chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Nilidhani CCM wameimaliza CHADEMA baada ya CHAUMMA kupata ufadhili kumbe bado wanaiogopa CHADEMA

    Kama CCM haina hofu na CHADEMA hii vuta ni kuvute dhidi ya CHADEMA tusingeiona. Mission CHAUMMA imefeli na sasa hivi hii sio CHAGADEMA ni CHADEMA. Kama huna hofu na mtu asiye lolote kwa nini uhangaike? Mara kamatakamata, mara muwapige mawe. Operation Chaumma imefeli.
  2. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Msifadhaike wala msife moyo. Ukombozi unakaribia

    Poleni sana CHADEMA. 1. Wamempa Mwenyekiti wenu kesi wanayoita ya uhaini mpaka sasa yupo mahabusu. 2. Wamewafuta baadhi ya viongozi wenu. 3. Wamenyang'anya Ruzuku ya chama na mauza uza mengine mengi mmefanyiwa. 4. Leo wamepiga marufuku shughuli za kisiasa za CHADEMA. Jipeni moyo. Msikate...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sioni sababu ya kuilaumu CCM na Mahakama Wakati aliyefungua Kesi ni Mwanachadema

    Hamjambo Wote! Sipendi watu wanaolaumu wengine Kwa Makosa Yao. Kulaumu wengine kwa Makosa uliyoyafanya ni kukimbia uwajibikaji. Kwenye Pambano lolote, huwezi mlaumu adui au timu pinzani kwa kutumia watu wako Wasiowaaminifu. CHADEMA wanachangamoto ya watu Wasiowaaminifu ambao ni rahisi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHAUMMA yasepa na kijiji Kigoma Kusini, nyomi lake lawashtua CHADEMA, ACT na CCM

    Wakuu Ni muendelezo wa C4C ya CHAUMMA na muitikio umekua mkubwa Pengine sera zao za ubwabwa zinavuta wananchi uchaguzi wa October 2025 ==== Mapokezi ya Mwenyekiti wa CHAUMMA Taifa Mh. Wakili Msomi Hashim Rungwe kwenye eneo la Sunuka, Jimbo la Kigoma Kusini ambapo ameambatana na Makamu Bara...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa tena kwa Samia

    Kwa hili la Chadema Polisi wamepata mwanya wa kuonyesha uchawa. Watakimbia kufunga ofisi na kupiga watu kama kawaida yao ili wapande vyeo Majaji nao wanaweka uchawa ili wapande vyeo. Tanzania tuna kazi Wanayosema Chadema kuhusu mfumo mbovu sasa kila kitu kiko wazi
  6. S

    JamiiForums Tanzania Vuguvugu la 'No Reforms, No Election' linatafutiwa kila sababu ili likomeshwe, kwanini wanakiogopa chama ambacho wanasema kinaenda kujifia?

    Wakuu Naona Serikali ni kama inatafuta kila njia ili wapate kuisimamisha CHADEMA katika harakati zake za kuzuia uchaguzi. Tuliona asubuhi waraka wa msajili akivitaka vyama vya siasa kufuata na kuheshimu sheria katika mikutano ya hadhara na hapa kwa kiwango kikubwa tunajua kuwa lengo lilikuwa...
  7. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rasmi, Mahakama yapiga marufuku shughuli zote za CHADEMA

    Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepigwa marufuku kufanya shughuli zozote zile za kiutendaji na oparesheni mpaka hapo kesi ya msingi iliyofunguliwa na aliyewahi kuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Zanzibar Saidi Issa...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yanaandaliwa Mazingira ya kufungia Mikutano ya 'No Reforms, No Election'. CHADEMA msiingie kwenye mtego

    Kuna watu wanatumwa waje wasababishe hawa ghasia au sami fujo katika mikutano yenu. Mkijidai kulala nao sambamba police wataingilia na kuwatandika kisawa sawa. Kisha next time mtanyimwa vibali vya kufanyia mikutano. Nawapa hili angalizo maana ni habari za ndani kabisa kutoka kwa mmoja ya...
  9. Farolito

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bwege: CHADEMA wanadai haki, ACT tunaomba haki, CHADEMA wapo sahihi, Sisi ACT wanafiki

    Akihojiwa mambo mbalimbali na kituo cha redio cha East Africa mbunge wa zamani Sulemani Bungara almaafufu Bwege amesema kwamba Chadema ndio chama makini zaidi Tanzania kwani wao wameamua kudai haki za wananchi kwa kuwa duniani kote haki haiombwi bali hudaiwa ila ACT wao wanaomba haki kwahio...
  10. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Ajenda ya No Reforms No Election inawapiginisha Chadema katika mikutano ya hadhara

    Wingu zito la mgogoro ndani ya CHADEMA juu ya wanaounga mkono na wanaopinga Kampeni ya No Reforms na No Election limeendelea kutanda na sasa limefikia hatua mbaya zaidi, wameshindwa kuuficha mgogoro wao na sasa wameamua kuchapana makonde kwenye mikutano ya hadhara. Chokochoko zilianza kwenye...
  11. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  12. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Unadhani ni kwanini kampeni ya tone tone kuichangia pesa CHADEMA kidigitali imekwama kwenye hatua za mwanzo kabisa?

