chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Marco Seth

    JamiiForums Tanzania Kila mtu ana kichaa chake

    Katika saikolojia, kauli ya “kila mtu ana kichaa chake” wewe Fanya observation utaona Kila mtu ana tabia, fikra, au hisia zisizo za kawaida au tofauti na wengine, hata kama si ugonjwa wa akili. Inaweza kumaanisha pia kuwa hakuna mtu mkamilifu kiakili kila mtu ana mapambano yake ya ndani...
  2. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Wenje: Ambao bado wamebaki CHADEMA ni mashujaa

    Kuelekea kilele cha maadhimisho kuwakumbuka mashujaa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Septemba 7 mwaka huu, Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Victoria Ezekiah Wenje, amesema watu wote ambao bado wapo ndani ya chama hicho ni mashujaa. Soma pia: Tuhuma alizozitoa Wenje na majibu...
  3. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Embodying Perennial Courage and Indelible Political Legacy Amidst Tyranny

    CHADEMA ni chama cha kishujaa, chama ambacho kitadumu milele duniani. Hii sio propaganda, ni historical inevitability. Spirit yake haiwezi kufutwa, haikatakaa kife. CCM, mnadhani kuzuia opposition ni strategy ya successful state? Kwa nini mnajiona mna-right ya ku-destroy chama kilicho imara...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rose Mayemba: Rais Samia, umemfunga Lissu na kuzuia CHADEMA, umepoteza ushawishi

    Mjumbe Kamati Kuu ya CHADEMA Taifa, Rose Mayemba amemjibu Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu baada ya kusema kwenye kampeni zake kuwa CHADEMA wameweka mpira kwapani, yaani wamekimbia uchaguzi unaotarajiwa kufanyika...
  5. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wenje: Hakuna uchaguzi ni maigizo, Samia anashindana na kivuli chake

    "Tuendelee kupigania reforms, tupate reforms za kweli, twende kwenye uchaguzi wa kweli tutakapopata hizo reforms, kwahiyo hiki kinachotokea hapa ni ndoto",- Wenje. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Victoria, Ezekiah Wenje, akizungumza Septemba 2, 2025 kupitia...
  6. Blender

    JamiiForums Tanzania Msikilize BaBa Aminata, afunguka siri nzito

    Zakuambia changanya na za kwako. je kwanini ni kipindi hiki za lalasalama. CCM wana wasiwasi kuwa wananchi watasusuia kupiga kura, Na muona baba aminata akiilaumu chadema kuwa ni wakaidi na wasio kuwa na adabu. Kadri upepo unavyopuliza ndivyo uchi wa kuku unavyoonekana...
  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Slaa: CHADEMA haifanyi uchaguzi sio kwa ajali

    Mwanasiasa mkongwe wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanadiplomasia, Dkt. Wilbrod Peter Slaa amesema kuwa chadema haipo kwenye uchaguzi wa mwaka huu siyo kwa ajali kwa sababu haina uchu wa madaraka kama kama vyama vingine. Akizungumza kwa njia ya mtandao na Baraza la Kidigitali...
  8. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Inakuja siku ambayo Uhalali wa Mtu kukubaliwa kisiasa itakuwa kama aliwahi kusimama kuitetea Chadema au Viongozi wake

    Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo nyingi. Yamewahi kuiongoza dunia hasa kijeshi au kibiashara mataifa ya Uingereza, Italia, Hispania...
  9. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07

    Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania CHADEMA Watangaza Wiki ya Mashujaa wa Demokrasia Tanzania, Kilele Septemba 07 Chama kikuu cha upinzani Tanzania, CHADEMA kupitia uongozi wake imetangaza Septemba 1 mpaka 7, kuwa wiki ya mashujaa wa kidemokrasia, ambapo kilele chake itakuwa ni Septemba 07, 2025...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Exclusive: Ahadi hewa zilzotolewa kwa vigogo na wanachama wa chadema kabla ya kujiunga chaumma

    ZIFUATAZO NI AHADI ZILIZOTOLEWA . 1. Kuna majimbo 50 na kata 1000 tumeahidiwa na ccm kwa tutapita bila shida yoyote. 2. Kila mgombea ubunge na udiwani atawezeshwa kifedha ktk kampeni. 3. Mbowe atahamia chaumma ili kuleta hamasa kubwa ndani ya chama hivyo kampeni kuwa rahisi. 4. Maelfu kwa maelfu...
  11. Andromeda Galaxy

