzania Hizi spana za CHADEMA; ni karma au ni hujuma?

    Katika maisha yangu yote ya kusoma sayansi ya biologia, hakuna topic ambayao mpaka sasa nimeshindwa kuielewa kama EVOLUTION. Hii ndio topic inayojaribu kuaminisha watu kuwa ulimwengu na viumbe vyote vilitokea tu spontaneously na vimekuwa vikibadilikabadilika kuwa vilivyosasa. Huu upuuzi...
  9. JamiiForums Tanzania Amos Makalla roho yake ipo CHADEMA mwili upo CCM

    Ukifuatilia mikutano yote cha huyu Amosi Makalla, utujua kuwa huyu jamaa, anaipenda sana chadema, akilala, uck ,akila chakula, anaoga mda wote ana tamka chadema, chadema, hii inathibithibisha kwenye mikutano yake kila akisimama anasema sera za chadema. Huu ndo ukweli mchungu CCM wote kama...
  10. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 UVCCM: Hatuhusiki na Msiba wa CHADEMA

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa na kuzuiwa kutokana na siasa zao, akisisitiza kuwa Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio hilo bali kimejipanga kuhakikisha kinashinda katika Uchaguzi Mkuu wa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hivi changamoto ni CHADEMA au Tundu Lissu? Wananchi wajue

    Mimi nimetafakari na kujiuliza, je, tatizo la CHADEMA ni chama na sera zake au pengine ni uwepo wa Tundu Lissu kwenye chama hicho na misimamo yake? Hili linahitaji mjadala mpana sana kwa sababu CHADEMA ni taasisi inayoishi—Lissu atakuwemo na kutoka; pengine ataenda DP, au ataacha siasa, au...
  12. JamiiForums Tanzania CHADEMA vs CHAUMMA: Nani anaenda kumfunika mwenzake?

    Tupe maoni yako nani anaenda kumfunika mwenzeke? Chaumma nyomi kama lote kila kona wanayokanyaga. Chadema nao wanajitahidi. Hii vita bado mbichi.
  13. JamiiForums Tanzania Kutuliza mzimu wa migawanyiko napendekeza makao makuu ya CHADEMA taifa yahamishiwe Zanzibar

    Hii italeta utulivu na usawa ndani ya chadema na kuondoa dhana ya chuki, dhihaka na ubaguzi dhidi ya viongozi wa kutoka Zanzibar na dhana ya kuitenga Zanzibar katika masuala mbalalimbali ikiwa ni pamoja na masuala ya mgawanyo wa rasilimali za chama hicho. Zaidi sana, makao makuu ya chadema kua...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kawaida: CCM haihusiki kuzuiliwa kwa CHADEMA kufanya shughuli za kisiasa, ni migogoro ndani ya chama chao

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) Taifa Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) amezungumza kuhusu vuguvugu la vyama vinavyofungiwa kutokana na siasa zao zinazoeneza chuki na ubaguzi miongoni mwao, na kwamba Chama Cha Mapinduzi hakihusiki na zuio Hilo bali kimejipanga kuhakikisha...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini kweli hawaoni yabayoendelea nchini kwa vyama vya upinzani hasa chadema inayopitia?

    Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
  16. JamiiForums Tanzania Ni dhahili ruzuku itaendelea kusitishwa kwani walioenguliwa kusimamia fedha hizo wamejikamunisha wenyewe badala ya kukamunishwa na baraza kuu la chama

    Msajili wa vyama vya siasa alisitisha ruzuku ya serikali ya Sh 107 million kwa mwezi kwa chama cha chadema. Alifanya hivyo kwa sababu wasimamizi wa fedha hozo (secretariat) akiwemo Afisa Masululi (Accounting Officer) wa chama ambaye ni Katibu Mkuu wa chama walipata nafasi hizo kwa njia zisizo...
  17. JamiiForums Tanzania WanaCCM hebu semeni mnapingana na CHADEMA kwa kitu gani haswa?

    Katika vitu ambavyo sitaki kuamini ni kwamba CCM wote ni wabaya yaani sitaki kuamini kabisa. Sasa kama Imani yangu inaniambia Kuna watu wengine wazuri wako CCM Sasa hawa watu wengine wa CCM huwa wanawapinga CHADEMA kwa kitu gani haswa? Kwa sababu hoja nyingi zinazowasilishwa na watu wa CHADEMA...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Chadema huenda wakapoteza umiliki wa majengo yake,kama ilivyokua CUF

    Kwa kesi ya zuio la kesi ya usawa Mali huenda CHADEMA ikapoteza umiliki wa majengo yake kama ilivyokua CUF ya Maalim Seif,nahuenda CHAUMMA wakaja kuyachukua nakuyatumia nambowe akaingia mzima CHAUMMA
  19. JamiiForums Tanzania Great thinkers jitokezeni tujadili lengo la kesi ya mgao wa mali dhidi ya CHADEMA. Waliofungua kesi watanufaika na nini ikiwa siyo viongozi?

    Kwa wale mnaoelewa mnaweza kuweka dondoo hapa. 1. Mgawanyo wa mali kati ya Bara na Zanzibar utawanufaisha vipi waliofungua kesi ikiwa siyo viongozi? Ni wanachama wa kawaida. 2. Lengo la kesi ni kugawa mali kati ya Chadema bara na Chadema visiwani au kuna watu binafsi wanalengwa kunufaika? Hii...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uhakika wa serikali iliyopo madarakani kurejeshwa tena madarakani na wananchi Oktoba ni asilimia 100%

    Shauku ya vijana wengi waliofikisha umri wa miaka 18 hivi sasa nchini ni kuandika historia ya kua nao wanashiriki kwa mara ya kwanza kuandika historia ya kuamua mustakabali wa uongozi wa Taifa lao kupitia uchaguzi mkuu wa october 2025. Wengi wa vijana hao wana matarajio makubwa ya kutimiza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…