    No reform no elections ya Lisu, imefeli vibaya kama ilivyoshindwa na kukauka kabisa kampeni ya kuchangia pesa kidigitali kwa mtindo wa tone tone ya Lema. Unadhani , Nini sababu ya yote haya kutokea chini ya uongozi mpya wa Chadema? Ni kwasababu kampeni hiyo haikueleweka vizuri kwa wanachadema...
  13. Inside10

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mahakama yaagiza Polisi kuchunguza na kumfungulia Kesi Wakili Edson Kilatu anayedaiwa kufoji nyaraka za Kesi dhidi ya CHADEMA

    Mahakama imetoa agizo kwa Jeshi la Polisi Nchini kuhakikisha linachunguza na kumfungulia kesi ya jinai Wakili Edson Kilatu, anayedaiwa kughushi nyaraka na kuingilia mfumo wa Mahakama kwa kuziwasilisha nyaraka hizo kwa njia ya mtandao kwa lengo la kuidanganya Mahakama Hayo yamejitokeza leo...
  14. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkutano wa Heche washambuliwa Igunga, Tabora

    CHADEMA kupitia ukurasa wao wa X(Twitter) wamesema watu waliokuwa na mapanga na visu wamevamia mkutano wao maeneo ya Igunga mkoani Tabora, watu hao walianza kwa kurusha mawe msafara wa makamu mwenyekiti wa chama John Heche. CHADEMA pia wamethibitisha kujeruhiwa kwa mlinzi wa makamu Mwenyekiti...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ninachokiona CHADEMA kuendelea kuwa chama chenye ushawishi na nguvu baada ya uchaguzi mkuu

    Nimetafakari hali ya kisiasa nchi na kuona kuwa Chadema itaendelea kuwa na ushawishi na nguvu kuliko vyama vingine pamoja na kutoshiriki uchaguzi au kushindwa kuuzuia kwa nguvuza dola kwa sababu zifuatazo: 1. Iwapo uchaguzi mkuu utakuwa na uchafuzi na CCM kupita kwa mizengwe kwa asilimia 90...
  16. Dr Akili

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hivi ni kweli CHADEMA wameiomba INEC iwaruhusu kushiriki kwenye uchaguzi mkuu 2025 la sivyo wataiburuza INEC mahakamani?

    Takribani mwezi mmoja uliopita chadema waligoma kusaini fomu ya maadili yatakayotumika kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Kitendo hiki kilipelekea Tume huru ya uchaguzi (INEC) kwa mjibu wa sheria kuifuta chadema kwenye kushiriki kwelnye chaguzi zo zote zitakazofanyika hadi mwaka 2030. Hii ina...
  17. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waliotaka kuvuruga mkutano wa Chadema Singida wadhibitiwa

    Vijana wanaodaiwa kutaka kuvuruga mkutano wa Chadema uliofanyika mjini Singida leo juni 9, 2025 wamedhibitiwa kabla ya kutekeleza walichokusudia.
  18. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA yaendesha Mafunzo kabambe kwa Viongozi wake wa Kanda ya Nyasa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Chadema Makao Makuu imefungua semina elekezi kwa viongozi wake wa Kanda ya Nyasa, semina hiyo inasimamiwa na Dkt Aman Golugwa ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Tanganyika. Pichani huyo Kiwete mwenye magongo ni Mkurugenzi wa Mafunzo wa Chadema, John Pambalu...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mayowe ya kisiasa, kelele na uropokaji wa CHADEMA mwisho wake ni october mwaka huu 2025 baada ya uchaguzi mkuu

    Hapatakua na nyodo wala kuropoka ropoka tena, midomo mirefu na kisirani ya viongozi wa chadema itakua imekwesha kabisa. kama tujuavyo, bila ruzuku hakuna chadema. Na ndio maana mnaona mikutano yao inadorora kadiri michango ya kwenye kibakuli inavyopungua huku ruzuku kidunchu wanayopata ikiwa...
  20. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je maandamano ya wafuasi wa Chadema X Kwa Trump na Rubio yatakuwa na impacts Gani?

    Siwezi kupuuza nguvu ya social media. Maana juzi waziri mkuu wa mongolia amejiuzuru kutokana na nguvu ya social media. Chadema wametangaza kuwa 16/06/2025 kutakuwa na maandamano mtandaoni uko X. Kwamba raisi Trump ,Vance na Rubio wakipost chochote, wata comment, No reform no election. Lengo...
Back
Top Bottom