Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 49,946
- 40,349
Maana viongozi wao wote waandamizi walikuaga hawana shughuli zozote za kiuchumi za kujipatia kipato na kwahivyo walitegemea zaidi kuchangiwa pesa za kujikimu kwenye mikutano ya hadhara.
Hivi wale wangwana matapeli na ombaomba wa kisiasa wapo kweli? na wanajishughulisha na nini kwasasa tangu kusambaratika kwa chama chao na kitega uchumi chao kuingia mchanga?
Idadi yao nchi nzima wanaweza kufika mia5 kweli kwasasa?🐒
Mungu Ibariki Tanzania