    JamiiForums Tanzania GE2025 Uchaguzi bila CHADEMA, ni Uchaguzi mfu

    Nimejaribu kuangalia mijadala ya wagombea wa Chama Chaumma(CHAUMMA), CUF, na AAFP, nikiri kuwa ukosefu wa Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo (CHADEMA), kumefanya uchaguzi wa mwaka huu kuwa Moja ya chaguzi za hovyo tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe, Nakiri kuwa Tundu Antipas Lissu na John...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na CHADEMA mnavuna mlichopanda!

    Kwa mwaka mmoja tu uliopita, mtu angekuambia CHADEMA itakuwa kama ilivyo leo ungebisha sana. CHADEMA imefanya some strategic blunders ambazo zimekigharimu chama pakubwa. Moja nikubadili uongozi wa juu katika mwaka wa uchaguzi, hata kama sababu zilikuwepo. Pili, u-one man show wa kiongozi Tundu...
  13. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kulikoni walioitwa wabunge wa COVID-19 ambao walifukuzwa uanachama wa CHADEMA wanakubalika zaidi kwa wananchi wakati CHADEMA imesahaulika kabisa?

    Je, Chadema walikurupuka kuwatimua hazina hiyo muhimu ya viongozi wa wanawake wanaokubalika zaidi kwa wananchi na kuwaita wasaliti? Maana iko wazi kwamba, wote waliojiunga na chama tawala na kupewa fursa ya kugombea nafasi ya ubunge, wanakubalika zaidi, wanaaminika zaidi kwa wananchi, na...
  14. Judister Gabriel Mlawa

    JamiiForums Tanzania Kuna muda kukimbia pia ni USHAJAA. Chadema kukimbia uchaguzi ilifanya uamuzi sahihi

    Moja kati ya falsafa kwenye medani za vita ni kukimbia ukiona unaelekea kushindwa kuliko kuendelea na kuishia kusambaratishwa. If you run away, you have lost the battle, not the war. Kwa sababu, unaweza kurudi nyuma tena na kupanga mashambulizi na kurudi tena kwenye uwanja wa vita. Kwa hiki...
  15. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Hivi Chadema masalia wapo, na wanajishughulisha na nini kwasasa?

    Maana viongozi wao wote waandamizi walikuaga hawana shughuli zozote za kiuchumi za kujipatia kipato na kwahivyo walitegemea zaidi kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara. Hivi wale wangwana matapeli na ombaomba wa kisiasa wapo kweli? na wanajishughulisha na nini kwasasa tangu...
  16. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania CCM Kufanya uchaguzi bila CHADEMA ni kujitekenya na kujichekesha

    Hii nchi washaifanya kama ya bibi yao, ila kweli Lissu fundi na kiboko yao...CCM wanajua huu uchaguzi sio mkuu bali uchaguzi wakiduwanzi kuwahi kutokea.... Sijui watashangilia kuwa wameshinda uchaguzi kutoka kwa nani!? Yaani wamemshinda mpinzani gani!? Hili ndo linawauma ccm na Lissu kapiga...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

    Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA. Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye...
  18. Vugu-Vugu

    JamiiForums Tanzania PICHA: Sasa nimeelewa kwanini CHADEMA walikataa Kata Kata.

    Hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungefanya walichofanya CHADEMA.
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Actually, to be sincere, hata wagombea wote wa CCM kwa nafasi za Ubunge/udiwani hawana ushindani wa kupoteza resources as long as Chadema haipo

    Mshindani wa kweli ni chdema. As long as chadema haipo, basi hakuna mshindani wa nguvu. Hawa wengine ni mpango wa kando ambao hauna nguvu kwenye ndoa kisheria na kimila...ni mdabwada so to say!
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makada: CHAUMMA hawana tofauti na CCM ni Wezi tu, tunarudi CHADEMA

    CHAUMMA yazidi kugawanyika vipande, vipande wengine watangaza kurudi CHADEMA wadai Chama hicho ni cha Mchongo. Soma > Waliohamia CHAUMMA warudi CHADEMA na kuomba viongozi wawapokee
Back
Top Bottom