Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Habari za asubuhi kuna kila dalili John Heche anamsaloti Lissu. Tundu Lissu alinukiliwa akisema Makamu nifikishie Taarifa za pole lakini heche hataki mpaka Jana Lema ndio kafikisha hizo salamu.
Lakini haitoshi katika chapisho la Lema alisema John Heche amepata Passport yake kwa njia tofauti na...
Katika hili suala linaloendelea nadhani wanaharakati na wafuasi wa CHADEMA wanakosea target, Mtu anayepaswa kushambuliwa ni Lissu kwa kuwa yeye ndo ametoa salamu za pole, Lema yeye ni Amplifier tu. Jambo jingine CHADEMA Katika kitu kitawapa shida ni hii kuingia kwenye mfumo wa wanaharakati...
Kwenye hili jukwaa la siasa jukwaa langu pendwa la kupoteza stress na kugain mambo ndani ya kama siku 3 hivi na hasa leo nimeona nyuzi zina miminika zikiwa na content moja ya kuonyesha Lissu anaua chadema, mara hana busara mara jeuri..
Mara asamehewe..na hizi nyuzi zinaletwa na makada wa ccm...
Makomredi tayari dalili zimeonekana kuwa mwenyekiti wa chama rafiki CHADEMA anaweza kukutana na hukumu kali kwenye kesi ya uhaini inayomkabili. Hukumu ya hili kosa ni kunyongwa mpaka kufa ila mara zote waliohukumiwa huenda jela maisha. Hii inasikitisha sana.
Mimi ninashauri CCM isisite...
Mtu aneshapatikana na hatia lakini wao bado wanajibu utoto mahakamani.
Baadaye wataanza kulia ooohh mahakama, mahakama, mahakama.
Kama mahakama haina haki kwa wapinzani kwanini mlipeleka mawakili?
Kwanini mnahudhuria kesi ya kubumba kama mnavyoiita?
Niliwashauri mapema CHADEMA wasipeleke wakili...
Kumekuwepo na picha inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuwa ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuhusu kutoa salamu za pole kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kufuatia kifo cha mume wake, Hafidh Ameir.
Maana kujikanyaga na kujichanganya kwao kizimbani kunaibua maswali mengi ikiwa ni pamoja na kua,
je, ni mkakati wa kumtia kitanzi kiongozi huyo badala ya kumnasua au ni kiwewe, ni hofu na ugeni wa masuala ya kimahakama au mashahidi hao walikua wanamuogopa sana wakili Katuga?
Baada ya hukumu...
Kinachowatesa wafuasi wa CHADEMA wale wanaodhani wana ushawishi ni kuingia kwenye mfumo wa Wanaharakati, hivyo kuna mambo yanapaswa kwenda kitaasisi ila wanajikuta wanaogopa kupoteza support ya Wanaharakati. Watakuja kustuka kumekucha. Jana mmembeza na kumtukana Freeman Mbowe, Leo huyu...
Nimeambiwa kuwa, Freeman Mbowe ameshawahi kwenda Ukonga gerezani mara Moja kumtembelea Mwenyekiti wake Tundu Lissu...
Katika mtembeleo huo, hakutoa mrejesho walizungumza nini hasa iwapo alikwenda kumsalimu na kumfariji tu au kuna cha ziada walichozungumza kwa public kujua
Lakini FAM anaishi...
Chadema hakuna wazee wa kuwashauri wote wamewakimbia kwasababu wanasiasa zisizo jari utu wa watu wengine, chadema wanafanya siasa za kimihemko sana,
Inakuwaje wasitake watu wahudhurie misiba? Misiba inahusiana vipi na siasa? Kwahyo mtakuwa mnahudhuria misiba ya chadema tu? Mnajiona mpo sawa...
Natamani ningekuwa muhenga angalau hata kwa siku moja, ili nionje ladha kidogo ya uwezo wa kuona mbali. Iliwezekanaje miaka tele iliyopita, muhenga mmoja akang'amua kuwa, kumpiga chura teke ni kumuongezea hatua? Leo hiki ndicho kinachoendelea kwenye kesi ya Lissu.
Kwamtazamo wa haraka haraka...
By Advocate Paulo Boniventure;
Shahidi wa 5 wa upande wa Defence (DW5) Mh John Wegesa Heche wa kesi ya tuhuma za uhaini wa maneno ya Mh Tundu Lissu - Mwenyekiti Taifa wa CHADEMA alianza kutoa ushahidi wake kumtetea Mwenyekiti wake jana 9/9/2026...
Ufuatao ni muhitastari (Situation Overview) ya...
Binafsi kama mTanzania, natamani sana kujua na kufahamu hilo, kwasababu ni muda mrefu sana tangu chadema istop kusajili wanachama wapya kidigitali.
Na bilashaka yoyote hata wadau kadhaa wa JF, nadhani wanatamani na wangependa walau kufahamu hilo.
Anae fahamu tafadhal aweke wazi numbers tu...
Mara nyingi wananchi hasa watanzania wamekuwa na hamu sana kusikia au kujulishwa kuwa CHADEMA tukichukua nchi na kuunda serikali kama chama tawala nini tutafanya kwenye hili taifa. Kwanza kabisa wananchi watanzania watanufaika na uhuru wao na haki za binadamu. Kila mtanzania atakuwa huru kutoa...
Viongozi wa chadema semeni chopa zipo wapi mbona hazipo ufipa Wala unyaturuni🤣🤣
Na zile gari zipo wapi naskia zilibadilishwa rangi na usajiri haya wazee wa ufipa karibu kwa mjadala
Je,
utachangia bila kujulishwa ile tone tone ya milioni mia 334 iliishaje, zilikusanywa kiasi gani cha pesa na zimeishaje?
Unadhani ni kwanini tangu kuanzishwa kwa kampeni za chadema za kuchangisha pesa kwa tone tone, hakuna hata kampeni moja iliyowahi kufanikiwa na kutimiza lengo,
unadhani...
Naomba kukujulisha kwamba tulipokea barua yako uliyoandika tarehe 27/4/2026 na kupokelewa na mwenyekiti wa tawi tarehe 7/5/2026 ukitaka kupata ukweli na usahihi wa barua iliyokuwa na kichwa cha habari ya kukuvua uanachama wa Chadema. Baada ya kupitia barua hiyo kama uongozi wa chama tawi la...
Stori ya kukamatwa na kuachiwa kwa kada wa CHADEMA inaacha maswali mengi sana. Kiufupi ni jambo linalonuka harufu kali ya usaliti. Pia kitendo cha Malisa kupokelewa na James Mbowe wa CHAUMMA hakiingii akilini kabisa. Tuliona Malisa kaongea na waandishi wa habari bila uwepo wa kada yoyote wa...
Kupitia kesi ya Lisu CHADEMA wamepata nafasi sahihi kabisa ya kueleza mateso Yao,kudai haki za wananchi,kupelela hoja zao za msingi kabisa Kwa MAHAKAMA na Dunia nzima.
Kupitia kesi hii ya kijinga CHADEMA wamepata uwanja mzuri sana wa kuifahamisha Dunia rangi Halisi ya Tanzania ya CCM.
Kupitia...
Angekuwa ni kiongozi mwenye aibu asingekuwa anatoa hotuba za kujionyesha kama mkuu wa nchi anayekubalika.
Watumishi wa umma maofisini hawampendi na hawamtamki vizuri
Chama kinachokubalika ni Chadema maana kinaonekana kama chama cha ukombozi kwa sasa.
Samia na genge la wanaCCM mtandao ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.