Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kwa haya mafuriko ya wananchi kwenye mikutano ya chadema ni wazi uchaguzi ukiwa wa haki chadema itanyakua bunge zima na ikulu yote sema amina.
chadema sio tu chama cha siasa ni imani ya kidini.
Ikumbukwe kwamba kuna amri ya Haramu iliyotolewa na viongozi wa Tanzania ya kuzuia Viongozi wa Chadema kusafiri Nje ya Nchi.
Nabii huyo wa Mungu amenyang'anywa Passport yake na kutakiwa kuripoti Uhamiaji Makao Makuu Dodoma ikiwa ana Malalamiko yoyote.
Taarifa ya Chama hicho iliyosambazwa kote...
Mjadala mkubwa kwa sasa ni habari zinazowahusu Boniface Mwangi kutoka Kenya na Agather Atuhaire kutoka Uganda walipokuwa Tanzania.
Wakati serikali ilikanusha madai ya ukiukwaji wa haki zao, baadhi ya raia na mashirika ya kiraia walitilia shaka mazingira ya tukio hilo.
Lakini hata kama...
Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amedai kuzuiwa kusafiri nje ya nchi leo mchana katika mpaka wa Namanga wakati akielekea Nairobi, Kenya.
Lema amesema akiwa katika ofisi za Idara ya Uhamiaji aliambiwa kuna zuio kwa viongozi wa CHADEMA kusafiri...
Kuna mambo ya kitoto sana ndani ya utawala wa CCM.
Bado wanasiasa zile za maisha ya ujamaa miaka ya nyerere.
Mikutano yao uwezi kusikia wanajidili mustakabali wa taifa wala maono wao kutwa nzima kuiongelea chadema na wapinzani.
Uwezi kuona wanafatilia CCm ili kurekebisha mapungufu yao wao...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limemkamata dereva Yahaya Bakari Idd (43) mkazi wa Gongo la Mboto Mkoa wa Dar es salaam baada kusababisha ajali iliyotokea Juni 5, 2025 katika eneo la Mataa ya Tumbaku kata ya Mafisa Manispaa ya Morogoro.
Taarifa ya leo Juni 6, 2025 iliyotolewa na Kamanda wa...
"Waliokwenda CHAUMMA zao lao ni CHADEMA ni watu waliojenga CHADEMA kwa jasho na damu waliobaki CHADEMA kuna watu ambao waliijenga lakini kuna watu wapya ambao wamekuja wamekuta matunda yapo tayari na wakafikiria wamefika kama vile hakuna watu waliojenga kwahiyo mimi zile zote mbili ni familia...
Nimepata dondoo za chadema kufungua shauri mahakamani kuomba huruma itumike waruhusiwe kujaza form ya maadili ili washiriki uchaguzi, infact nimeshindwa kuwaelewa?
Mkazo na dhamira zao haziendani na yale wanayoyafanya kwa sasa,
Tunataraji msimamo imara toka kwenye Tume yetu ya uchaguzi juu ya...
Upinzani juu ya hili unaweza kuwa mkubwa lakini kwa hali ilivyo na inavyoendelea watakuwa hawana option bali kukubaliana na CHADEMA ili walau wapate nafasi ya kujipanga upya kwa yafuatayo
1. Vikao vya usuluhishi na mapambano ya ndani.. Kama ikitokea leo CHADEMA wakakubali kwenda kwenye...
Hii level ya imani hakuna chama cha siasa imeifikia kwenye hii nchi na majirani zake.
Isingekuwa polisi nk, basi kijani wangekuwa hawana chao siku nyiiiingii.
Katika mambo ambayo Mbowe alifanikiwa, ni kuvutia watu wenye heshima kubwa sana ndani ya CHADEMA. Lakini hivi karibuni wana CHADEMA wamegeuka watu wa matusi mazito ya nguoni.
Hii imekimniza watu muhimu sana katika chama hicho ambao wangesaidia kukijenga.
Sheikh Ponda kaondoka na kundi kubwa...
Nimewasikiliza hawa jamaa naona kama kuna kuchanganyikiwa flani hivi au wana hasira za kutoka CHADEMA kiasi cha kupoteza Dira na kutumia Mikutano yao waliyoiandaa kwa Gharama kubwa kuisakama CHADEMA badala ya CCM, siyo kwamba wanarudia kosa walilofanya ACT?
Lengo la Chama chochote cha Siasa ni...
Ofisi iliyokuwa ikimilikiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA), mkoa wa Mara, imebadilishwa na kuwa Ofisi ya Chama Cha Ukombozi wa Umma(CHAUMMA).
Awali ofisi hiyo kwa nje ilikuwa imeandikwa kwa maandishi makubwa CHADEMA sasa inasomeka kwa maandishi hayohayo makubwa lakini kwa jina...
Gari la mziki iliyokuwa kwenye msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, John Heche imepata ajali alfajiri ya leo Juni 5,2025 katika eneo la Msamvu Morogoro, ikiwa inaelekea Kivukoni - Ulanga, Igima - Mlimba, Ifakara Mjini - Kilombero kuanza operesheni NoReforms No Election Kanda ya Kati.
Gari...
Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na mizizi na uchungu wa chama hicho ambacho amekieleza kukosa mwelekeo.
Mrema ameyasema hayo katika...
Heche leo ametoa uamuzi wa kuwafuta kazi Mnyika na wenzake. Mnyika alikuwa katibu mkuu, ila sasa anakaimu tu, vivyo hivyo kwa Amani Golugwa na yule wa zanzibar.
Watu hawa walikuwa wanatuna wakitamba kwamba Msajili wa Vyama akipenda akifute chama chao. Naona wameufyata
Msajili wa vyama vya siasa ametengua uongozi wa CHADEMA uliopatikana kwa mkutano na uchaguzi batili.
Kama viongozi wote wale ni batili maana yake hata kamati kuu ni batili pia, hivyo haiwezi kuwa na uhalali wa kukaimisha viongozi,
Kama msajili ametegua uongozi uliopo maana yake uongozi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimelaani vikali hatua ya Msajili wa Jumuiya za Kiraia kulifuta kanisa la Ufufuo na Uzima, likiuita uamuzi huo kuwa wa kidhalimu na unaokiuka uhuru wa kuabudu kama unavyolindwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Pia soma > ACT Wazalendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.