Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.
Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.
Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.
Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
Ni kama alivyofanya Trump
Freeman Mbowe anaweza Kugombea tena Uenyekiti wa Chadema kama ataona Chama kinayumba kwa huu uongozi wa Sasa. Katiba inamruhusu
Mkutano mkuu wa Chadema umeazimia Uchaguzi mkuu ujao ufanyike mwaka 2028 Ili kukwepesha Uchaguzi kufanyika miaka ya Uchaguzi wa Serikali za...
Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama.
Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
Zilizothibitishwa rasmi kabisa ni kuwa;
Mwandishi wa barua kwenda CHADEMA kusema kuwa haitambui uteuzi wa wajumbe wa kamati kuu na baadhi viongozi wa Sekretariate hususani Katibu Mkuu na manaibu katibu mkuu Tanganyika na Zanzibar kwa jina la "Msajili wa Vyama vya siasa" ndiye huyuhuyu...
Na Mwl. Alfred Maziku – Dar es Salaam
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya uongozi wa Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuthibitisha dhamira yake ya kuimarisha misingi ya utawala bora, kwa kuruhusu kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi kesi ya kiongozi wa...
Haya mambo yameanza toka 2017 Chadema wamesema yote ambayo yanatokea sasa. Walisema wataanza na Chadema , watakuja makanisa, sasa ni CCM kwa CCM. Kinachofuata kama sio ndugu wa kiongozi huna chako!
Kama nchi msiko amka wanakuja kwa kila mmoja wetu
Najiuliza nini hatma ya CHADEMA baada ya kikao cha kamati kuu ya dharura Kesho 3/6/2025.
Maamuzi ya kamati kuu Kesho ndio hatma ya CHAMA hicho kwani wakiendelea kukaidi sijui nini kitatokea.
Nauliza nini hatma ya viongozi WA CHADEMA waliopatikana katika Uchaguzi WA serikali za mitaa November...
Chama langu la kupigania HAKI za Watanzania.
Majuzi Dikteta aliitisha Mkutano Mkuu Dodoma na ajenda zake Moja wapo ikiwa ni Kuongeza Mjumbe wa Bodi ili kukidhi Idadi ya Wadhamini Kwa namba isogawanyika Kwa Mbili.
Leo Mjumbe wa Bodi ya Wadhamini Mmoja wapo kajitoa .
Mh Cheche kamati kuu ya...
Baada ya Polisi kujua kwamba wakionesha ukali kwa CHADEMA ndo wanapandishwa vyeo, hivi ndivyo wanafanya.
Mwanaume mwenzangu anipige hivi, nitakubali ila lazima ntamfuatilia yeye na kizazi chake hadi waniambie kosa ni nini.
Je, ni kweli njja za Polisi Hasira wanapelekewa CHADEMA?
Wanasiasa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinapenda kuwataarifu viongozi wake, wanachama, na umma kwa ujumla kuwa tarehe 3 Juni 2025, Chama kitafanya kikao cha dharura cha Kamati Kuu.
Pia, Soma: CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025
Kikao hicho kitaanza saa 3:00 asubuhi na...
No Reform No Election ni dhamira ya fujo na Machafuko,nauliza tu ikiwa CCM ikakubali kuanzishwa tume huru je,CHADEMA itakuwa la lengine la kunadi sera zake??
Kuna nadharia tunaaminishwa lakini ukweli halisi hauendani na kinachozungumzwa.
UZITAYAri
Mjumbe wa Bodi ya wadhamini ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, Mary Florian Joachim ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ujumbe wa Chadema, nafasi ambayo ameitumikia kwa takribani miaka kumi na tano sasa.
Katika barua yake ya leo Juni 02, 2025 aliyoituma kwa Katibu wa Bodi ya...
Baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamezuiliwa kuingia eneo la ndani ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inaposikilizwa kesi ya mwenyekiti wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
Baadhi yao wamepigwa marungu wakidaiwa kukaidi amri ya polisi ya kuondoka...
Ikitokea siku ya uchaguzi mkuu hawa wanawake wa chadema wakafanya kama walivyoelekezwa na Tundu Lissu, kipi kitatokea? Watu wataogopa kwenda kupiga kura? Kutakuwa na mshike shike nguo kuchanika? Marijari watafurahia? Watabakwa? Watakamatwa na kushitakiwa kwa kosa la utupu na kufungwa jela miaka...
Hiki kitabu kina itwa THE BOOK OF SOUTHERN QI DYNASTY kinazungumzia vipi unaweza kuua kwa kutumia upanga wa kuazima. Yaani hapa njia ni kua unapenyeza watu wako kule ambako unatk kuangusha ufalme halafu unatumia hao kuangusha ufalme.
Mfano Chadema ingepenyeza watu serekali washike nafasi za juu...
Leo Chadema Zanzibar imefanya press nzuri sana na unaonyesha matimaini makubwa sana. Wameongea issue za msingi sana na huu ni mwanzo mzuri.
Miaka yote tumekuwa tunashangaa kwanini CHADEMA Zanzibar kama haipo vile, kumbe Mwalimu na yule jamaa makamu aliye fungua kesi dhidi ya chadema walikuwa...
Hii ndio Taarifa ya Jioni hii kutoka Tanga, ambako Baada ya Chadema kuingia ni kama Msiba wa Mzee Ally Kibao ulianza Upya, Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo Ukimya wa dk 1 ulitawala ili kumkumbuka Mzee Ally Kibao aliyeuawa na watu Waliotumwa na Wakubwa, ukifuatiwa na dua za kumuombea.
Chadema...
Sasa ninawaonya CCM na Machawa wenu , Njia mnayoelekea mbeleni ni Giza kubwa.
Warusi na Wachina na Wakorea wasiwadanganye !!.
UKWELI NI KUA, UCHAGUZI 2025 BILA CHADEMA, HAUTATAMBULIWA NA BARA LA ULAYA, WALA MAREKANI !!.
Nadhani Athari ya Jambo Hilo juuu mnaijua vizuri kabisa !!.
Tunaenda na...
Hii issue ya Gwajima, itapamba moto hadi wananchi wasahau No reform No election na kesi ya lissu.
Huu ni Mradi wa CCM, Gwajima anaweza hata akakatwa, kukawa na kelele chungu mzima hadi mambo mengine yote yakasimama, yamkini hata chadema wakasimama na gwajima kumtetea na kuacha agenda yao ya...
Ni wazi chadema haina inachoweza tena katika kujikwamua kwenye mikwamo ya kisiasa ambayo inapitia.
Ukata wa pesa, kukimbiwa na makundi ya wanachama wake, kukwama kwa wanasheria wake mahakamani kumekifanya chama hicho kukosa cha kufanya zaidi ya kupiga mayowe na kuomba huruma ya viongozi wa dini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.