Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Kuwapa Vijana wa CCM Hela, na kuwatuma kufanya Uhuni kwenye mikutano ya CHADEMA ni kosa linalohatarisha Uhai wa Watu !!.
NAWAONYA, muache tabia hiyo mara Moja.!!.
Mikutano ya CHADEMA ni mikutano ilojaa Wananchi wenye Hisia za majonzi, Mateso na maumivu, Kwa kutekewa Watu wao, kuuliwa watu...
Hiii inaitwa Emotional Enslavement !! Kuhakikisha Watu wanaifaham CCM kama Adui yao Mkuu, alowaita umasikin tangu Uhuru, Umasikin ambao kwao CCM wakijulinufaisha , Umasikini ambao ni matokeo ya Kua na viongozi WAJINGA !!.
Elimu hii inaendelea kuwafanya Wananchi wakiamin Chama, na kukikumbatia...
Siasa za Tanzania zinaingia kwenye Hatua nyingine kabisa ambayo haijawahi kutokea
Mungu akiendelea kuwabadilisha Mioyo Vijana wa Kitanzania , Sasa wanazungumza Kauli Moja !!.
Niliwahi wauliza Dola "Mnauhakika Mgombea wenu Samia, anauzika? Hatowaingiza kwenye MTEGO wa kutumia nguvu kupitiliza...
Tunatoa wito kwa Viongozi wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Chadema kuongeza Camera angalau 5 za Drone ili kuweza kurekodi Mchanga wa Watu wanaohudhuria Mikutano yao.
Kwa Mfano, ni Vigumu kujua idadi kamili ya Watu waliohudhuria Mkutano wao wa leo Dodoma Mjini, Yaani haijulikani pia...
Dodoma imetikisika, ndivyo unavyoweza kusema.
No reforms, no election inazidi kuchanja mbuga ambapo CHADEMA wamefanya mkutano wao jijini humo na kuhudhuriwa na Makumi ya Maelfu ya watu.
Baada ya mkutano huo, wapenzi wa chama hicho wamemsindikiza Makamu Mwenyekiti wao, John Heche huku wakiimba...
Karibu pumzi inawaishaia hao vibaka na matapeli wa kisiasa na hiyo nonsense yao ya no reform no elections.
Hongera sana wananchi wote ground, field na mitandaoni kwa kukataa kubebwa ufala wa kifikra na hao matapeli wa kisiasa waliopoteza uelekeo.
Mmewapuuza kwa maneno na matendo kijasiri...
Chadema imezidi kuchanja mbuga kwa speed ya ajabu. Hili balaa la leo ni dalili kubwa October itakuwa ngumu sana, watawala amueni hatma ya nchi kwa kuweka mazingira sawa ya uchaguzi.
Mange kimambi kwa sasa ushawishi wake katika siasa za tanzania ni sawa kabisa na chama cha siasa kimoja
Mange kimambia aliiingia kwenye siasa rasmi mwaka 2015 wakati huo alijaribu kugombea jimbo la kinondoni kupitia ccm hakupita kura za maoni akabaki kama mwanachama na tukaingia...
Ni muhimu sana kuepuka kudanganyana na kupotoshana ndugu zangu wadau eti hapata kua na uchaguzi October.
kweli ni kwamba hayupo kibaka wala tapeli yeyote wa kisiasa nchini mwenye uthubutu wa kumzuia mwananchi yeyote huru kushiriki kikamilifu katika kutumia uhuru na haki yake ya kikatiba kupiga...
Watz wamevamia posts za Rais Samia kama nyuki. Namuona akifunga comments kwa posts ijayo
Msigwa anatukana watu huku amefunga comments
Post yeyote ya public figure watu wanavamia kama manyigu na NRNE, wapo mpaka pages za Simba na Yanga. Hawa watu mimi sijui wametokea wapi. Insta inatisha...
Mheshimiwa Rais wa Tanzania na serikali yake walikuja na dhana ya 4R kama dira ya kujenga taifa lenye umoja, maendeleo na demokrasia. Dhana hii ya 4R ilijumuisha:
1. Reconciliation (Maridhiano) – Kujenga mshikamano wa kitaifa na kuondoa migawanyiko ya kisiasa.
2. Resilience (Ustahimilivu) –...
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba leo 07/06 2025, Chadema badala ya kuita Matajiri wenye uwezo wa kuchinja chochote na kula nao Idd, ili kutafuta sifa kama wanavyofanya viongozi wengine, Wao wamechagua kupeleka Mkono wa Idd kwa Watoto Yatima.
Huyu hapa ni Maalim Heche akiwa na viongozi wengine...
GT.
Katika Bunge lililovutia kuliko wakati wowote ule ni hilo la 2010/2015 Bunge lilikuwa la moto hatari hoja nzito znito zilikuwa zinatolewa.
CCM wakaona hayo yalikuwa ni makosa kuweka Wapinzani wengi bungeni Lakini kiukweli ndio bunge liliokonga nyoyo za watz wote na kuwaamusha hadi leo...
Upinzani utachelewa sana kuchukua madaraka hii nchi, sijawahi sikia Heche akisema wakipata madaraka watafanya nini zaidi ya kukosoa, sasa Suzan Kiwanga kuhama chama imekuwa uadui?
Nawapa taarifa wafuasi na mashabiki wa Chadema kuwa diamond platnumz ni mkubwa kuliko chama chenu.
Naona sasa hivi mnaendesha jaribio la mtandaoni kumzuia Diamond kufanya shughuli zake za muziki, baaada ya kupewa maelekezo na saviour wenu mange kimambi.
Haya ni marudio ila kwa kuwa hamnaga...
Bara la Afrika ni kubwa kuliko Urusi. Lakini kwenye Ramani inaonekana Urusi ni kubwa kuliko Bara la Afrika. Huku ni kudogosha kwa manufaa ya Wazungu.
Kwa upande wa Tanzania, CHADEMA ina wanachama wengi kuliko CCM, lakini CCM wanadai wana Wanachama wengi kuliko CHADEMA.
Twende Taratibu.
Pamoja...
Mimi ni shabiki kindakindaki wa Mwamba wa Afrika, John Pombe Joseph Magufuli.
Kutokana na Mwamba kutuacha, nimeamua kuelekeza ushabiki wangu kwa CHADEMA. Hapo mwanzo sijawahi hata kufikiri juu ya CHADEMA, lakini nadhani niliwanukuu vibaya CHADEMA.
Nilidhani ni watu wa shari tu, kumbe siyo...
Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
Mimi siyo mwanachama wa chama chchote lakini kwa hali ilivyo ya Chadema ni vyema kuwarudisha wabunge 19 wenye nia ya kufanya siasa ndani ya chadema.
Nadhani Lisu aliwahi kutoa hata utaratibu wa kuwarejesha fanyeni hivyo, Mtu kama Halima, Bulaya, ni asset mbali na mambo yaliyotokea tumeona Komu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.